Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

Nilivyoona jana yule mwamba wa Dom alivyomuua mkewe kisa vicoba, sina hamu,

Yaani mke kamuomba mumewe pesa ya apeleke kwenye vicoba, mume akasema hana pesa

Mke akatoka home saa kumi jioni na kurudi saa mbili,eti alienda kukopa pesa kwa shoga yake,,,,,mume akafanya maamuzi magumu.
 
Thibitisha kwamba hiyo pesa haitunzi familia
Kuwa mwanaume ni jukumu la kiagano na linaloambatana na baraka za mwenyezi Mungu ambazo zinapita kwake na kuingia kwenye nyumba yake.
Kama wewe ni mwanaume na hutaki Hilo jukumu basi wewe kuwa mwanamke
Dah! Huko kutukanana😂😂😂,ila asante. Bali msimamo wangu upo palepale usitegemee maisha unayoyaishi wewe ayacontrol mtu mwingine. Kuongoza sio kucontrol, na hilo agano halijawekwa upande wa mwanaume tu bali lipo upande wa mwanamke pia. Na wengi mmeshindwa kulitimiza kwakufuata usasa. Majukumu ya nyumbani huyafanyi na bado nikulee, ukifanya unasema mnakandamizwa, wewe ni nani upate benefits out of breached contract.

Ninani alikataa hayo majukumu lakini pia hata wewe unajua kiwango chako cha maisha yenu. Mwanaume auze nyumba ili upate vipodozi au atunze familia maana hata afya ya akili mwanaume mwenyewe unakuta hajijali. Wewe ninani wakumfanya mwenzako machine kwakutumia vifungo vya biblia ilihali wajua ulipoolewa mwanaume alikuwa anaishi kiwango gani cha maisha.

Nithibitishe lipi ilihali wewe mwenyewe umetoa maneno ya mdomoni mwako ukalazimisha tukuamini pasipo vithibitisho. Nani amekwambia hamuamini mwenyezi Mungu mpaka useme navunja agano wakati nyinyi mlishalivunja tangu miaka 10 iliyopita maana majukumu ya mke mmeyatelekeza na utunzaji wa miili yenu mmeona simali kitu😂😂😂.

Mmesimiamia agano moja tu, ambalo mnasema mwanaume akutunze wakati wewe hutaki kujua wakati wa shida na wakati wa raha. Uzinzi ufanye wewe tena kwa mwili wako leo umtupie mwanaume kuwa hakutunzi, wewe ni yai. Mlikataa kabisa kuitwa wanawake mkajikita kujionyesha nyinyi ni bora sana kuliko mwanaume na mkasema free will for everyone sasa mwanaume akushikie risasi au akupige ngumi ilihali mawazo ulishayawaza akilini mwako. We rukaruka wee, ila unayeathirika ni wewe na anayeweza kuzuia hayo ni wewe sio mwanaume.

Hukuzaliwa tumbo moja na huyo mwanaume na kipindi chote hicho uliishi peke yako kabla ya kujuana. Unataka kufuata biblia basi iishi biblia, biblia haikuidhinisha uasherati eti kwasababu hautunzwi, wewe ni nani leo wa kumuhesabia mwenzako hukumu wakati akili na maarifa umepewa. Umekosea jihukumu wewe, bali mtu wa pili kumsingizia ni kosa maana hata Adamu alipata kosa kwanjia hiyohiyo. Jihukumu mwenyewe.
 
Mwanaume wajibika kuwa kichwa cha msaidizi wako
😂😂😂 mlishakataa mapema sana kuwa mwanaume sikichwa na maisha bila yeye mtaendelea. Mwairudiaga hiyo sentensi kuwa mwanaume ni kichwa mpatapo na shida tu. Ndivyo mabinti wenu mlivyowalea, wakasema mimi ninaelimu hivyo hata nafasi ya mwanamke wakaidharau, leo hii majanga yakianza mwanaume ndio kichwa.

Na kuwa kichwa, sio kwamba nimezishikilia matamaa yako lahasha, ingekuwa hivyo basi kila mwanamke asingehukumiwa kama biblia isemavyo bali wanaume peke yao kwakuwa sisi ndio tunacontrol mihemuko na tamaa zenu. 😂😂😂Utunzwe na akili pia ushikiwe.
 
Nilivyoona jana yule mwamba wa Dom alivyomuua mkewe kisa vicoba,sina hamu,

Yaani mke kamuomba mumewe pesa ya apeleke kwenye vicoba,mume akasema hana pesa

Mke akatoka home saa kumi jioni na kurudi saa mbili,eti alienda kukopa pesa kwa shoga yake,,,,,mume akafanya maamuzi magumu.
SI unaona hapo amesahau ana majukumuu ya kuandaa watoto kupika alafu anarudi SAA mbili alafu ukute hakukubaliana na kuelewana huyo mume wake vizuri KUHUSU kwenda anakoenda.Mwisho wa SIKU maamuzi ya hasira yametumika
 
Dah! Huko kutukanana[emoji23][emoji23][emoji23],ila asante. Bali msimamo wangu upo palepale usitegemee maisha unayoyaishi wewe ayacontrol mtu mwingine. Kuongoza sio kucontrol, na hilo agano halijawekwa upande wa mwanaume tu
WANAWAKE wa Sasa hivi wanaendeshwa na feminism wanataka asilimia 50 kwa 50. Basi wajitunze maana kama wote tunakula pasu kwa pasu maanake wote TUNAWEZA kujimudu .Mimi kwa kweli mwanamke hafanyi kazi za nyumbani za kawaida anasema anaonewa nimemuoa kwa sababu IPI .

Sioni anaponisaidia maanake kama Hela ya chakula natafuta mimi lakini yeye amekaa anatamani tupangiane zamu za KUFANYA usafi na kupika NDANI ya nyumba .Hii haileti maana NONSENSE . Alafu Huyo Huyo anacheza michezo kama hiyo alafu anataka alindwe .
 
Nilivyoona jana yule mwamba wa Dom alivyomuua mkewe kisa vicoba,sina hamu,

Yaani mke kamuomba mumewe pesa ya apeleke kwenye vicoba,mume akasema hana pesa

Mke akatoka home saa kumi jioni na kurudi saa mbili,eti alienda kukopa pesa kwa shoga yake,,,,,mume akafanya maamuzi magumu.

Mwamba anamakosa, mwanaume mwenye akili za mbali anadhibiti mambo tangu yakiwa machanga hayajakomaa.
Kuruhusu Mkeo acheze Vicobaau awe na Marafiki wengi kiusalama wa familia sio nzuri kutokana na nature ya wanawake wengi walivyo

Mwanamke ni mtu wa kusikiliza maneno zaidi hivyo ni wachache wanaojua Nani wakumsikiliza.

Kimsingi Mimi kama TAIKON siwezi kukuruhusu ucheze Vicoba, na Kama utakaidi Sheria zangu ni Kama sheria za Umedi na Uajemi hazibadiliki na lazima zifuatwe. Usipofuata ni Kupiga chini tuu.

Muda wa Kuuana hautakuwepo ilhali kuna wanawake wengi wazuri ambao ninaweza kuwaoa.
Halikadhalika wapo wanaume wengine wazuri unaoweza kuolewa nao. Ni Kupiga chini tuu
 
SI unaona hapo amesahau ana majukumuu ya kuandaa watoto kupika alafu anarudi SAA mbili alafu ukute hakukubaliana na kuelewana huyo mume wake vizuri KUHUSU kwenda anakoenda.Mwisho wa SIKU maamuzi ya hasira yametumika
Hakumuaga mumewe,
 
Back
Top Bottom