Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kwenye situation ya Sasa kusema sisi tupo vizuri kwenye haki za binadamu ni uchuro mkubwa sana!Katika Makosa aloyafanys Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu Mjinga aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho akaishia kusoma ELIMU za Mambo mbalimbali
Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu, alafu linatoka kwa Media kulopoka'Tanzania tunajali Haki ".
Kwa sababu ni Mjinga, lenyewe hapo linajiona Liko SmartKwenye situation ya Sasa kusema sisi tupo vizuri kwenye haki za binadamu ni uchuro mkubwa sana!
ok.🐒Kwa jinsi tupo ofisini unatumwa na CCM Tlaatlaah hupo ofisi ya JF humu na unamuwinda Maxence Melo
mimi sio muumini wa kutweza utu wa mtu lakini kiukweri serikali ya sasa inabidi ijitafakari san naunga hoja yako ila maneno uliyotumia sio mazuri kwa mtu yoyote asante kiongozi kwa hoja yakoKatika Makosa aloyafanya Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho akaishia kusoma ELIMU za Mambo mbalimbali
Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu, alafu linatoka kwa Media kulopoka'Tanzania tunajali Haki ".
SawaNaomba nicoment baadae baada ya saa sita ya leo na nitacoment kihisia zaidi
Mmmh pole mkuu.ANT DRUGS . Samia will be the last woman to conca tanzania. Samia sio kupenda kwake bali ni tabia ya wanawake. Wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani na ndio maana samia kaamua kuharibu ili wengne wakose. Jiulize ni kwanini wanawake wengi waliokuwa serikalini hawakurudi kwenye uongo zi wake. Jiulize ni kwa nini kaua watoto wa wanawake wenzake, jiulize ni kwanini hajawahi toa hotuba iliyo na afya, jiulize ni kwanini yaani kwa nini ana roho mbaya zaid ya waliomtangulia. Kwa nini zote zinazo mhusu jiulize afu jibu ni kwa sababu kaamua kumwaga mboga mwenyewe, ugali kaumwaga mwenyewe hadi masufuria kayatoboa ili wengne wasipike. damu iliyomwagika ipo
Watoto wangu wanapenda tv lakini samia alishafanya wamechukia tv hadi kuiwasha ni pale tu kuna wageni na tena watawasha waweke wimbo wa kihindi waendelee na mambo yao. Samia ukahusika kwa kifo cha mdogo wangu wa 17yrs wewe na afande jack hadi leo hii watoto wangu mkate hawautaki na bado unaforce upendwe, badala uache mashisha yako unajifanya wewe ndio kichwa!!
Ile Sheria ya usalama kutoshtakiwa Ali saini Nani? Mswada wa Sheria ulipendekezwa na NaniAnakuambia hajawahi kuua hata sisimizi.
Walio saini ni hao wameng'ang'ania madaraka toka tupate uhuru.Ile Sheria ya usalama kutoshtakiwa Ali saini Nani? Mswada wa Sheria ulipendekezwa na Nani
Haki tunaitafuta,IPO siku tutapata!Katika Makosa aloyafanya Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho akaishia kusoma ELIMU za Mambo mbalimbali
Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu, alafu linatoka kwa Media kulopoka'Tanzania tunajali Haki ".
HakikaHaki tunaitafuta,IPO siku tutapata!
Haiwezekani kizazi kinazaliwa Kila uchwao,wakubali upumbavu!Hakika
Ukitaka kujua ubaya wa ccm angalia walichomfanya mwenzao Pole pole ( Senior ccm member) na hakuna kinachoendelea Wala anayezungumzia, hapo Kuna tatizo kubwa sana.Katika Makosa aloyafanya Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho akaishia kusoma ELIMU za Mambo mbalimbali
Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu, alafu linatoka kwa Media kulopoka'Tanzania tunajali Haki ".
Usisingizie uanamke wake mkuu,ANT DRUGS . Samia will be the last woman to conca tanzania. Samia sio kupenda kwake bali ni tabia ya wanawake. Wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani na ndio maana samia kaamua kuharibu ili wengne wakose. Jiulize ni kwanini wanawake wengi waliokuwa serikalini hawakurudi kwenye uongo zi wake. Jiulize ni kwa nini kaua watoto wa wanawake wenzake, jiulize ni kwanini hajawahi toa hotuba iliyo na afya, jiulize ni kwanini yaani kwa nini ana roho mbaya zaid ya waliomtangulia. Kwa nini zote zinazo mhusu jiulize afu jibu ni kwa sababu kaamua kumwaga mboga mwenyewe, ugali kaumwaga mwenyewe hadi masufuria kayatoboa ili wengne wasipike. damu iliyomwagika ipo
Watoto wangu wanapenda tv lakini samia alishafanya wamechukia tv hadi kuiwasha ni pale tu kuna wageni na tena watawasha waweke wimbo wa kihindi waendelee na mambo yao. Samia ukahusika kwa kifo cha mdogo wangu wa 17yrs wewe na afande jack hadi leo hii watoto wangu mkate hawautaki na bado unaforce upendwe, badala uache mashisha yako unajifanya wewe ndio kichwa!!