Fabricated by haters
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fabricated by haters
Rubish and rotten
HovyoHadi kufikia October 26 kura za Ccm zitakuwa zimepanda kwa 98%
Kwa kampeni zipi? Hizi za kuwatishia wananchi??Hadi kufikia October 26 kura za Ccm zitakuwa zimepanda kwa 98%
Hovyo
Si mliswma hata pata hata moja? Ngoja awanyoshe. Kwanza mzee wako kashatoka gereji??Vumilia tu mihemuko ya humu usije ukadhani lisu atapata hata 5% kura
Kwa kampeni zipi? Hizi za kuwatishia wananchi??
Si mliswma hata pata hata moja? Ngoja awanyoshe. Kwanza mzee wako kashatoka gereji??
Mbaya zaidi wanashabikia ushoga
Mzee gereji kashatoka?? Lissi atauwa mtu.Moja atapata ya Robert
Kuna mtu aliwai kuandika uzi humu miaka michache iliyopita kuwa kwa sababu magufuli anaua upinzani wa wazi basi ajiandae kupambana na upinzani wa ndani ambao ni mkubwa na mbaya zaidi. Mtu unacheka nae ila hujui anakuwazia nini??? Hiki ndo anachopambana Nacho magufuli sasaivi!!Huu ndio ukweli mchungu kwa hawa watu hawa ambao wameamua kutumia mabavu kunyanyasa wengine, tena wakitimiza wajibu waliopewa kwa doublestand ya hali ya juu.
Mnawalazimisha watu kutafuta haki zao nje ya mifumo iliyopo kwasababu mifumo hiyo haitendi haki, alafu cha ajabu, nyie ndio mnakuwa wa kwanza kulalamika.Ujinga gani huu!!
Kwa kifupi, mnachokifanya ni sawa na kumtandika mtu mzima bakora, alafu ulalamike kuwa anakupigia kelele anapolia kutokana na maumivu uliomsababishia au usitake alie kabisa!
Kwa mwendo huu,hata shetani watashirikiananae mradi tu anaweza kuwasaidia kupata haki yao na hata Mungu atatoa baraka zake na mwisho wa siku mtashindwa tu.
Kazi ya ujenzi wa international airport kule Chato?Kazi zake nzuri zinaonekana
Salary Slip kaamua ayatoe ya moyoni!!! Amegundua aliyekuwa anamnywesha sumu wakati wa ACACIA na matishio ya MIGA kuwa ni ibilisi...!!! Hongera kwa kuling'amua hilo mapema.Ukivunja sheria hata ibilisi nae atakukataa tu,maana kuna siku na yeye utavunja sheria zake.
Kazi ya ujenzi wa international airport kule Chato?
Kula tano na usome signature yangu!Huu ndio ukweli mchungu kwa hawa watu hawa ambao wameamua kutumia mabavu kunyanyasa wengine, tena wakitimiza wajibu waliopewa kwa doublestand ya hali ya juu.
Mnawalazimisha watu kutafuta haki zao nje ya mifumo iliyopo kwasababu mifumo hiyo haitendi haki, alafu cha ajabu, nyie ndio mnakuwa wa kwanza kulalamika.Ujinga gani huu!!
Kwa kifupi, mnachokifanya ni sawa na kumtandika mtu mzima bakora, alafu ulalamike kuwa anakupigia kelele anapolia kutokana na maumivu uliomsababishia au usitake alie kabisa!
Kwa mwendo huu,hata shetani watashirikiananae mradi tu anaweza kuwasaidia kupata haki yao na hata Mungu atatoa baraka zake na mwisho wa siku mtashindwa tu.
CCM yenyewe inajinadi itashinda kwa zaidi ya 75% lakini hawa wategemezi wa Lissu wao wameweka itashinda kwa CCM 89%.Imetolewa kwa kina robert [emoji3][emoji3]
Kwa Dotto James mtoto wa dada yake?Ametoa ajira
Tena tunapaswa kuanza kukiondoa ccm wakati huu tusisubiri uchaguzi manake hakuna haki yoyote pale, ni wakati wa kuingia mtaani.Huu ndio ukweli mchungu kwa hawa watu hawa ambao wameamua kutumia mabavu kunyanyasa wengine, tena wakitimiza wajibu waliopewa kwa doublestand ya hali ya juu.
Mnawalazimisha watu kutafuta haki zao nje ya mifumo iliyopo kwasababu mifumo hiyo haitendi haki, alafu cha ajabu, nyie ndio mnakuwa wa kwanza kulalamika. Ajabu kabisa hii!!
Kwa kifupi, mnachokifanya ni sawa na kumtandika mtu mzima bakora, alafu ulalamike kuwa anakupigia kelele anapolia kutokana na maumivu uliomsababishia au usitake alie kabisa!
Kwa mwendo huu,hata shetani watashirikiananae mradi tu anaweza kuwasaidia kupata haki yao na hata Mungu atatoa baraka zake na mwisho wa siku mtashindwa tu.
UN wametoa utafiti mpya ule wa mwanzo ni batili.