Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufundishwa sio sababu kwamba huo ni ukweli𤣠hii si tulifundishwa darasa la tano huko! hebu Google orzol layer
haya nimekupa chanzo tafuta maarifa sasaKufundishwa sio sababu kwamba huo ni ukweli
MIND YOU.........Oxygen is denser than air and the universe is covered by air, therefore oxygen produced by plants cannot escape from the surface of the earth.Habari za jioni wadau....
Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema.
Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa.
Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo limefungwa, ndani yake kuwe na pressure na kizuizi ili hewa hiyo isitoke.
Kwa mujibu wa NASA, dunia haipo closed, viumbe na vitu vyote vipo nje ya uso wa dunia,dunia inaelea katika space ambayo ipo wazi pande zote na haina mwisho.
Je, inakuwaje mpaka duniani panakuwa na mgandamizo wa hewa ingali pande zote zipo wazi?
View attachment 3057848
Naomba wadau wa sayansi ya mazingira mnijuze kuhusu hili....
Mkuu, kuhusu bahari pia kuna jambo la msingi sana kujadili...Baharini kunajulikana kijiografia kuwa ni bondeni. Sasa inawezekanaje kitu chenye ujazonene mkubwa, kama udaivyo, kisiwe huko bondeni?
You're clearly missing something important.
Sawa mkuu, nitapita hukuhaya nimekupa chanzo tafuta maarifa sasa
Bado unajichanganya.Mgandamizo wa hewa una kikomo kadiri unavyozidi kwenda juu, huu Mgandamizo huvuta hewa kurudi kwenye surface ya dunia juu zaidi inapotezea control yake.
Yanapotoka kwenye uso wa dunia, si yanatoka katika hali ya hewa, sasa kama yanatoka katika hali hiyo kwa nini yasifike mbali?Maji ambayo yanageuka kuwa mvua hayapo mbali kwa upande wa juu, yanaelea kama mawingu.
Mizunguko wa dunia unahusika kivipi na kutunza au kuzuia hewa isitoroke?Hewa kama oksijeni haitoki kwenye uso wa dunia na kupotelea angani kutokana na sababu kadhaa kuu:
1. Mvuto wa Dunia (Gravity): Mvuto wa dunia huvuta kila kitu, ikiwemo molekuli za gesi, kuelekea katikati ya dunia. Hii ina maana kuwa gesi katika angahewa zinavutiwa kuelekea uso wa dunia, hivyo kuzuia gesi kama oksijeni kutoroka kwenda angani.
2. Tabaka za Angahewa: Dunia ina tabaka mbalimbali za angahewa (troposphere, stratosphere, mesosphere, na thermosphere) ambazo husaidia kuhifadhi gesi. Tabaka hizi hufanya kama kizuizi kinachozuia gesi kutoka kwenye tabaka za chini kupotea kwenda anga za mbali.
3. Mzunguko wa Dunia: Mzunguko wa dunia unaathiri jinsi gesi zinavyosambaa. Usiku na mchana, pamoja na misimu tofauti, husaidia kusawazisha joto na usambazaji wa gesi katika angahewa, hivyo kuzuia gesi kutoroka kwa urahisi.
4. Shinikizo la Anga: Katika uso wa dunia, shinikizo la anga ni kubwa zaidi ikilinganishwa na juu zaidi kwenye angahewa. Shinikizo hili linasaidia kushikilia gesi katika tabaka za chini za angahewa.
5. Mfumo wa Sumaku wa Dunia (Magnetic Field): Ingawa sio sababu kuu kwa gesi kama oksijeni, mfumo wa sumaku wa dunia husaidia kulinda angahewa dhidi ya upepo wa jua (solar wind), ambao unaweza kuondoa baadhi ya molekuli za gesi kutoka katika angahewa.
Kwa sababu hizi, gesi muhimu kama oksijeni huendelea kuwepo katika tabaka za chini za angahewa, zikihifadhiwa na mvuto wa dunia na tabaka za angahewa ambazo zinazuia kupotelea angani.
Kadri unavyopanda kwenda juu oxygen inapungua.Yanapotoka kwenye uso wa dunia, si yanatoka katika hali ya hewa, sasa kama yanatoka katika hali hiyo kwa nini yasifike mbali?
Pili je concentration ya oxygen ni sawa jinsi unaenda angani?
Yani kwenye usawa wa bahari, na juu ya mlima kilimanjaro concentration ya oxygen ni sawa?
Sawa kuna matabaka ya hewa, lakini sayansi inasema ni lazima eneo liwe limefungwa na pasiwe na nafasi ya kutokaMIND YOU.........Oxygen is denser than air and the universe is covered by air, therefore oxygen produced by plants cannot escape from the surface of the earth.
Mfano rahisi ni kama ukichanganya mafuta na maji , lazima mafuta yakae juu na maji chini, ndo mfano wa hewa na oxygen .
Jibu ni rahisi sana.Ndyo nilikimbia physics, Google bado sijaona jibu la uhakika
Sio kila mtu ni afsa usafirishaji, nisome hapo juuMkuu maana yangu ni kwamba,mada yako imekaa kisayansi na kitafiti,humu ndani hakuna wanasayansi na watafiti wa kisayansi!
Humu wengi ni wapiga Zomari tu,ndo maana nikapendekeza ya kwamba,kama ulikuwa unahitaji majibu yatakayokufanya upate uelewa Moana utakaokusaidia katika maisha yako kutokana na swali lako,ni vema ungeenda Google ambako Kuna majibu yaliyokwisha kufanyiwa tafiti za Kisayansi na wanasayansi nguli wa Ulimwengu!
Tofauti na hapo uenda unahitaji hapa watu wajichangamshe tu lakini sidhani kama utapata majibu ya kueleweka tofauti na Google!
Mpe jamaa majibu mkuu acha mbwembweSio kila mtu ni afsa usafirishaji, nisome hapo juu
Ukichukua mawe ukayaweka juu ya meza, yataweza kutoka au kuelea juu ya anga?Jibu ni rahisi sana.
Ni sawa na kuuliza kwa nini vitu havitoki nje ya ukanda wa dunia? Kwa nini vinaendelea kubaki duniani na havitoki kwenda kwenye shuba ama bwango (space)?
Kwa sababu vinavutwa na kani ya dunia. Dunia ni kama sumaku. Kila kitu juu yake, hadi hewa, ni sawa na chuma -- huvutwa na kubaki duniani muda wote.
Mimi pia nahitaji kujua kwanini yasifike mbali, kwanini yasifike kwenye space? Ni kitu gani huzuia?Yanapotoka kwenye uso wa dunia, si yanatoka katika hali ya hewa, sasa kama yanatoka katika hali hiyo kwa nini yasifike mbali?
Pili je concentration ya oxygen ni sawa jinsi unaenda angani?
Yani kwenye usawa wa bahari, na juu ya mlima kilimanjaro concentration ya oxygen ni sawa?
Hapana sijawahi, ni kitu gani hicho?ulishawahi kusikia kitu kinaitwa kani
Bro ,umeshajibiwa kuwa ni Gravity...Ndege ni physical object, hewa haionekani....
Ni kipi husababisha hewa ibaki ndani ya uso wa dunia na isifike juu?