shetani wa kijani kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shetani wa kijani kazini
Pamoja sana mkuu.Naunga mkono & miguu yote miwili hoja hii!.
Kwanza, idadi ya wanachama uliyosema Ni UONGO mtupu..Mtapasuka mishipa bure, Ccm bado ipo madarakani kwa miaka miamoja ijayo
Kumbuka Ccm inawanachama hai mlion ishirini acha mashabiki na wafuasi wakati Chadema inawanachama laki tano
Vijana muache mihemuko ya kisiasa mtakufa siku zenu, mwenzenu Uchaguzi ukiisha anarudi zake kula bata ulaya