Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.

Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.

Mkuu kuna mambo yanafanya watu weusi tuonekane wahovyo hovyo sana..

Jengo hili linauhusiano wa moja kwa moja na serikali lakini limejengwa kwenye hifadhi ya barabara, upande mwingine kuna wizara ya serikali nayo iko ndani ya road reserve, upande mwingine ni hiyo miundombinu ya DRT nayo ni ya kubomolewa..Pembeni ya makao makuu ya Tanesco nako kuna 100MW power plant nayo sijui tunaifanyaje..

Hivi wakati vyoote hivi vinajengwa serikali ilikuwa haina plan ya miundombinu ya nchi na upcoming projects kwenye maeneo haya, hivi tunawezaje kuchezea hela za kodi za wananchi kiasi hiki??
Katika hali hii kweli kuna mtu atakuwa tayari kuja kuwekeza mamilioni ya hela maana hatuaminiki na kesho yetu hatuijui kama taifa...
Kadri maendeleo yanavyokuja mabadiliko ya miundo mbinu lazima yafanyike. kwa mfano kuletwa kwa mabasi yaendayo haraka imesababishwa miundo mbinu kujengwa. Kwa hiyo usiseme eti huyu wakati anajenga hakujua kama itakuwa hivi
 
Huwezi kuita maendeleo kwa kucreat mamilioni ya Watanzania ambao ni homeless na kujenga barabara. Tuna maendeleo makubwa sana angalia barabara zetu halafu wakati huo huo bomoa bomoa imesababisha mamilioni ya Watanzania wasiokuwa na mahali pa kuishi. Hayo ni maendeleo ya kipumbavu sana.

Kadri maendeleo yanavyokuja mabadiliko ya miundo mbinu lazima yafanyike. kwa mfano kuletwa kwa mabasi yaendayo haraka imesababishwa miundo mbinu kujengwa. Kwa hiyo usiseme eti huyu wakati anajenga hakujua kama itakuwa hivi
 
Huwezi kuita maendeleo kwa kucreat mamilioni ya Watanzania ambao ni homeless na kujenga barabara. Tuna maendeleo makubwa sana angalia barabara zetu halafu wakati huo huo bomoa bomoa imesabanisha mamilioni ya Watanzania wasiokuwa na mahali pa kuishi. Hayo ni maendeleo ya kipumbavu sana.
Only a retarded person can do that.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuwafariji, watu wote waliokumbwa na bomoa bomoa popote pale bila fidia, japo hiyo bomoa bomoa katika baadhi ya maeneo, imefanyika kwa dhulma kubwa, ikiwemo kupuuzwa kwa zuio la mahakama, then waathirika na wahanga wa bomoa bomoa hii, wasiwe na wasiwasi, kwa sababu mwisho wa siku, wote watafidiwa, ila fidia hiyo sio lazima ifidiwe sasa italipwa tuu hata mbele ya safari.

Kwa vile sisi binadamu wote tunaoishi humu duniani, tunasemekana, tuko safarini tuu, mambo yote tunayokutana nayo ni mapito tuu ya dunia hii, na yote huishia mwisho wa safari yetu katika makao yetu ya milele.

Baada ya kusikia hadi jengo la Tanesco litabomolewa bila fidia, na ile miundombinu ya DRT pele Ungo iliyogharimu mabilioni ya shilingi kwa fedha za mkopo, nayo pia itabomolewa ma kujengwa upya, then nimepitia historia ya hii bomoa bomoa,


Nimejiridhisha ni kweli kabisa hii bomoa bomoa, haitendi haki katika baadhi ya maeneo, hivyo faraja pekee kwa waliobomolewa Ubungo na Kimara na kwinginepo bila fidia, ni kuwa, hatimaye wote watafidiwa tuu, hata kama fidia hiyo sio sasa, then watafidiwa mbele ya safari, na wakati huo huo, hao waliowatenda nao pia watalipwa haki yao stahiki zao kwa mujibu wa matendo yao, malipo ni hapa hapa duniani au mbele ya safari.

Fidia hiyo itapatikana kupitia hukumu pekee ya haki hapa duniani inayoitwa hukumu ya karma.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili ...
Poleni sana!.
Paskali
Umenena kweli tupu Mkuu.
 
Huwezi kuita maendeleo kwa kucreat mamilioni ya Watanzania ambao ni homeless na kujenga barabara. Tuna maendeleo makubwa sana angalia barabara zetu halafu wakati huo huo bomoa bomoa imesabanisha mamilioni ya Watanzania wasiokuwa na mahali pa kuishi. Hayo ni maendeleo ya kipumbavu sana.
Ilitakiwa serikali kutenga eneo na kuliendeleza kwa huduma za kijamii kama maji, umeme, barabara, shule, hospital na kituo cha polisi ndiyo wawagaie wananchi viwanja na kuwalipa fidi. Pia kuwapa muda wa kuhama kama miezi sita
 
Kadri maendeleo yanavyokuja mabadiliko ya miundo mbinu lazima yafanyike. kwa mfano kuletwa kwa mabasi yaendayo haraka imesababishwa miundo mbinu kujengwa. Kwa hiyo usiseme eti huyu wakati anajenga hakujua kama itakuwa hivi

Lazima kuwe na plan ya muda mrefu, Dar es salaam ni mji mkubwa sasa ni maajabu unaposema kadiri maendeleo yanapokuja basi lazima tubomoe, maana yakuweka road reserve ni nini? long term plan ndizo hupunguza madhara na kufanya watu waweke temporary project kutokana na plan zilizopo.. plan za hovyo ndio chanzo cha matatizo mengi katika nchi hii hivyo tusilitete hili hata kidogo.... hili jengo toka linajengwa pale watu walipiga kelele, Songas pale wakati inajengwa watu walipiga kelele, mlundikano wa Power plants pale ubungo watu waliupigia kelele maana maeneo yalikuwepo na yapo mengi sana nje ya mji..
 
Halafu anajifanyaga ni engineer kumbe ni mwalimu wa sekondari wa kemia hahaha, huyu jamaa inamana haoni kua barabara inaweza jengwa bila kuathiri ghorofa hilo, hizo picha hapo juu ni ushahidi tosha huyu mtu ana undugu na juma mpiga bendi enzi zileeee
 
Huwezi kutatua tatizo kwa kutengeneza tatizo, hii ni dhana ya kijamaa ya zamani sana huko, watu wafe maendeleo yaje.

Maana ya kusoma ni kupata maarifa utakayoyatumia kutatua matatizo pasipo kuathiri jamii au vitu muhimu..

Upande wa kulia kutokea ubungo kueleke kimara kuna makazi ya watu na wizara ya maji, makazi yale ya watu ni rahisi kuwalipa wale au kuwajengea nyumba maeneo yaliyopimwa na hiyo barabara ya juu ikapita kule na kuacha ile icon ya mji na ile power plant pale..

Kama tumegundua waliojenga hayo majengo walijenga kimakosa na ni watu wa taasisi za serikali kwa nini tusiwachukulie hatua kwa kuitia serikali hasara, hao waliopropose hizo plants za umeme zijengwe hapo huku tukijua kabisa hapo ni eneo la mjini na wakati wowote maendeleo yatakuja tunawaachaje..

Kwa hiyo tuendelee tu kujenga bila plan na maendeleo yakija tutabomoa hamna shida hela tunayo, ubungo terminal ilitumia gharama kubwa sana kujengwa pamoja na kile kituo kidogo pale lakini leo hii chali, DRT tumejenge juzi leo tena tunadisturb kwa hiyo hata kesho tukiona hiyo interchange haitufai tunataka kupita na rocket hapo tutabomoa...Namna hii kweli hata watoa misaada wanatuona hamnazo..
 
Yanayotokea ni copy and paste ya yale yaliyotokea kwa Mugabe miaka hiyo na hivi karibuni, kilio cha wengi ni sauti ya Mungu, mwenye masikio na asikie, KARMA gives back what you give out:



700 houses demolished
October 11, 2017

Sharon Munjenjema Herald Correspondent
Harare City Council yesterday demolished 700 houses and makeshift structures in Eyestone, Harare South, with the affected residents complaining they were not warned of the action. Some of the affected settlers who spoke to The Herald said they were shocked by the local authorities’ arbitrary action.

“They just came and started bulldozing our houses without talking to anyone. We don’t even know what this is all about. We tried to talk to them and find out what’s going on, but they are not saying anything. We bought these stands through Mvurachenachena Housing Co-operative. Our houses were demolished again last year, but the leadership of our co-operative told us we won the court case and we were told to rebuild,” said Alice Masvosva, who had her house razed.

Another resident, Chiratidzo Madziva, said had council warned them of the demolitions, they would have prepared accordingly.

“We were never given any warning. If they had told us a week before or even in the morning, I would not have left for work. I had to be phoned by my neighbours and I rushed here only to find them already knocking down our house. These stands were advertised by Government Workers Association and we signed contracts and paid our money, never knowing it would end up like this,” she said.

Most of the affected residents said after buying the stands through various co-operatives, they later signed affiliation forms to join Harare South Housing Apex Cooperative Society. However, the society’s chairperson, Mr Tonderai Nkomo, said he wasn’t aware of how the stands were allocated.

“We never gave out stands there. These are people who were short-changed by other dubious co-operatives and we took it upon ourselves to represent them and made them pay a fee to be affiliated to us. We have been in and out of courts over the issue. Last week, we were told council cannot just demolish without showing us a court order allowing the demolition, but today they didn’t even want to hear of it; they just demolished,”said Mr Nkomo.

Vice chairperson of Mvurachenachena Housing Co-operative Mr Evans Shava said he was taken aback by the demolitions.

“We were given this land by the Civil Aviation Authority of Zimbabwe(CAAZ) and Local Government in 2012. Last year, they (council) came to demolish our houses again and we went to court. We are also shocked that this is happening, we will go back to court,” he said.

Council spokesperson Mr Michael Chideme said the structures had to be removed because they were illegally built.

“We have all the necessary papers to remove those people. These structures were illegally built. 700 (houses) have been demolished, this is council land and it has to be properly planned,” he said.

Last year, City of Harare approached the High Court seeking eviction and demolition orders, accusing the members of failing to comply with the city’s laws and regulations.

700 houses demolished | The Herald

2016 hizi nazo zilibomolewa
Thousands left homeless as Zimbabwe police demolish homes in winter
 
Kaka Pasca hizo ni stori za abuwasi tu kwani kitendo cha kusema Mwanza wale Rahco wawe na human face na huko kimara no human face kwanini maamuzi yanakuwa substandard?
 
Nimejiridhisha ni kweli kabisa hii bomoa bomoa, haitendi haki katika baadhi ya maeneo, hivyo faraja pekee kwa waliobomolewa Ubungo na Kimara na kwinginepo bila fidia, ni kuwa, hatimaye wote watafidiwa tuu, hata kama fidia hiyo sio sasa, then watafidiwa mbele ya safari, na wakati huo huo, hao waliowatenda nao pia watalipwa haki yao stahiki zao kwa mujibu wa matendo yao, malipo ni hapa hapa duniani au mbele ya safari.
Mungu siku hizi amekuwa wa Digital sana
Mnamalizana hapahapa duniani tu.
Huko Mbinguni ni majumuisho tu
 
Yanayotokea ni copy and paste ya yale yaliyotokea kwa Mugabe miaka hiyo na hivi karibuni, kilio cha wengi ni sauti ya Mungu, mwenye masikio na asikie, KARMA gives back what you give out:



700 houses demolished
October 11, 2017

Sharon Munjenjema Herald Correspondent
Harare City Council yesterday demolished 700 houses and makeshift structures in Eyestone, Harare South, with the affected residents complaining they were not warned of the action. Some of the affected settlers who spoke to The Herald said they were shocked by the local authorities’ arbitrary action.

“They just came and started bulldozing our houses without talking to anyone. We don’t even know what this is all about. We tried to talk to them and find out what’s going on, but they are not saying anything. We bought these stands through Mvurachenachena Housing Co-operative. Our houses were demolished again last year, but the leadership of our co-operative told us we won the court case and we were told to rebuild,” said Alice Masvosva, who had her house razed.

Another resident, Chiratidzo Madziva, said had council warned them of the demolitions, they would have prepared accordingly.

“We were never given any warning. If they had told us a week before or even in the morning, I would not have left for work. I had to be phoned by my neighbours and I rushed here only to find them already knocking down our house. These stands were advertised by Government Workers Association and we signed contracts and paid our money, never knowing it would end up like this,” she said.

Most of the affected residents said after buying the stands through various co-operatives, they later signed affiliation forms to join Harare South Housing Apex Cooperative Society. However, the society’s chairperson, Mr Tonderai Nkomo, said he wasn’t aware of how the stands were allocated.

“We never gave out stands there. These are people who were short-changed by other dubious co-operatives and we took it upon ourselves to represent them and made them pay a fee to be affiliated to us. We have been in and out of courts over the issue. Last week, we were told council cannot just demolish without showing us a court order allowing the demolition, but today they didn’t even want to hear of it; they just demolished,”said Mr Nkomo.

Vice chairperson of Mvurachenachena Housing Co-operative Mr Evans Shava said he was taken aback by the demolitions.

“We were given this land by the Civil Aviation Authority of Zimbabwe(CAAZ) and Local Government in 2012. Last year, they (council) came to demolish our houses again and we went to court. We are also shocked that this is happening, we will go back to court,” he said.

Council spokesperson Mr Michael Chideme said the structures had to be removed because they were illegally built.

“We have all the necessary papers to remove those people. These structures were illegally built. 700 (houses) have been demolished, this is council land and it has to be properly planned,” he said.

Last year, City of Harare approached the High Court seeking eviction and demolition orders, accusing the members of failing to comply with the city’s laws and regulations.

700 houses demolished | The Herald

2016 hizi nazo zilibomolewa
Thousands left homeless as Zimbabwe police demolish homes in winter

People of Zimbabwe, u have to thank the Chief Commander over his decision to cease power from the Super Old HE Mugabe a man with zero vision over his country only authoritative and dictator of its own kind to think that his family are the only gifted to rule Zimbabwe and the rest are there to listen crap hands when u say viva ZANU-PF. The post itself is an institutional and not a family post it is for the people of democratic country like others in question. Now let the Deputy President come from exile and rule and Army Chief detain ka-old man. Sad to say they forgot when late JK Nyerere said old is gold to leave power while strong being a good comrade and not an enemy of the public.
 
Kuna ukweli nauona ktk bandiko lako.Ipo siku japo siyo leo kuna mfumo utajawajibika kuilipia hadi senti ya mwisho ya hiki kinachofanyika leo.Ushujaa huu unaoneshwa na mfumo uliopo itakuwa kinyume chake naamini machozi yanayobubujika Leo kutoka kwenye mboni za wazalendo hawa waliojichangachanga miongo kadhaa wapate vibanda japo vya mgongo wa tembo halafu waungwana kwa kutumia mitambo kutoka mashariki ya mbali wakaamua kuvisagasaga hakika,kama si wao basis vizazi vyao vitaja jenga nyumba kutokana na fidia.
 
Back
Top Bottom