Kama hamtendi haki,watu watashirikiana na yeyote anayeweza kuwasaidia kupata haki hata kama mtu huyo atakuwa ni Ibilisi

Kama hamtendi haki,watu watashirikiana na yeyote anayeweza kuwasaidia kupata haki hata kama mtu huyo atakuwa ni Ibilisi

Mtapasuka mishipa bure, Ccm bado ipo madarakani kwa miaka miamoja ijayo

Kumbuka Ccm inawanachama hai mlion ishirini acha mashabiki na wafuasi wakati Chadema inawanachama laki tano

Vijana muache mihemuko ya kisiasa mtakufa siku zenu, mwenzenu Uchaguzi ukiisha anarudi zake kula bata ulaya
Kwanza, idadi ya wanachama uliyosema Ni UONGO mtupu..

Pili, Kwani wapiga kura ni wanachama pekee?!
 
Back
Top Bottom