Kama hawa wote wanaomtuhumu Heche wamenunuliwa, CHADEMA hamna makada!

4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Huwezi ukailea tamaa ya mtu!
 
Biashara ya watu ilianza enzi za JIWE akishikiriana na Polepole....Yanayotokea kwasasa ni muendelezo.
 
Sasa kama Dr ndio una uwezo duni hivi wa kufikiri, ndio unatarajia tupeleke watoto wetu wakawe wasomi? Yaani unashindwa kujua kuwa rushwa ina nguvu kiasi gani kwa wanasiasa?! Yaani mtu atoke upinzani aende ccm akajifunze, yaani anaenda kujifunza nini, maana kama ni uadilifu ccm ndio inaongoza kwa kukosa maadili, na wao ndio wanatumia raslimali za umma kurubuni wapinzani. Hadi nimeona aibu kwa hiki ulichosema.
 
Huku kwetu CCM ukikosoa tunakufanya kama Humphrey Polepole...
 
kwamba heche anajisifu kabisa publicly kua yeye ni Leonel Mesi wa masuala ya ufisadi ndani ya chadema, right?🤣
 
R.I.P Humphrey Polepole......kosa lake lilikuwa kuiokosoa CCM pamoja na kuhoji uvunjaji wa katiba ya chama kwenye kumpata mgombea wa uraisi
 
Wana CCM wote ni waaminifu kwa chama chao ndio maana hujawahi sikia wamenunuliwa kutekeleza project za wapinzani wao
kama wanaccm wote wangekuwa waaminifu kwa chama chao basi wasingekuwa wanahamia upinzani kutafuta ubunge/urais/udiwani.
 
Kwani wangapi? Tàkataka zilizovalishwa nguo za chadema ndizo unaita makada....
 
Bawacha hawatakuja na hoja bali porojo na matusi
 
Ndio maana Prof. Safari aliingia huko, akaishia kuwaita manyumbu kisha akajiondokea.
 
Wengi siyo wanachama wa Chadema, wanavishwa sare za Chadema na kujiita majina ya viongozi wa Chadema na sare hizo wanapewa na jeshi la Polisi, wiki kadha zilizopita kuna mfanya bishara anayeuza sare na vifaa vya Chadema alivamiwa na Polisi dukani kwake usiku wa manane wakaondoka mzigo mkubwa wa vifaa hivyo na ndiyo hizo zinatumika na hao matapeli , inadhihirisha kuwa huu ni mpango wa muda mrefu kati ya kitengo cha propaganda cha CCM na Polisi.
 
Kwenye kundi lolote wasaliti hawakosekani hata Yuda alipewa vipande thelathini TU akasaliti

Tunachoangalia ni mfumo wa chama kuwashughulokia wasaliti wanapobainika

Pia uaminifu haupimwi Kwa thamani yoyote Ile ya fedha , mtu mwamifu hata iwe billion mbili atakatakataa kutumika

Lakini hicho chama kinachotumia mbinu chafu kama kuwalaghai watanzania maskini unafikiri Wana hali gani kisiasa

Ukweli ni kwamba makada wengi wa Ccm wako Kwa sababu maslahi binafsi tofauti na Chadema wengi wanajitolea tu
 
Naona umeweka jina full na passport kabisa
Weka na namba kama Lucas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…