Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Attachments

  • Screenshot_20231218-131057_Instagram.jpg
    Screenshot_20231218-131057_Instagram.jpg
    140.4 KB · Views: 2
Kwamba familia yake yenyewe haijathibitisha vodeo ile iweje wewe uamini kwamba wale ni hamas na huyo ni joshua ?
Familia hadi leo mchana imehojiwa haijathibitisha hiyo video yako
Na source yenyewe uliyotumia pia ni tatizo wote hadi hao magharibi wanajua kwamba israel ni waongo waongo na hawaaminiki leo unatuletea source ya jeshi lao kweli? Hujiulizi kwanini wanazima interney na kuwaua waamdishi wa habari makusudi ?
Juzi idf wameua watu kanisani makusudi na kujaribu kugicha hadi wazungu wenzao wamewalaani kwa kitendo kile
Wewe kweli zwazwa, sasa waziri wa mambo ya nje, yeye si ndio anapaswa kutoa Tamko... Waziri Januari Makamba, ambaye ndio muwakilishi wa serikali ughaibuni kathibitisha... Alafu unakuja wewe kuleta porojo na ngojera zako hapa... Soma alichoandika Maulid Kitenge

Screenshot_20231218-144239_1.jpg
 
Alshababu ni neno la kiarabu maana yake ni kijana (mnikosoe) Naona hilo neno hao mabingwa wamelitamka zaidi ya mara tatu.

Ili twende sawa. Tutafsirie maneno yote kwenye clip kwa kiswahili ili wote tutumie akili alizotupa Mungu kufikiri.
Utachoka bure ndugu yangu! Hakuna justification kwa mauwaji ya Mtanzania mwenzetu. Allahu Akbar linatumika na magaidi wa kiislamu FULL STOP
 
Utachoka bure ndugu yangu! Hakuna justification kwa mauwaji ya Mtanzania mwenzetu. Allahu Akbar linatumika na magaidi wa kiislamu FULL STOP
Kwa maelezo yako tunaweza kuwa na theory kwamba wauaji ni “Settlers” kwa sababu ya mazingira ya Uuaji, wenzao wanapita wanaendelea na shughuli zao. Sio Magaidi Hamas kwa sababu walikuwa wana-Target waisraeli sio mtu mweusi.
 
kuna uwezekano mkubwa sana hili tukio limefanwa na Waizrael ili kufanya waungwe mkono na watu weusi
Haiingii akilini Hamas waue mtu huku wakifanya recording nzuri hivyo. kwa wenye akili na maarifa wanaweza kujua kuwa, hii kitu ilifanywa purposely. Waisrael wangapi wameuwawa na hutujaona wala kusikia recoding zozote za mauwaji? tena yaweza kuwa waizrael ndio wameuhifadhi mwili ...kwani ingekuwa hamas ungekuwa umezikwa siku nyingi.... Hamas waweke mwili wa mtu aliye kufa kwa faida gani???
Unaishi dunia ya wapi wewe??? hivi unadhani hizo videos uwa kuna mtu kasimama hapo anarekodi??Hivi unadhani kuna watu wanataka kuungwa mkono na watu weusi ili iweje?? Sasa na kule Kibbutz na kwenye muziki kulikua kuna watu wamesimama na tekno zao wanarekodi??? ma nchi yenyewe maskini kila siku kuomba omba na kushi kwa mikopo.kichwa cha panzi hiki.
 
Pia ukiangalia video kwa umakini
Kuna mmoja wao alishika baskeli ana kitu kama pochi maana yake inaonyesha ni mmiliki wa hi baiskeli. Zaidi anaonekana ni mlemavu wa mguu . Sasa tujiulize
Wavamizi Hamas wanahaja ya kushika baiskeli na mzigo wa mateka ?
Hamas wanawezaje kua na mlemavu vitani😂
 
Kwa maelezo yako tunaweza kuwa na theory kwamba wauaji ni “Settlers” kwa sababu ya mazingira ya Uuaji, wenzao wanapita wanaendelea na shughuli zao. Sio Magaidi Hamas kwa sababu walikuwa wana-Target waisraeli sio mtu mweusi.
Ndugu yangu walowezi wa kiyahudi hawawezi kumuuwa mfanyakazi wa mashamba yao huku wakitamka hayo maneno. Tatizo ni nini hutaki kuamini kama Hamas wanaweza kufanya huo unyama? Be honest to your self
 
Wanaukumbi.

#JoshuaMollel:

👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”?

Nina maswali:

1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

2) Kwenye video kwa Kiarabu wanasema “Mmetushambulia” yaani Hamas walioenda kufanya Tukio la kigaidi wamwambie Joshua mmetushambulia?

3) 👉🏽Hili swali zito zaidi; vipi wapita njia mtu na mwanamke wake ni waisraeli au wapalestina?

4) Kuna sababu gani nzito Hamas kupambana kumuua Joshua (mtu mweusi) asiyejua kuongea Kihibru wala Kiarabu, waache Waisrael Wapite bila bughudha?

5) Tangu lini Hamas wanaua na kujirekodi sura zao wazi wazi, mbona hawana Chochote kinachowakilisha Hamas? Mateka wote Video za waisraeli tulizoona ni wapiganaji wa Hamas.

Tuache kuwa Mbayuwayu, Mungu ametupa akili tuzitumie jamani, tutafute ukweli, video aliyeirekodi na kuiachia alitaka kupindisha ukweli.

Tutafute ukweli juu ya mauji ya kinyama ya Joshua. Tuishurutishe serikali kutafuta ukweli.

Jarida la Time of Israel liliandika hivi…

Joshua Mollel, 21, an agricultural student from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and officials said his body was being held hostage in Gaza.
===============
Joshua Mollel, 21, mwanafunzi wa kilimo kutoka Tanzania, alitekwa nyara na magaidi wa Hamas mnamo Oktoba 7 kutoka Kibbutz Nahal Oz. Mnamo Desemba 13, kifo chake kilithibitishwa, na maafisa walisema mwili wake ulikuwa umewekwa mateka huko Gaza.

Kwa hiyo mwili wa Joshua bado upo Gaza.
Wewe jamaa unajua maana ya shababy kwa kiarabu?
 
Back
Top Bottom