Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

Hata kama sio sahihi hautoishi milele, kufa ni lazima.
 
2. Inasemekana mpango wa kuwaondoa hao watu duniani umeshaanza. Na njia kubwa inayotumika ni kupitia vyakula tunavyokula, vita, na magonjwa kama vile UKIMWI, Malaria, chanjo za utotoni n.k
Hivi vitu vyote vimekuwepo tangia mwanzo wa dunia na vitaendelea kuwepo hata baada ya hao so called super power kutoweka. Kuna kiwango cha juu cha social injustice, economical injustice, global warming nk vimekuwa vya juu sana na hivi ndio tunavyotaka viwekwe sawa.
Tatizo hapa ni kuwa hakuna cha mdogo wala mkubwa bali kila binadamu anahusika na ukiwa mnyonge na legelege hakutakuwa na wa kukusubiri.
 
Hapo ulipo sema iwe serikali moja mmmh! Ccm labla ndiyo waogoze walivyo wabishi hawatakubali hii mipango yao
 
Mkuu nimefurah umeielezea vzur familia ya huyo jamaa, tatizo watu wanaamini yale tu wanayosoma au kufundishwa au kusikia. Wanasahau kwamba hawa jamaa issues zao huwa hazitangazwi mahali, they are very discreet, hutasikia wanakwambia failures zao, hutasikia wanataja succes zao, hutasikia wanataja ofisi zao, ndo maana marekan wanajulikana kama THE BLACK GOVERNMENT.
 
Reactions: MC7
Nini maana ya rangi hizo na apple logo iliokatwa?
 
Nini maana ya rangi hizo na apple logo ilio

Nini maana ya rangi hizo na apple logo iliokatwa?
Hilo apple lililoliwa kipande kwanza ni reflection ya lile apple la bustan ya Eden (abomination and blasphemy) na Steve Jobs alishanukuliwa akisema amevumbua sophisticated devices kama touch screen iPad kuondoa ile laana Mungu aliyompa Adam kwamba atakula kwa jasho so amehakikisha amevumbua technology ambayo itamfanya mtu asitoke jasho anapofanya kazi hivyo hata kula kwa jasho tena mwanadamu sababu atakua anatouch tu kazi kubwa inafanyika... Steve Jobs aliyasema hayo maneno.

Hivyo ameweka nembo ya apple lililoliwa lile la Eden kama kusema kwamba hilo apple sio baya tena sababu matokeo ya kuliwa kwake yalipelekea mwanadamu kupata laana ya kufanya kazi kwa jasho na yeye amevumbua sophisticated technology isiyoleta jasho so apple sio baya tena.

Lakini hizo rainbow colour kwenye first apple products zinareflect ushoga ikumbukwe kwamba hiyo rainbow haina uhusiano wowote na ile rainbow Mungu aliyomuonyesha Noah alipotoka ndani ya safina.

Ila hawa Antichrist wanasema kutokana na ile covenant Mungu aliyoweka kati ya Noah na yeye kwamba hataiangamiza tena dunia kwa maji kutokana na maovu na uasherati wa enzi hizo kwa kumwambia popote atakapoona rainbow ajue kwamba Mungu analikumbuka agano lake na Noah kwamba hataiangamiza dunia kwa maovu yao kwa kutumia maji.

Homos wanatumia hiyo rainbow kuhalalisha dhambi zao kwa kusema wanafanya mambo ambayo Bible inayaita maovu kwasababu Mungu hatawaangamiza hata wakifanya hivyo kama wakati wa gharika kama Mungu alivyofanya awali.

Lakini pia maana nyingine ya hiyo rainbow ni kuonyesha mchanganyiko wa tabia na tamaduni tofautitofauti katika sehemu moja yaani hizo rangi tofauti katika hiyo bendera zinamaanisha tabia tofauti different sex orientations au preferences kwamba mwanaume anaweza kuwa kama mwanamke na mwanamke anaweza kuwa kama mwanaume au kubadili maumbile.
 
Ina maana wanaamini uwepo wa Mungu?
 
Ina maana wanaamini uwepo wa Mungu?
Absolutely correct hawa ni devil worshippers waabudu shetani world elites wote ambao ni Illuminati wote wanaamini uwepo wa Mungu na wao wanayo mahekalu yao yapo openly kabisa wala hayajifichi.

Wanaitwa Antichrists wanaamini katika Luciferianism na wanawafurahia sana watu wasioamini Mungu sababu nayo ni mission yao.
 
Steve Jobs alikua Master Mason kwenye highest level ya 3rd degree though with closed public confession kuwa Freemason unaweza kutangaza wazi au kutojitangaza and obvious that's secret society.

And if Steve Wozniak (co-founder of Apple) IS a Freemason. He belongs to Charity Lodge No. 362, Campbell, CA, and was raised to Master Mason in 1980. How comes the CEO himself Steve Jobs to escape the association from Freemasonry?
 
mkuu umeangalia upande mmoja wa shillingi.wat abt upande mwingine. ume ignore role of God in our lives. hivi kweli Mungu akae aangalie tu watu 5.5 bil watakavyopoteza maisha?
 
mkuu umeangalia upande mmoja wa shillingi.wat abt upande mwingine. ume ignore role of God in our lives. hivi kweli Mungu akae aangalie tu watu 5.5 bil watakavyopoteza maisha?
Mkuu nani alikwambia kuwa KUNA MUNGU? And unaposema MUNGU unamaanisha nini?
 
We jamaa me nakuelewa kama the great thinker jf ever had na hata me nimeharibu kulifuatilia hili swala hizi data zote unazozimwaga hapa ni kweli tupu.

Nimekuona kwenye mijadala mingi hii ya wapinga miungu napo naona unatoa hoja mujarabu sana. Una chochote cha kuongezea hapo?
 
Sure mshkaji ata mi namuelewa sana
 
Nope kwenye swala la kuamini Mungu lipo controversial kidogo kimsimamo.

Me naamini Mungu yupo na wakati mwingine huwa nawaonaga wanapoteza tu muda wao kubishana na vitu vilivyombali na upeo kuamini au kutoamini uwepo wa Mungu hakumfanyi Mungu kuwepo au kutokuwepo.

That's faith it's not science hata upinge mpaka lini automatically God is there kutokumuamini kwako hakumfanyi kukimbia au kutoroka na kuacha empty space.

Pia sababu hii mada haihusiani na maswala ya Mungu japo kuna content za Mungu huwezi kuongelea hasa kutetea uhalali wa NWO bila kuamini uwepo wa Mungu katika mambo yote haya imani hasa Christianity inahusika sana kwenye haya maswala.

All this is in the Bible na huwezi kuongelea Illuminati Freemasonry NWO bilderberg group the round tables na other secret societies bila Bible haipo hiyo.

Pia nisingependa sana kuongelea mambo ya uhalali au ubatili wa uwepo wa Mungu kwsnye hii thread wacha tubaki kwenye mada husika.
 
Ajabu hata wao hizo kansa zinaua hadi watoto waliozaliwa leo!hakuna atayetoka salama hapa
 
Walijaribu imesha washinda muda mrefu mbona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…