Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Ndo mathink tank ya chadema hayo yanajibu hoja.
Ni kweli comrade. Ifike mahali hizi story za "wamenunuliwa" zifike mwisho. Ni wakati sasa nao waanze kununua makada wa CCM kama wataweza.Mtoa mada huogopi kutukanwa?!!!! Huko hauhitajiki ukweli, Bali kumpigia magoti lissu na heche tu. Ukienda tofauti basi utapatiwa majina yoooote mabaya na kashfa, kubwa ikiwa "umenunuliwa na ccm".
Kwa chama hicho, tuhuma za kununuliwa makada zimekuwa zikisikika miaka mingi tangu enzi za kina zitto, lijualikali, mashinji n.k Hadi kufika Leo wimbo ukiwa huohuo; ni dhahiri mtoa mada uko sahihi. Lakini asili ya wachadema wengi waliopo humu NI upumbavu basi watakutulana tu.
Kwanini nao CHADEMA wasianzishe project zao ndani ya CCM?Project za ccm ziko predictable sana..
Sawa vyama vya upinzani hawana hela, lakini kwanini wanunulike? Umasikini sio tiketi ya kujiuzaVyama vya upinzani hakuna hela ,so wanajipambania kivyao . Pesa zinazopatikani ni kurataibu shughuli za kichama ambazo ni wakubwa tu , unafikiria uwe kada huko Muheza pesa itakufikia , kitu ambacho ni tofauti na CCM ; wana miradi mingi .
Ccm ni chama dola, kina pesa za kutosha ndiyo maana huwezi sikia wakilalamika wanachama wake kununuliwa. Wapinzani watapa wapi pesa za kununua wanachama wa CCM? Lakini CCM hakuna mwanachama yeyote mwaminifu, kama yupo mtaje hata mmojaHuwa tunapenda sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Hata hivyo majibu ya namna hiyo hayatibu ugonjwa.
Mtaji wa kwanza wa chama cha siasa ni wanachama waaminifu ambao wapo tayari kukitetea, kukilonda na kukipigania chama chao.
Tafakari, kama chama viongozi wake, wanaweza nunuliwa kwa bei ya TSh. 2,000,000/- tunazoambiwa ili wakiharibu chama chao, sasa kuna chama hapo?
Tuwe wa kweli, kuna mahali vyama vya upinzani havifanyi vizuri. Na mahali hapo ni malezi ya makada wake. Hii ndio sababu kila siku tunasikia malalamiko ya wanachama wao kununuliwa.
Waswahili husema baniani mbaya kiatu chake dawa. Kama CHADEMA wanalijua hili ni vyema wakaenda kujifunza CCM namna ya kuwalea makada wao kuwa viongozi waaminifu.
Dunia tuliopo sasa pesa ni kila kitu .Sawa vyama vya upinzani hawana hela, lakini kwanini wanunulike? Umasikini sio tiketi ya kujiuza
Watoe wapi pesa ili hali pesa ziko CCM, jambo dogo kama hili kama hulijui basi jua wewe ni kilazaNi kweli comrade. Ifike mahali hizi story za "wamenunuliwa" zifike mwisho. Ni wakati sasa nao waanze kununua makada wa CCM kama wataweza.
Wana CCM wote ni waaminifu kwa chama chao ndio maana hujawahi sikia wamenunuliwa kutekeleza project za wapinzani waoCcm ni chama dola, kina pesa za kutosha ndiyo maana huwezi sikia wakilalamika wanachama wake kununuliwa. Wapinzani watapa wapi pesa za kununua wanachama wa CCM? Lakini CCM hakuna mwanachama yeyote mwaminifu, kama yupo mtaje hata mmoja
Hizi za tonetone ambazo mpaka wanatuhumiana kuzifuja haziwatoshi?Watoe wapi pesa ili hali pesa ziko CCM, jambo dogo kama hili kama hulijui basi jua wewe ni kilaza
Kwenye chaguzi ndani ya ccm watu wananunuliwa kama njugu bwashee wacha kujifanya muchn nowHizi za tonetone ambazo mpaka wanatuhumiana kuzifuja haziwatoshi?
We mataqo kweli, badala usikitike pesa za nchi zinatumika kizembe unawalalamikia CHADEMA?!.Kwanini nao CHADEMA wasianzishe project zao ndani ya CCM?
To achieve what?Kwanini nao CHADEMA wasianzishe project zao ndani ya CCM?
Unajua Swalika na kujijibu mwenyewe propaganda lumumba inaongozwa na mazuzu Yani I'd mbili zote unaziongoza mwenyewe Sasa hapa Id mbili buku 7 au 14 hebu nisanue comredi.Sawa vyama vya upinzani hawana hela, lakini kwanini wanunulike? Umasikini sio tiketi ya kujiuza