Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Afu unampa na uhuru wa kuchangamana na wanawake wenye tabia tofauti na mawazo tofauti. Pongezi kwakoKama mimi ndio nampa pesa ya kikoba/vikoba shida iko wapi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu unampa na uhuru wa kuchangamana na wanawake wenye tabia tofauti na mawazo tofauti. Pongezi kwakoKama mimi ndio nampa pesa ya kikoba/vikoba shida iko wapi!
Sikweli, maana hiyo pesa waipatayo huko wanawake wengi hawaitumii kujitunza au kuitunza familia. Bali huitumia kutimiza tamaa. Kila mtu anajua level ya maisha aliyonayo, ila nyie mtalazimisha highest level ili mpate kuwa validated ilihali unawatoto wa kuwalisha. Wengi mnasema wanaume wamefeli ila huwaondoa baba zenu katika hilo kundi, kama baba yako alifeli kukupa hayo maisha unataka mtoto wa mwanamke mwenzio akupe [emoji23][emoji23][emoji23]. Kila mtu atampata anayeendana naye, achaneni na matamaa. Wapo wakwenye vicoba kwaajili ya watoto wao, ila wengi wawaliolewa sababu kuu ni tamaa.Mwanaume kutopenda vikoba, na mwanamke kuendelea kucheza vikoba tayari ni wazi kabisa kwamba mwanaume ameshindwa kuwa mwanaume either kwa kumtunza mke kwa matunzo sahihi au kwa kuhakikisha familia inaishi
Mambo ya kujifunza kutoka kwenye Uzi wa Taikon;
1.Kushiriki vikoba humpa mtu msukumo wa kutafuta pesa
2.Kama mkeo Hana kazi,usimruhusu acheze vikoba
3.Asilimia 90 ya wanawake Ni wadhaifu wawapo mbele ya pesa na Mali.
Define nature au tuelezee hiyo nature[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimegundua sisi wanaume tukishindwa kutetea hoja zetu tunakimbilia kusema nature. Nani kasema hukupanga wakati unajua matokeo ya tendo ni mimba, tuache kujivictimize. Acha kufanya tendo uone kama utamleta mtu huku duniani. Tunatanguliza ngono mno, mwishowe tunasema nature. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo unapingana na nature Hakuna apangae nani aje duniani
Mkuu amani kwako,Na, Robert Heriel
Vikoba ni msaada mkubwa kwa watu wasioweza kuhifadhi pesa, watu wasio na msukumo wa kutafuta pesa. Vikoba humsaidia mtu kupata msukumo wa kutafuta pesa ili apate pesa ya marejesho.
Vikoba vina faida nyingi sana, lakini faida kuu ni msukumo wa kutafuta pesa iwe kwa halali au kwa haramu. Vikoba vinampa mtu uwezekano wa kupata mkopo ndani ya kikundi aliko.
Hata hivyo bado faida kuu ya Vikoba ni msukumo wa kutafuta pesa, hilo tuu ndio ninaweza kulisema.
Wanawake wengi wapo kwenye vikoba, Wapo wa vikoba vya buku buku kwa siku, wengine elfu tano kila wiki, wengine elfu hamsini kila wiki au mwezi, basi kila mtu kulingana na uwezo wake.
Vikoba ni hatari kama sumu, vikoba vinaua familia kuliko kawaida. Vikoba ni chanzo cha ndoa nyingi kusambaratika, vikoba kwa sasa ni chanzo kikubwa cha Umalaya kwa wanawake waliowengi, umalaya walioupa jina la kudanga.
Vikoba vinafanya wanaume waliooa kunyiwa uroda usiku. Vikoba vinafanya wanawake kuliwa na kujiuza hata kwa elfu tano. Sisemi kwa kukandia, naongea jambo la uhakika nililolichunguza na kulithibitisha.
Vikoba ni kitanzi kwa wanawake wetu, na mtego kwa sisi wanaume.
Vikoba vimefanya scale ya vizinga kuongezeka na kuzidi maradufu. Wanawake wamechachamaa na vikoba, hii inaongeza kasi ya misumari na mizinga ya namna zote.
Mwanamke kama hana kazi yoyote usimruhusu acheze vikoba, hata akulilie vipi usimruhusu acheze huo mchezo, akishupaza shingo piga chini akatafute wacheza vikoba wenzake huko mitaani. Usimuonee huruma asijeakakuponza baadaye. Kama hunisikii jaribu ujionee.
Mwanamke kama hana kazi na anacheza vikoba nakuhakikishia lazima atapasuliwa na wahuni wa mjini kwa bei sawa na bure, mkeo atagawa kwa mshahara wa punda ambao ni kama bure tuu.
Mkeo akicheza Vikoba akiwa hana kazi, nakuhakikishia utakonda na kuwa na unyafunzi kama sio kwashakoo kwa kukosa lishe bora. Kwani ataibana hela na kukulisha matembele na mlenda kila siku huku akisingizia hela unayompa ni ndogo kumbe pesa ingine anaipeleka kwenye vikoba bubu huko mtaani. Utakonda na kuwa na afya duni.
Mkeo akicheza vikoba na hana kazi, nakupa mwezi mmoja ataanza kukupimia penzi robo kwa robo tatu badala ya kukupa nzima nzima. Atakupaje penzi wakati anastress za marejesho, atakupa mchezo wakati anamadeni kila kikundi. Utapimiwa mpaka ukome na upumbavu wako.
Kama hana kazi asicheze vikoba, hilo sio ombi bali ni lazima. Hakuna mjadala hapo, wala hakuna mashauri katika hilo.
Mkeo hana kazi alafu anacheza vikoba, kwa nini ukirudi nyumbani usimkute amenuna na kujivimbisha mashavu kama kobra, utamkuta amenuna ukimuuliza sababu hana anachoeleza isipokuwa blah blah zisizo na maana yoyote.
Kama hana kazi na anacheza vikoba sio ajabu akakuibia pesa au akakutapeli pesa kwa kukudanganya kuwa kuna mtu anaumwa, au mtoto anahitaji pesa fulani, au uongo wowote ilimradi tuu akupige.
Hata kama anakazi yake, lazima ujue marejesho ni kiasi gani, marejesho yasije yakawa hayalingani na kipato chake, lazima atobolewe, niamini mimi hata kama unakichwa kigumu kisichoelewa,
Vikoba ni kichaka cha utakatishaji wa pesa ndani ya ndoa.
Mkeo anaweza kuwa anafanya umalaya huko pasipo wewe kujua, anadanga lake linalompa mapesa, sasa kuziingiza zile pesa ndani ya familia inakuwa mtihani kwani mume lazima utahoji, sasa mbinu rahisi ni kujiunga vikoba kisha atajifanya anahela anapokea wiki ijayo kama milioni mbili kumbe ni pesa aliyohongwa huko na madanga yake.
Vikoba viendane na kipato cha mtu.
Hana kazi asicheze vikoba.
Kiasili mwanamke ni dhaifu mbele ya pesa na mali.
90% ya wanawake duniani ni malaya wawapo mbele ya pesa.
Kama ilivyo kwa wanaume kuwa asilimia 90% ni dhaifu mbele ya wanawake wazuri.
Hana kazi Asicheze Vikoba!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Morogoro
Mkuu, sijui ni wanawake wangapi walio kwenye ndoa wanaweza kusema hivi ulivyosema wewe.Usiseme serikali ipige vita vikoba
Sema wanaume wawajibike kusimama kwenye nafasi zao
Binafsi sijawahi cheza vikoba wala sina huo mpango ila sioni sababu muhimu ya serikali kuweka katazo
Nature ni nguvu beyond your limit inayoendesha maisha ya wanadamu.Define nature au tuelezee hiyo nature[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimegundua sisi wanaume tukishindwa kutetea hoja zetu tunakimbilia kusema nature. Nani kasema hukupanga wakati unajua matokeo ya tendo ni mimba, tuache kujivictimize. Acha kufanya tendo uone kama utamleta mtu huku duniani. Tunatanguliza ngono mno, mwishowe tunasema nature. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana pia hata mimba hupangwa kama ukitaka.
wewe ulivyoamua kufanya ngono ulikuwa na choice au hukuwa nayo? Natena unajua majibu ya tendo ni mimba, sasa hukua na choice ya kusubiria mpaka uje umlee mtoto vyema bila lawama au tamaa zako zilikuwakia. Hilo jambo lipo ndani ya uwezo wako, mimba sio kifo, tuache tamaa.Nature ni nguvu beyond your limit inayoendesha maisha ya wanadamu.
Yaani kuzaliwa,kuishi na kufa.
Kwani wewe unayo choice ya kuamua ufe lini kwa kifo gani.
Mimi sikuzaa hovyo bila planwewe ulivyoamua kufanya ngono ulikuwa na choice au hukuwa nayo? Natena unajua majibu ya tendo ni mimba, sasa hukua na choice ya kusubiria mpaka uje umlee mtoto vyema bila lawama au tamaa zako zilikuwakia. Hilo jambo lipo ndani ya uwezo wako, mimba sio kifo, tuache tamaa.
Basi kama uliweza kuwa na plan ya kulea mtoto hivyo hutambebesha lawama mtoto ya kumzaa. Maana wakati wa hiyo plan, yeye hakuwepo. Naulipiga kifua kumlea huyo mtoto maana ulimleta mwenyewe na kwakuchagua wewe. Hivyo, hujamfanyia upendeleo wala huruma zozote bali nikatika kutimiza majukumu ya kibinadamu ambayo kwaujumla hukufanya upate furaha. Tuache kusingizia nature.Mimi sikuzaa hovyo bila plan
Vipi waliobakwa je waliplan kuzaaBasi kama uliweza kuwa na plan ya kulea mtoto hivyo hutambebesha lawama mtoto ya kumzaa. Maana wakati wa hiyo plan, yeye hakuwepo. Naulipiga kifua kumlea huyo mtoto maana ulimleta mwenyewe na kwakuchagua wewe. Hivyo, hujamfanyia upendeleo wala huruma zozote bali nikatika kutimiza majukumu ya kibinadamu ambayo kwaujumla hukufanya upate furaha. Tuache kusingizia nature.
Wewe umekosa hoja zote ukaamua kuleta exceptions to the rule😂😂😂. Ili tu utetee hoja ya kumlaumu mtoto😂😂😂. Ambao sijui ni wangapi, maana single mothers au fathers more than 90% hawajabakwakwa. We leta siasa wee, ila mtoto ni wako hivyo mlee hiyo siyo niombi bali nijukumu lako kama mzazi.Vipi waliobakwa je waliplan kuzaa
Ukizaa watoto zaa tu, usizae watoto ili baadae waje kukusaidia kwa sababu wakati huo wao watakua na majukumu mahali pengine hivyo kule kukujali sana kunapungua. Mzazi jiwekeze vizuri kuepuka lawama kwa watoto.Watanzania wengi wamesoma kwa vicoba na pombe ya gongo huo ndio ukweli. Halafu unakuta mpumbavu anamsahau mama yake anahonga kahaba. Sema tu wazazi huwa wanamuachia MUNGU tu, mtu akiwaza kalala mara ngapi kituoni kwa kesi za gongo, au vitu vyake vya ndani vilichukuliwa kwa marejesho ya vicoba leo toto limetekwa na kahaba ndo anafaidi. Mungu awatie nguvu wamama wote
Hiyo tuliicheza tukiwa sita. Milioni 1 kwa mwezi.Kuna madada wa UN walicheza cha milioni moja mzunguko wako ukifika unakunja milioni 10 au zaidi.
Utaua kama wa Dodoma.Kwa nini umpige mtoto wa watu?
Utaua kama wa Dodoma.
Mwanaume kafanya kosa gani hapo[emoji23][emoji23][emoji23], duh! Wewe wajibika ndani ya maisha yako, mwanaume sio slave kiasi hicho ikiwa wanawake hawataki wenyewe kuwajibika kama wake. Maisha ni yako, jiwajibishe inavyopaswa. Hukuzaliwa na mwanaume. Ukitaka kufuata maandiko, basi hakikisha nawe wayafuata. Ujiumize na kutumia mwili wako vibaya, kesho uulizwe na Mungu eti useme mwanaume hakuwajibika. Weee!
Thibitisha kwamba hiyo pesa haitunzi familiaSikweli, maana hiyo pesa waipatayo huko wanawake wengi hawaitumii kujitunza au kuitunza familia. Bali huitumia kutimiza tamaa. Kila mtu anajua level ya maisha aliyonayo, ila nyie mtalazimisha highest level ili mpate kuwa validated ilihali unawatoto wa kuwalisha. Wengi mnasema wanaume wamefeli ila huwaondoa baba zenu katika hilo kundi, kama baba yako alifeli kukupa hayo maisha unataka mtoto wa mwanamke mwenzio akupe [emoji23][emoji23][emoji23]. Kila mtu atampata anayeendana naye, achaneni na matamaa. Wapo wakwenye vicoba kwaajili ya watoto wao, ila wengi wawaliolewa sababu kuu ni tamaa.
Mkuu, sijui ni wanawake wangapi walio kwenye ndoa wanaweza kusema hivi ulivyosema wewe.