Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

Watanzania wengi wamesoma kwa vicoba na pombe ya gongo huo ndio ukweli. Halafu unakuta mpumbavu anamsahau mama yake anahonga kahaba. Sema tu wazazi huwa wanamuachia MUNGU tu, mtu akiwaza kalala mara ngapi kituoni kwa kesi za gongo, au vitu vyake vya ndani vilichukuliwa kwa marejesho ya vicoba leo toto limetekwa na kahaba ndo anafaidi. Mungu awatie nguvu wamama wote
Watu kusomeshwa kwa vikoba na gongo hakuondoi ukweli kuwa Mwanamke anayecheza vikoba ni rahisi kwa 99% kuingia kwenye umalaya.
 
Wanawake mna siri sana,kama mnatubambikia watoto kwenye ndoa tunawalea kuna kitu mnashindwa nyie

Wewe nawe umebambikwa!? 🤣🤣🤣🤣
Acha hofu fuata taratibu sahihi kupata mwanamke sahihi na wewe pambana kuhakikisha unakuwa mume sahihi
 
Watu kusomeshwa kwa vikoba na gongo hakuondoi ukweli kuwa Mwanamke anayecheza vikoba ni rahisi kwa 99% kuingia kwenye umalaya.

Mwanamke kuwa Malaya ili asomeshe watoto na mwanaume kuulalamikia umalaya wake huku watoto wanasomeshwa nao huo ni uzembe mwingine
 
Back
Top Bottom