Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Anawashauri,Ovyo pia!Usisingizie uanamke wake mkuu,
Samia ni mjinga wa kiwango Cha Sgr. Kukosa kwake elimu sahihi kunaweza kuwa miongoni mwa sababu.
Anawashauri,Ovyo pia!Usisingizie uanamke wake mkuu,
Samia ni mjinga wa kiwango Cha Sgr. Kukosa kwake elimu sahihi kunaweza kuwa miongoni mwa sababu.
nishapoa kiongoziMmmh pole mkuu.
ni kweli kabisa na huo ujinga ndio utafanya kiumbe kike kisipate uongozi au utawala mkubwaUsisingizie uanamke wake mkuu,
Samia ni mjinga wa kiwango Cha Sgr. Kukosa kwake elimu sahihi kunaweza kuwa miongoni mwa sababu.
Ila tu usisahau kwamba Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu, hutaki Hamad nchiKatika Makosa aloyafanya Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho akaishia kusoma ELIMU za Mambo mbalimbali
Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu, alafu linatoka kwa Media kulopoka'Tanzania tunajali Haki ".
😭ANT DRUGS . Samia will be the last woman to conca tanzania. Samia sio kupenda kwake bali ni tabia ya wanawake. Wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani na ndio maana samia kaamua kuharibu ili wengne wakose. Jiulize ni kwanini wanawake wengi waliokuwa serikalini hawakurudi kwenye uongo zi wake. Jiulize ni kwa nini kaua watoto wa wanawake wenzake, jiulize ni kwanini hajawahi toa hotuba iliyo na afya, jiulize ni kwanini yaani kwa nini ana roho mbaya zaid ya waliomtangulia. Kwa nini zote zinazo mhusu jiulize afu jibu ni kwa sababu kaamua kumwaga mboga mwenyewe, ugali kaumwaga mwenyewe hadi masufuria kayatoboa ili wengne wasipike. damu iliyomwagika ipo
Watoto wangu wanapenda tv lakini samia alishafanya wamechukia tv hadi kuiwasha ni pale tu kuna wageni na tena watawasha waweke wimbo wa kihindi waendelee na mambo yao. Samia ukahusika kwa kifo cha mdogo wangu wa 17yrs wewe na afande jack hadi leo hii watoto wangu mkate hawautaki na bado unaforce upendwe, badala uache mashisha yako unajifanya wewe ndio kichwa!!