witacha matiku
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 722
- 237
Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili,
Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya.
Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target & connectedness.
Kuna mdau anaweza kutoa hoja kuwa Simba ilikuwa away defending was number one priority lakini ile defence kwa serious Timu mbona tungekula za kutosha au ndio kuchukuliwa game kwa udogo wake.
Wachezaji Budos na Balua walicheza vibaya sana katikati hovyo kazi ya Mavambo ikabaki kuzuia kweli hata kama ni away hata control shida, poor passing kuna maana gani kocha kuanza na Budo na Balua huku lengo ni kulinda badala ya viungo na beki kupelekea kushambuliwa sana na opponent.
Kocha wa Simba kapata muda wa kutosha huo muunganiko wa wachezaji mbona shida napata mashaka na Coach.
Kwa uchezaji ule hata movement tu ni shida Simba inahitaji kujipanga vizuri maana nyumbani sio kigezo cha kupata matokeo ila mchezo wa kimbinu na ubora wa wachezaji. Nawaza CAFCC kuna wakongwe na washiriki wa muda mwingi kama USMA ALGER na RS BERKANE na flop wa CAFCL Asec kama ilivyo Simba ikiwa uchezaji kama ule na wachezaji wanaoshindwa kutuliza hata mpira tutatoboa hata semi-final?
Nimalizie kwa kusema coach inabidi atafakari kuanza na Balua na Mutale huku wakionekana wana uwezo Mdogo sana italeta shida huku kuna mtoto mwenye muscles kama Ladack Chasambi anasugua bench sio sawa. Huyu Coach nina wasiwasi ni Mdogo kuliko Timu, Timu ilicheza like ni underdog kumbe ni giant na ni namba moja kwa rank upande CAFCC.
CHASAMBI, CHASAMBI, CHASAMBI apawe nafasi coach acha kuua kipaji cha dogo.