Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Katika Makosa aloyafanya Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho akaishia kusoma ELIMU za Mambo mbalimbali
Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu, alafu linatoka kwa Media kulopoka'Tanzania tunajali Haki ".
Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu, alafu linatoka kwa Media kulopoka'Tanzania tunajali Haki ".