Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Kama Hamas ndio wale sasa

Inakuwaje watu waisrael wengine wanapita njiani kwa utulivu bila kujificha ?

Kuna kitu hakipo sawa tusiingie mkenge kutaja alah akbar kila mtu anaweza
 
Hapana Hawa jamaa hawana sifa yoyote ya kuwa freedom fighters. Freedom Gani aliewahi kufanya unyama wa kiwango hicho?
Hakuna uhakika kama ile video ni ya joshua na wale ni hamas hata familia yake leo imethibisha kuwa hawana taarifa yoyote zaidi ya wizara ya mambo ya nje ya tanzania tuache mihemuko na propaganda
 

Attachments

  • Screenshot_20231218-131057_Instagram.jpg
    140.4 KB · Views: 3
Kwani ile siku ya shambulio hukuona walivyokuwa wanajirekodi? Kuhusu rangi wala siyo hoja kwani waliua raia wa nchi nyinginyingi ambao hata kwa mwonekano, siyo raia wa Israel.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ile siku ya shambulio hukuona walivyokuwa wanajirekodi? Kuhusu rangi wala siyo hoja kwani waliua raia wa nchi nyinginyingi ambao hata kwa mwonekano, siyo raia wa Israel.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wale watu njiani ni kina nani hawana wasiwasi
 

Attachments

  • IMG_8276.jpeg
    56.4 KB · Views: 3
Hamas kama Hamas Mimi siwaiti magaidi kama wengi ambavyo wanadai...Wale ni wapigania uhuru Wa ardhi Yao Toka dahali.Lakini propaganda za Western zinafanyanywa Kwa namna tofauti sana..Yule ameuwawa kipindi Cha uvamizi lakini kilicho nyuma ya pazi ni kikubwa kuliko hiki tunacho aminishwa na western media.Na kwanini shirika la ujasusi la kwao lilidaickutekwa Kwa kijana huyo ..Kwamba anashikiriwa Gaza baadae ya video hii kutoka wanasema aliuwawa mapema kwenye shambulio.Nafikiri Kuna kitu hakiko sawa..Apumzike Kwa amani kijana
 
Hakuna uhakika kama ile video ni ya joshua na wale ni hamas hata familia yake leo imethibisha kuwa hawana taarifa yoyote zaidi ya wizara ya mambo ya nje ya tanzania tuache mihemuko na propaganda
Mzee inamaana huna macho ya kuona? Uhakika Gani unaoutaka wakati video iko wazi na mtu anaeuwawa hapo ni huyo dogo?
 
Kwa namna yoyote ni wao ndio wamehusika.Hapa tunamzungumzia Joshua tuliyeona mauji yake ya kinyama.

Lakini aliuawa mTz mwingine Clemence.Unataka useme ni Waisrael nao ndio walimuua??

Hawa Hamas Sio wa kukingiwa kifua.Pia mTz workmate wao alishasema walitekwa siku Ile yeye akiwa Shambani zamu siku Ile.Akina Joshua walikua nyumbani
 
5) Tangu lini Hamas wanaua na kujirekodi sura zao wazi wazi, mbona hawana Chochote kinachowakilisha Hamas? Mateka wote Video za waisraeli tulizoona ni wapiganaji wa Hamas.
Haya great thinker tuambie hao ni kina nani?

Dini inakufanya mpumbavu kutetea hata kwenye Hakuna unataka tukuwekee na video wakishangiria baada ya kifanya unyama huu
 
Labda tukuulize wewe, nini kinachokufanya husiamini kwamba yule ni Joshua Mollel... Waziri wa Tanzania wa mambo ya Nje Januari Makamba kathibitisha kifo kuwa kauwawa, Wizara ya mambo ya nje ya Israel nayo imethibitisha kuwa yule ni Joshua Mollel... Alafu wewe unaleta usenge hapa...

 
Kwamba familia yake yenyewe haijathibitisha vodeo ile iweje wewe uamini kwamba wale ni hamas na huyo ni joshua ?
Familia hadi leo mchana imehojiwa haijathibitisha hiyo video yako
Na source yenyewe uliyotumia pia ni tatizo wote hadi hao magharibi wanajua kwamba israel ni waongo waongo na hawaaminiki leo unatuletea source ya jeshi lao kweli? Hujiulizi kwanini wanazima interney na kuwaua waamdishi wa habari makusudi ?
Juzi idf wameua watu kanisani makusudi na kujaribu kugicha hadi wazungu wenzao wamewalaani kwa kitendo kile
 

Attachments

  • Screenshot_20231218-124842_Instagram.jpg
    97.7 KB · Views: 3
SAWA waziri wa Mambo ya nje tumekuelewa yule sio kijana wetu na hajauwawa na Hamas alijiua

Wewe unajua kuliko serekali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ