Kama hauko katika hizi listi fanya uwepo mwanaJF

Kama hauko katika hizi listi fanya uwepo mwanaJF

Baadhi ya hao ndo wale mexelence amegoma kutoa majina yao police
 
category hovy kabisa, ungeweka na wakongwe tulionzia Jambo forums, mimi jamii niko toka mwaka 2009
 
ndio ipo inaitwa makapuku forums kwani wewe mgeni humu kule wana mpaka sakos wachumba wapenzi haha...
Iyo/Ilo malapuku nalionaga Nikawa najua ni Uzi tu so inamaana na mm ni member pia mana nishacoment humo
 
Back
Top Bottom