Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

Sasa kama wanaume wenyewe wamekua waoga na wa kulalamika hivi wake zao wafanyaje🤔🤔
Hahahaaa... kazi wanayoooo Hakyanani!!
Mume Keshajua tatizo ndio akomae kupambana sasa sio kuishia kulalamika!
 
Hahahaaa... kazi wanayoooo Hakyanani!!
Mume Keshajua tatizo ndio akomae kupambana sasa sio kuishia kulalamika!

Mwanaume kutopenda vikoba, na mwanamke kuendelea kucheza vikoba tayari ni wazi kabisa kwamba mwanaume ameshindwa kuwa mwanaume either kwa kumtunza mke kwa matunzo sahihi au kwa kuhakikisha familia inaishi
 
Exactly!!
cc: mtoa mada
 
Vicoba kwa wanawake mtaani ni majanga matupu, wanajiachia sana ili wapate pesa ya vicoba
 
Mambo ya kujifunza kutoka kwenye Uzi wa Taikon;

1.Kushiriki vikoba humpa mtu msukumo wa kutafuta pesa

2.Kama mkeo Hana kazi,usimruhusu acheze vikoba

3.Asilimia 90 ya wanawake Ni wadhaifu wawapo mbele ya pesa na Mali.
 
Watanzania wengi wamesoma kwa vicoba na pombe ya gongo huo ndio ukweli. Halafu unakuta mpumbavu anamsahau mama yake anahonga kahaba. Sema tu wazazi huwa wanamuachia MUNGU tu, mtu akiwaza kalala mara ngapi kituoni kwa kesi za gongo, au vitu vyake vya ndani vilichukuliwa kwa marejesho ya vicoba leo toto limetekwa na kahaba ndo anafaidi. Mungu awatie nguvu wamama wote
[emoji23][emoji23][emoji23] tuwapende wazazi wetu na tuwajari. Ila kamwe, mzazi huna haki ya kumhukumu mwanao eti kwasababu ulimtunza. Wewe ndio uliemleta duniani bila hata kumshirikisha na ulifanya hivyo kwa starehe zako wala yeye hakuwemo ndani ya starehe na mtoto kutunzwa na wazazi wake ni jukumu la mzazi wala sio upendeleo au huruma zako. Watoto tupende wazazi wetu ila kuwa mzazi ulichagua hukushurutishwa basi timiza majukumu yako.
 
Hapo unapingana na nature Hakuna apangae nani aje duniani
 
Usiseme serikali ipige vita vikoba
Sema wanaume wawajibike kusimama kwenye nafasi zao

Binafsi sijawahi cheza vikoba wala sina huo mpango ila sioni sababu muhimu ya serikali kuweka katazo
Mwanaume kafanya kosa gani hapo[emoji23][emoji23][emoji23], duh! Wewe wajibika ndani ya maisha yako, mwanaume sio slave kiasi hicho ikiwa wanawake hawataki wenyewe kuwajibika kama wake. Maisha ni yako, jiwajibishe inavyopaswa. Hukuzaliwa na mwanaume. Ukitaka kufuata maandiko, basi hakikisha nawe wayafuata. Ujiumize na kutumia mwili wako vibaya, kesho uulizwe na Mungu eti useme mwanaume hakuwajibika. Weee!
 
Back
Top Bottom