Kama hawa wote wanaomtuhumu Heche wamenunuliwa, CHADEMA hamna makada!

Wewe ndo maana tunakwambia akili huna. Nimekwambia elimu ya Tanzania ni majanga inatengeneza ma dr, na maprofesa majuha kama ww, sasa hapo hizo shule ulizotaja zipo wapi?
Itakuwa zipo mbinguni, umewahi kufika?
 
Nilishakujibu, ngoja niongeze: unadhani kuna mtu anaipenda CCM? Ni kwa vile kuna rushwa. KANU ya Kenya ilikuwa kama CCM lkn baada ya kutoka madarakani ikafa. Means hakuna aliyekuwa anaipenda KANU. CCM hivyo hivyo.
Sasa Chadma inapendwa maana haiko madarakani lkn watu kwa tonetone wamechanga over 100,000,000 ndani ya saa 144.
BOTTOM LINE, WENYE NJAA HAWAKOSEKANI WACHACHE KAMA HAO WANAAONGWA MAVI KUICHAFUA. MTU KAMA SELASINI NI LUCIFER WA MIAKA YOTE, SEMA KOSA LA CHADEMA NI KUWARUDISHA WASALITI
 
Unalinganisha mfumo wa chama tawala wenye rasilimali na upinzani?

CCM inatumia state resources ku-sustain makada wake. Ni rahisi kuwa mwaminifu ukiwa na mkate mezani kila siku.

CHADEMA inafanya kazi katika mazingira magumu sana.
I second you 👍👌✌️
 
This is typically non of your business, Heche ni wetu so just learn to mind your own business
 
Unadhani yameanza sasa Magu alikuwa anatumia mpaka wakuu wa wilaya kugawa hizo milioni mbili mbili.
Ama kuhusu maccm kutonunuliwa nani haogopi kutekwa, nani kati yao anakataa posho za vikao, na nani kati yao haaishi kwa matumaini ya ' kuonwa' na mama akaambulia hata ujumbe wa kamati za siasa wilaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…