Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Wadada wanaliwa sana kusaka hela ya mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wanaliwa kwa hela ya kawaida kabisaWadada wanaliwa sana kusaka hela ya mchezo
Wanaunga unga ili wakamilishe....Juma katoa buku 5 , Jose buku 5 akipata na wengine wa 2 ana 20 ya mchezo wanajua kwenda kupiga 20 mara moja ni ngumu kwa usawa huu maana michezo yao ni kila siku, kupata huyo kidume wakutoa 20 kila siku mbindeTena wanaliwa kwa hela ya kawaida kabisa
Umeoa?Kikoba kinageuza mke mwema kuwa kahaba wa chini kwa chini
Sina mpango huoUmeoa?
Mnafanyia nini hizo hela, tupe madiniHapo mbezi hao wana kikoba walivamia kwenye nyumba ya mdaiwa yaani yule baba pamoja na u polisi wake walinyanyua tv aliyokuwa akiangalia,
Mwingine mwanamke alikopa benki kisirisiri walienda kupiga nyumba mnada mwanaume yuko ndani.
Uliza sasa hizo hela wanachofanyia, ni aibu tupu
Hayupo .hapo mke anakuwa kahaba wa chini kwa chiniWanaunga unga ili wakamilishe....Juma katoa buku 5 , Jose buku 5 akipata na wengine wa 2 ana 20 ya mchezo wanajua kwenda kupiga 20 mara moja ni ngumu kwa usawa huu maana michezo yao ni kila siku, kupata huyo kidume wakutoa 20 kila siku mbinde
NDIO maana ila Kuna option Mbili tu, usipooa utaolewa, na Mimi nasema olewa tuSina mpango huo
Kama niivyo ntamuoa shangazi yakoNDIO maana ila Kuna option Mbili tu, usipooa utaolewa, na Mimi nasema olewa tu
Wananywea Serengeti liteMnafanyia nini hizo hela.tupe madini
Najua wanawake wakiamua jambo lao huwa tu. Ila Vicoba imekuwa sumu ya ndoa nyingi huku mtaani.
Siye ambao hatujaoa tunavyoona wake zenu wanajirahisisha kisa VICOBA tunaogopa sana.
Mademu wanaturoga sana hadi tunasahau wazaziWatanzania wengi wamesoma kwa vicoba na pombe ya gongo huo ndio ukweli. Halafu unakuta mpumbavu anamsahau mama yake anahonga kahaba. Sema tu wazazi huwa wanamuachia MUNGU tu, mtu akiwaza kalala mara ngapi kituoni kwa kesi za gongo, au vitu vyake vya ndani vilichukuliwa kwa marejesho ya vicoba leo toto limetekwa na kahaba ndo anafaidi. Mungu awatie nguvu wamama wote
Nina Wajukuu tu sasa Kijana wanguKama niivyo ntamuoa shangazi yako
Shida iko wapiNina Wajukuu tu sasa Kijana wangu
Huku mitaani hali sio poa.
Najua wanawake wakiamua jambo lao huwa tu. Ila Vicoba imekuwa sumu ya ndoa nyingi huku mtaani.
Siye ambao hatujaoa tunavyoona wake zenu wanajirahisisha kisa VICOBA tunaogopa sana.
Kama mkeo anacheza kikoba ujue analiwa tu.
Huwa sichezi kikoba, Kuna mwaka nilijaribu cha kanisani nacho kikafeli, nikaachana na vikoba mia kwa miaMnafanyia nini hizo hela.tupe madini