Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Umejibu kwa bandiko la Mamba ambalo hajasema kama Maiti waliondoka nayo Hamas.
Nimekujibu
Huyo ndio mwenye majibu ya maswali Yako
Ndio waziri mwenye dhamana kwenye article aliyo chapisha X kaelezea what happened
 
Ni Al-Shabaab siyo shababy najua ndiyo maana nimeleta huu uzi.
Huna ujualo,mimi ni muislam hata wanaonijua humu watathibitisha,ila wewe na ni kilaza,pro hamas na pro israel wote waliomo humu ni vilaza na hawajui hata wanachoshabikia
 
Taarifa ya Israeli waliyoitoa tarehe 29. October 2023 walisema Joshua na Felix walitekwa na Hamas wanashikiliwa Mateka #Gaza

Wote walikuwa Israeli kwa Mafunzo ya Kilimo. Tunaamini wote walikuwa eneo moja kipindi cha MASHAMBULIZI ya Hamas.

Tarehe 17. November Israel wakasema Felix ameuliwa na Hamas na mwili wa Felix umepatikana.

Taarifa za jinsi Mtenga alikufa au wapi au jinsi mwili wake ulipatikana hazijatolewa na serikali yoyote (Israeli au Tanzania).

👉🏽Joshua Mollel, ambaye pia anaaminika kuchukuliwa na Hamas, bado hajulikani aliko, serikali ya Tanzania ilisema.

👉🏽Baada ya takribani siku 70 video ya Joshua imepostiwa na Israeli na ikisapotiwa na watu wanaosapoti Israeli kwenye #GazaConflict

Video inazua maswali mengi lakini walioposti wanatafuta huruma Kwa kusema #BlackLivesMatter

👉🏽Video ni swala la kisiasa/ Propaganda ili kuficha ukweli na kupandikiza chuki.

Hakuna ushahidi wowote wa kuthibitisha wauaji ni Hamas au Waislamu.

👉🏽#Tujikumbushe: Israeli kuna wayahudi wengi tu wenye asili ya Kiarabu na wanaongea Kiarabu fasaha kabisa. Lugha sio dini wala ufungamano wa Uyahudi au Upalestina.

Tutafute ukweli ndugu zangu, tushinikize serikali kutafuta ukweli na kutueleza nani amewaua Felix na Joshua, mwili wa Joshua upo wapi? Mwili wa Felix ulipatikana wapi? Joshua na Felix walikuwa wapi kabla ya tukio la 07. October,

👉🏽Joshua alijua kuna tukio la Kigaidi Kisha akaendesha Baiskeli kupita katikati ya chaka la magaidi?

Ukiangalia video watu wanatembea pembeni kwa uhuru Vila hofu, hayo yanaweza Tokea sehemu kuna tukio la Ugaidi? Yaani wapita njia wala hawaogopi?

Tutafute Ukweli na Wanaharakati Waache kusambaza Propaganda na Tuepuke Mihemko, tutafute ukweli.

👉🏽Truth is rarely pure and never simple.
 
Attachments

  • IMG_8278.jpeg
    IMG_8278.jpeg
    76.2 KB · Views: 3
Alshababu ni neno la kiarabu maana yake ni kijana (mnikosoe) Naona hilo neno hao mabingwa wamelitamka zaidi ya mara tatu.

Ili twende sawa. Tutafsirie maneno yote kwenye clip kwa kiswahili ili wote tutumie akili alizotupa Mungu kufikiri.
Asante mkuu, hiyo ndio maana ya Al shabaab.

Inasikitisha kuona mtanzania anajaribu kutumia kila njia kutetea ugaidi.

Na hizi hadithi sijui mbona kuna watu walikuwa wanatembea wakati kijana wa kitanzania anauliwa ni ,a kijinga tu. Wengi wanajisahaulisha kwamba siku ya uvamizi magaidi Hamas walikuwa na raia wao wanaowaunga mkono na kuwashangilia. Na hao waliokuwa wanatembea ni ndugu zao hao magaidi, kama wangekuwa sio basi nao wangekuwa wanakimbia kulinda uhai wao.
 
Wale watu njiani ni kina nani hawana wasiwasi
Ni wanaounga mkono ugaidi, ni kwamba mnajizima data au? Mmesahau wakati Hamas wanavamia walikuwa na baadhi ya raia wao wanaowaunga mkono wakishangilia?
 
Asante mkuu, hiyo ndio maana ya Al shabaab.

Inasikitisha kuona mtanzania anajaribu kutumia kila njia kutetea ugaidi.

Na hizi hadithi sijui mbona kuna watu walikuwa wanatembea wakati kijana wa kitanzania anauliwa ni ,a kijinga tu. Wengi wanajisahaulisha kwamba siku ya uvamizi magaidi Hamas walikuwa na raia wao wanaowaunga mkono na kuwashangilia. Na hao waliokuwa wanatembea ni ndugu zao hao magaidi, kama wangekuwa sio basi nao wangekuwa wanakimbia kulinda uhai wao.
Acha mihemko Je na hao watembea kwa miguu pembeni nao walitekwa Hamas baada ya Joshua.
 
Acha mihemko Je na hao watembea kwa miguu pembeni nao walitekwa Hamas baada ya Joshua.
Hapa sasa mwenye mihemko ni wewe mkuu, umeshindwa hata kusoma nilichoandika kutokana na mihemko yako.

Siku hiyo ya tukio, magaidi Hamas walikuwa pamoja raia wanaowaunga mkono, walikuwa wakishangilia na wengine kupita huku na kule. Unajifanya hukuona video siku hiyo au?
 
Acha uongo Mzee
 
Back
Top Bottom