Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

Kuna madada wa UN walicheza cha milioni moja mzunguko wako ukifika unakunja milioni 10 au zaidi.
Kuna mahali tulikua watu kumi, kwa kiingilio laki tano tano, ukafika wakati wanachama wakopeshane kwa zamu, sasa wale waliokopeshwa wakiishachukua mkopo na muda wa kurejesha umefika hawarejeshikwa wakati Wanawaulizia wanachama wengine kama wamerejesha , ikiwa hawajarejesha nao hawarejeshi mwisho wa siku wale waliokua hatujachukua hela tukagawana kilichokuwepo.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Vikoba vya Ulaya vimesajiliwa na vinaendeshwa na halmashauri za Wilaya. Vinasaidia watu wenye uwezo mdogo kumudu gharama kama za mazishi, harusi, kununua gari au furniture za ndani.

Unafungua account na unaweka pesa kila mwezi. Ukifikisha milioni 3 ukiwa na shida wanakukopesha milioni 3. Wanaamini kama uliweza kuweka milioni 3 hutashindwa kulipa huo mkopo.

Kujiandikisha ni mpaka uwe na vigezo na uthibitisho wa u kazi.
Kama ni hivyo basi vicoba ni mkombozi WA maisha ya chini....
 
Kama mimi ndio nampa pesa ya kikoba/vikoba shida iko wapi!
Bado utapigwa tu, vikoba nimegundua vinatoa hamasa ya hali ya juu ya kufanya mwanamke apende pesa zaid kama ilivo kwa saloon za kike story zinazopigwa mle na vikoba vilevile, utasikia akina mama, leo nipige kizinga danga langu la .... hapo mkeo ataona k, si kitu anaweza gawa na kusiwe taabu. Ninaungana na mtoa mada usiruhusu mke kama haingiz kucheza kikoba
 
Ndugu mleta mada umeangazia maisha halisi napenda kukupongeza kwani haya uliyosema ndio maisha halisi ya mama zetu,dada zetu na wake zetu huku mtaani .
 
Huku mitaani hali sio poa.

Najua wanawake wakiamua jambo lao huwa tu. Ila Vicoba imekuwa sumu ya ndoa nyingi huku mtaani.

Siye ambao hatujaoa tunavyoona wake zenu wanajirahisisha kisa VICOBA tunaogopa sana.

Kama mkeo anacheza kikoba ujue analiwa tu.
 
Back
Top Bottom