Kama hamtendi haki,watu watashirikiana na yeyote anayeweza kuwasaidia kupata haki hata kama mtu huyo atakuwa ni Ibilisi

Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 89% na akiendelea na kampeni ushindi ni 98%

Kazi zake nzuri zinaonekana
Kwa kampeni zipi? Hizi za kuwatishia wananchi??
 
Kuna mtu aliwai kuandika uzi humu miaka michache iliyopita kuwa kwa sababu magufuli anaua upinzani wa wazi basi ajiandae kupambana na upinzani wa ndani ambao ni mkubwa na mbaya zaidi. Mtu unacheka nae ila hujui anakuwazia nini??? Hiki ndo anachopambana Nacho magufuli sasaivi!!
 
Ukivunja sheria hata ibilisi nae atakukataa tu,maana kuna siku na yeye utavunja sheria zake.
Salary Slip kaamua ayatoe ya moyoni!!! Amegundua aliyekuwa anamnywesha sumu wakati wa ACACIA na matishio ya MIGA kuwa ni ibilisi...!!! Hongera kwa kuling'amua hilo mapema.
 
Kula tano na usome signature yangu!
 
Imetolewa kwa kina robert [emoji3][emoji3]
CCM yenyewe inajinadi itashinda kwa zaidi ya 75% lakini hawa wategemezi wa Lissu wao wameweka itashinda kwa CCM 89%.
hali ni mbaya sana kwa Lissu.
waanze kujitathmini kukosoa uchapakazi wa JPM hiki ndo kikwazo kikubwa cha Lissu kunyimwa kura.
 
Tena tunapaswa kuanza kukiondoa ccm wakati huu tusisubiri uchaguzi manake hakuna haki yoyote pale, ni wakati wa kuingia mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…