Kama Hayati Magufuli alikuwa anaipeleka nchi shimoni tujuzwe. Watendaji wengi aliowafurumusha wamerejeshwa huku wake wakifurumushwa

Jiwe alishasema hapangiw
 
ngoja na sisi tupiganie chama chetu kwa jasho na damu...ili wajukuu zetu wale mema ya nchi
 
Mafuru alisema ana uzoefu na sekta ya kibenki kwa miaka 20 na hakuna tatizo lolote kwa serikali kuweka fedha kwenye fixed deposit...ndio mjomba ake Dotto akakosa simile.
 
Chama kimerudi kwa wenyewe mkuu...sisi Watz wa kawaida tuendelee tu kujitafutia maisha.
Mnajitaftia maisha wapi na wanyanyasaji wamerudi mitamboni sahizi mwenye hela anaweza kukufanya chochote na huna pa kujitetea maana kuanzia wizarani kumewekwa muhuni😅
 
Mnajitaftia maisha wapi na wanyanyasaji wamerudi mitamboni sahizi mwenye hela anaweza kukufanya chochote na huna pa kujitetea maana kuanzia wizarani kumewekwa muhuni😅
...wahuni wamepindua meza...
 
Hahahah!!!!ngoja nimlaumu mzee
 
Kwa hiki ulichokiandika basi wanaostahili tena kwa kukaa mstari wa mbele kabisa ni the Nyerere’s.Hawa wengine washukuru tu Mapenzi ya Mungu yalitimizwa.
 
Hakuna kiongozi ambaye angeweza kuiendesha nchi the way Magufuli alivyotaka ilikua ni ngumu kuendeleza pale alipopaacha maana alijitengenezea mifumo yake binafsi na watu wake binafsi kwahyo ilibidi SSH atengeneze mifumo rahisi kwa watu wote.
 
Amani na Furaha unayo wewe na mafisadi wenzako…dawa yenu ipo jikoni…JPM anaweza akawa ameondoka lakini aliemuweka anaishi yupo hai..jinsi watu wanavyoteseka mtaani mnavyowanyanyasa katika kujipatia kipato chao na huku mikopo mnayoweka mfukoni wakati tunakosa huduma za msingi…nature will take the predator out na CCM nyie your time is up

Furahia sasa while it last…wewe mshamba tu na limbukeni wa madaraka..
 
Kwa hiki ulichokiandika basi wanaostahili tena kwa kukaa mstari wa mbele kabisa ni the Nyerere’s.Hawa wengine washukuru tu Mapenzi ya Mungu yalitimizwa.
Mwenye akili timamu pale wewe inamuona ni nani?Nyerere mwenyewe alikuwa remote ya kanisa katoriki.
 
Masukuma ndo mashamba na malimbukeni mlijua hii nchi itakuwa yenu,

Enzi yenu ndo kwishney!! Viroboto nyie!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi kamasi zako hazikufai ujinyongeeeeeeee!.
 
Masukuma ndo mashamba na malimbukeni mlijua hii nchi itakuwa yenu,

Enzi yenu ndo kwishney!! Viroboto nyie!!

Nchi ya wote hii mkuu….your time is up dont be comfortable my friend
 
Jiwe aliwapa za uso haswa yaani washukuru tu kazima ila chamoto walikiona.
Swaumu anaokota anarudisha.
 
Kila zama na zama zake... Siasa ndivyo zilivyo...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi kamasi zako hazikufai ujinyongeeeeeeee!.

Sina hasira hizo za kishamba aisee…mimi sio politician I don’t deal with politicians..because they lie, they tell you lies… eti nitakufanyia hiki wakati anaekupatia ni Mungu…put the right people to make life easy for other human beings…don’t put selfish beings…who thinks for no one but themselves my friend…hii dunia ni yetu wote my friend WAKE UP

Be real
 
Thread closed
 
Ulieleta bandiko,sababu za kutolewa nape kwenye habari ulikua ni Nini? Alifanya lipi baya tuambie!!!
 
Kwahiyo nchi Ina wenyewe siyo

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…