Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Wanaotuhumiwa ni wangapi kwa uuwiano na idadi ya wanachama wao?Huwa tunapenda sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Hata hivyo majibu ya namna hiyo hayatibu ugonjwa.
Mtaji wa kwanza wa chama cha siasa ni wanachama waaminifu ambao wapo tayari kukitetea, kukilinda na kukipigania chama chao.
Tafakari, kama chama viongozi wake, wanaweza nunuliwa kwa bei ya TSh. 2,000,000/- tunazoambiwa ili wakiharibu chama chao, sasa kuna chama hapo?
Tuwe wa kweli, kuna mahali vyama vya upinzani havifanyi vizuri. Na mahali hapo ni malezi ya makada wake. Hii ndio sababu kila siku tunasikia malalamiko ya wanachama wao kununuliwa.
Waswahili husema baniani mbaya kiatu chake dawa. Kama CHADEMA wanalijua hili ni vyema wakaenda kujifunza CCM namna ya kuwalea makada wao kuwa viongozi waaminifu.
Kama wanawajua kuwa hawa hawakuwa wana CHADEMA, bali mamluki wa CCM waliovaa mavaa magwanda ya CHADEMA; kwanini CHADEMA wanawachagua na kuwafanya viongozi?Wengi siyo wanachama wa Chadema, wanavishwa sare za Chadema na kujiita majina ya viongozi wa Chadema na sare hizo wanapewa na jeshi la Polisi, wiki kadha zilizopita kuna mfanya bishara anayeuza sare na vifaa vya Chadema alivamiwa na Polisi dukani kwake usiku wa manane wakaondoka mzigo mkubwa wa vifaa hivyo na ndiyo hizo zinatumika na hao matapeli , inadhihirisha kuwa huu ni mpango wa muda mrefu kati ya kitengo cha propaganda cha CCM na Polisi.
Huwa tunapenda sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Hata hivyo majibu ya namna hiyo hayatibu ugonjwa.
Mtaji wa kwanza wa chama cha siasa ni wanachama waaminifu ambao wapo tayari kukitetea, kukilinda na kukipigania chama chao.
Tafakari, kama chama viongozi wake, wanaweza nunuliwa kwa bei ya TSh. 2,000,000/- tunazoambiwa ili wakiharibu chama chao, sasa kuna chama hapo?
Tuwe wa kweli, kuna mahali vyama vya upinzani havifanyi vizuri. Na mahali hapo ni malezi ya makada wake. Hii ndio sababu kila siku tunasikia malalamiko ya wanachama wao kununuliwa.
Waswahili husema baniani mbaya kiatu chake dawa. Kama CHADEMA wanalijua hili ni vyema wakaenda kujifunza CCM namna ya kuwalea makada wao kuwa viongozi waaminifu.
Nina uhakika we jamaa huna akili.Ni kweli comrade. Ifike mahali hizi story za "wamenunuliwa" zifike mwisho. Ni wakati sasa nao waanze kununua makada wa CCM kama wataweza.
Wapo ambao siyo kabisa wanacha bali wamejipa majina ya viongozi wa Chadema mfano yule aliyejitangaza kuwa ni mwenyekiti wa Jimbo la Kibaha vijijini ni mwana CCM kabisa, na yule aliyesema ni Katibu wa Bavicha Kibaha ni mwanachama wa NCCR Mageuzi na aligombea udiwani 2025 kwa tiketi ya NCCR Mageuzi waliosingiziwq majina na vyeo vyao wamefanya press leo kukanusha na hii ni jinai lakini kwa vile Polisi ni washiriki wa huo mpango hao hawatachukuliwa hatua yoyote. Chadema haipambani na CCM peke yake bali na dola nzima.Kama wanawajua kuwa hawa hawakuwa wana CHADEMA, bali mamluki wa CCM waliovaa mavaa magwanda ya CHADEMA; kwanini CHADEMA wanawachagua na kuwafanya viongozi?
Hoja tunayoikwepa ni kuwa vyama vya upinzani ikiwemo CHADEMA bado hawajaweza kupamdikiza ukada, ukereketwa na ufurukutwa ndani ya wanachama wao. Mwanachama mfia itikadi hawezi kuwa na bei.
Kama wanawajua kuwa hawa hawakuwa wana CHADEMA, bali mamluki wa CCM waliovaa mavaa magwanda ya CHADEMA; kwanini CHADEMA wanawachagua na kuwafanya viongozi?
Hoja tunayoikwepa ni kuwa vyama vya upinzani ikiwemo CHADEMA bado hawajaweza kupamdikiza ukada, ukereketwa na ufurukutwa ndani ya wanachama wao. Mwanachama mfia itikadi hawezi kuwa na bei.
Pumbavu kabisa wewe. Kama mnaweza kutikiswa kwa rushwa (kama unavyosema) na huu ndo utetezi wako ukiwa kama think tank la chadema, basi hiko chama ni kusanyiko la mapunguani.Sasa kama Dr ndio una uwezo duni hivi wa kufikiri, ndio unatarajia tupeleke watoto wetu wakawe wasomi? Yaani unashindwa kujua kuwa rushwa ina nguvu kiasi gani kwa wanasiasa?! Yaani mtu atoke upinzani aende ccm akajifunze, yaani anaenda kujifunza nini, maana kama ni uadilifu ccm ndio inaongoza kwa kukosa maadili, na wao ndio wanatumia raslimali za umma kurubuni wapinzani. Hadi nimeona aibu kwa hiki ulichosema.
🤣🤣🤣🤣🤣Ndio maana Prof. Safari aliingia huko, akaishia kuwaita manyumbu kisha akajiondokea.
Adam sikiliza, kuna zile sare za Chadema walizoiba Polisi, wanavishwa wasela na kula hela za Abdul na DP WORLD mil 2 na kujifanya viongozi wa ChademaMtoa mada huogopi kutukanwa?!!!! Huko hauhitajiki ukweli, Bali kumpigia magoti lissu na heche tu. Ukienda tofauti basi utapatiwa majina yoooote mabaya na kashfa, kubwa ikiwa "umenunuliwa na ccm".
Kwa chama hicho, tuhuma za kununuliwa makada zimekuwa zikisikika miaka mingi tangu enzi za kina zitto, lijualikali, mashinji n.k Hadi kufika Leo wimbo ukiwa huohuo; ni dhahiri mtoa mada uko sahihi. Lakini asili ya wachadema wengi waliopo humu NI upumbavu basi watakutulana tu.
Sawa, endeleeni kubaki hivyo hivyo. Samia huyoooooo...2030Adam sikiliza, Luna Ile sare za Chadema walizoiba Polisi, wanavishwa waseme na kula hela za Abdul na DP WORLD mil 2 na kujifanya viongozi wa Chadema
Samia hatoboi kuna jambo hapo karibuniSawa, endeleeni kubaki hivyo hivyo. Samia huyoooooo...2030
Rushwa ni tatizo la nchi, yaani limevuka hatua ya chama, labda hujui unaongea nini dogo.Pumbavu kabisa wewe. Kama mnaweza kutikiswa kwa rushwa (kama unavyosema) na huu ndo utetezi wako ukiwa kama think tank la chadema, basi hiko chama ni kusanyiko la mapunguani.
Kila mwana Chadema ana price tag. Ni suala la muda na kufika bei.Huwa tunapenda sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Hata hivyo majibu ya namna hiyo hayatibu ugonjwa.
Mtaji wa kwanza wa chama cha siasa ni wanachama waaminifu ambao wapo tayari kukitetea, kukilinda na kukipigania chama chao.
Tafakari, kama chama viongozi wake, wanaweza nunuliwa kwa bei ya TSh. 2,000,000/- tunazoambiwa ili wakiharibu chama chao, sasa kuna chama hapo?
Tuwe wa kweli, kuna mahali vyama vya upinzani havifanyi vizuri. Na mahali hapo ni malezi ya makada wake. Hii ndio sababu kila siku tunasikia malalamiko ya wanachama wao kununuliwa.
Waswahili husema baniani mbaya kiatu chake dawa. Kama CHADEMA wanalijua hili ni vyema wakaenda kujifunza CCM namna ya kuwalea makada wao kuwa viongozi waaminifu.
Mtasubiri sana haters, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni mpango wa Mungu hivyo mashetani hamuwezi na hamutoweza kamwe kubadilisha Hali hiyoSamia hatoboi kuna jambo hapo karibuni
Mungu hataniwi
We ulisoma wapi mzee? Mwenzako elimu uchwara yangu nimeipatia Iyunga Technical Secondary School na Kibaha Secondary School. Hizi shule hawasomi mapimbi!Hawa ndo ma dr. Uchwara. Elimu ya Tanzania ni majanga matupu.
Wewe ndo maana tunakwambia akili huna. Nimekwambia elimu ya Tanzania ni majanga inatengeneza ma dr, na maprofesa majuha kama ww, sasa hapo hizo shule ulizotaja zipo wapi?We ulisoma wapi mzee? Mwenzako elimu uchwara yangu nimeipatia Iyunga Technical Secondary School na Kibaha Secondary School. Hizi shule hawasomi mapimbi!