Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.

Paskali,inasikitisha kuona muhusika mkuu is reading different page.
Nashindwa pia kuelewa mkuu wa kaya anashindana na nani wakati yeye tayari ni mtawala wa taifa hili kwa kipindi au vipindi maalum?
Kwani ardhi ya kupanua au kuboresha barabara ni Ubungo tu hakuna njia mbadala?Hata Master Christopher Columbus aliwahi kusema you can pass West while going East.
To boil a fluid in enclosed vessel kuna matatizo yake if you fail to install safety valve.
 
Rais anasimama jukwaani anasema, tuzingatie sheria, tusijenge kwenye ifadhi ya barabara,huku akijua mfumo wa uuzaji na ununuaji waardhi niwakizamani na wakipuuzi!! Na anajua wengi wa wazazi wetu wanajenga kwa mikopo, kwa taaabu!!! na gharama za ujenzi zipo juu sana!!

badala ya kusimama kuzitaka halmashauri zote nchini, kutenga na kuonesha maeneo ya makazi biashara, viwanda shule, makanisa kwa kila mtaa kata na wilaya ya mkoa kwa kuyaweka kwenye mfumo (online) ili watu wanapotaka kuyanunua mtu aingie kwenye idara ya ardhi ya wilaya yake adownload mpango mji wa kata anapotaka kununua wajue kabisa kwamba hapa anapotaka kununua ni hifadhi au la!!

Tena for free,

then wakisha elewana na mwenye ilo eneo, baada ya kujihakikishia online ni mahala salama malipo yafanyike ofisi ya ardhi kata, (mpya) ambao hawa watapeleka taarifa pale pale kwa kutumia mfumo kuonyesha kuuzwa kipande cha eneo au eneo lenye ukubwa fulani katika eneo husika na serikali kupata mapato moja kwa moja!!!

Zipo njia nyingi sana za kuboresha utatatibu wa ununuzi wa ardhi, wanawaacha watu wanajenga then wanakuja kuwabomolea, na uhakika akiingia rais mwingine mwenye chukizake atawavunjia wale wa mwanza tena vizuri tu!!! Maaana sasa hii ishu niswala la kura lakini sio ku update utaratibu bora wa umilikishanaji wa ardhi

Lakini Kwakuwa anadai wamekosea kujenga kwenye ifadhi, yeye rais wa wanyonge ajue fidia sio lazima uwalipe watu fedha, angeweza kutoa maelekezo kwa halmashauri husika kwenda nje ya mji na wakapima viwanja, angalau wakawauzia hao wakazi kwa gharama na fuu kabisa, ama wakawapa kwa mkopo, kwanza ingesaidia kuupangilia mji, maaana wangeenda kujenga mahala salama, palipo pimwa lakini angalau sasa wangekuwa wanapakuanzia maisha!

MADARAKA HAYA YATAISHA TU, AJIFUNZE KUJUA WAJIBU WAKE, NA SIO KUKEJELI WATU
 
Haha I have always been reading you between the lines brother.
Nimejiridhisha ni kweli kabisa hii bomoa bomoa, haitendi haki katika baadhi ya maeneo, hivyo faraja pekee kwa waliobomolewa Ubungo na Kimara na kwinginepo bila fidia, ni kuwa, hatimaye wote watafidiwa tuu, hata kama fidia hiyo sio sasa, then watafidiwa mbele ya safari, na wakati huo huo, hao waliowatenda nao pia watalipwa haki yao stahiki zao kwa mujibu wa matendo yao, malipo ni hapa hapa duniani au mbele ya safari.

Fidia hiyo itapatikana kupitia hukumu pekee ya haki hapa duniani inayoitwa hukumu ya karma.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili ...
Poleni sana kwa sasa ila mtafidiwa tuu
P
 
magufuli angekuwa raisi Wa hiyoo inchi hayoo magorofa yote Yangekuwa flat
Tuache unafiki kuna watu Wana viburi wamejenga Kwa makusudi kwenye hifadhi ya barabara. Ni Bora kuvunja watu watajifunza namna ya kufuata taratibu zilizopo. Ni Bora kuendekea kuvunja Kwa wale wenye viburi ili iwe funzo kwao na vizazi vyao vijavyo
 
Tuzingatie sheria za nchi - tunalaumu Serikali kwa makosa yetu wenyewe - ikiendelea kuwalea siku moja watajenga mpaka ndani ya uwanja wa ndege
 
Makosa yepi Mkuu? Kumbuka hawa wahuni hawachaguliwi bali wanatumia vyombo vya dola kushinda chaguzi. Sasa kwenye hali kama hii matatizo yanayofanywa na Watanzania ni yepi!?

Tuzingatie sheria za nchi - tunalaumu Serikali kwa makosa yetu wenyewe - ikiendelea kuwalea siku moja watajenga mpaka ndani ya uwanja wa ndege
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuwafariji, watu wote waliokumbwa na bomoa bomoa popote pale bila fidia, japo hiyo bomoa bomoa katika baadhi ya maeneo, imefanyika kwa dhulma kubwa, ikiwemo kupuuzwa kwa zuio la mahakama, then waathirika na wahanga wa bomoa bomoa hii, wasiwe na wasiwasi kabisa, machungu yao, mateso yao,zote maumivu yao, vilio vyao na machozi yao hayatapotea bure, kwa sababu kuna baadhi yao, hizo nyumba zao, wamezijenga kwa machozi, jasho na damu, na hapo walipofika ndio mwisho wa uwezo wao, then nawapa pole, na kuwapa neno moja tuu la faraja kuwa mwisho wa siku, ni lazima watafidiwa tuu, ila fidia hiyo sio lazima ifidiwe sasa, italipwa tuu hata mbele ya safari.

Kwa vile sisi binadamu wote tunaoishi humu duniani, tunasemekana, ni tuko safarini tuu, mambo yote tunayokutana nayo ni mapito tuu ya dunia hii, na yote huishia mwisho wa safari yetu katika makao yetu ya milele, hivyo usiumize sana moyo wako na roho yako kwa vitu vya kupita, hata kama umepoteza mali, mali, majumba, fedha na vyote vionekanavyo ni vitu vya kupita tuu, kitu muhimu sana kwako ni nafsi yako pekee, na ni hiyo nafsi ndio itafidiwa.

Baada ya kusikia hadi jengo la Tanesco litabomolewa bila fidia, na ile miundombinu ya DRT pele Ubungo stend ya mkoa, iliyogharimu mabilioni ya shilingi kwa fedha za mkopo, utakaolipwa na Watanzania wote, nayo pia itabomolewa na kujengwa upya, then nimejikuta nikilazimika kupitia historia ya hii bomoa bomoa,

Nimejiridhisha ni kweli kabisa hii bomoa bomoa, haitendi haki katika baadhi ya maeneo, hivyo faraja pekee kwa waliobomolewa Ubungo na Kimara na kwinginepo bila fidia, ni kuwa, hatimaye wote watafidiwa tuu, hata kama fidia hiyo sio sasa, lakini lazima watafidiwa mbele ya safari, na hata kama fidia hiyo itawakuta wameisha tangulia mbele ya haki, fidia hiyo italipwa kwa watoto wao na watoto wa watoto wao.

Na wakati huo huo, hao waliowatenda nao pia watalipwa haki yao na stahiki zao kwa mujibu wa matendo yao, na malipo hayo ni hapa hapa duniani au mbele ya safari.

Fidia hiyo itapatikana kupitia hukumu pekee ya haki hapa duniani inayoitwa hukumu ya karma.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili ...
Poleni sana!.
Paskali
Amen, KARMA itawalipia wstu wa Kimara.
 
Walivunjiwa “wachagga wasiokuwa bora! Btw hili bandiko nimekutana nalo leo WhatsApp.👍🏽
 
Mara nyingi huwa namsikiliza Rais Magufuli akihutubia, lakini hotuba zake zimejaa masimulizi zaidi ya mipango mikakati ya Maendeleo ya nchi Kisiasa, kiuchumi, Kijamii, n.k.

Wananchi tuhahitaji kusikia mikakati na hatua madhubuti za kukuza demokrasia, kuongeza kipato na kutoa huduma za jamii.

Masimulizi ya mambo madogo madogo yaliyotokea hatuyahitaji kuyasikia toka kwa mkuu wa nchi.

Mfano stori ya ndege, sijui walitaka kupiga, mara sijui huyu ni TISS mara hivi mara vile, hayo ni mambo ya utendaji wa ndani ambayo sisi wananchi hatuhitaji kusimuliwa
 
Walivunjiwa “wachagga wasiokuwa bora! Btw hili bandiko nimekutana nalo leo WhatsApp.👍🏽
Mkuu J.Mushi, kama inamaanisha waliobomolewa Ubungo ni Wachagga, kauli hii ni ya kibaguzi yenye kumaanisha walibomolewa bila fidia kwa sababu ni Wachagga, kitu ambacho sii kweli. Japo ni kweli wengi wa wakazi wa Ubungo, Kimara, Mbezi, hadi Kibamba, wengi ni Wachagga, reason ya kubomolewa kwao sio Uchagga wao bali ni kujenga kwenye road reserve.

The same applies alipozuia bomoa bomoa Mwanza, alizuia kwa Watanzania wote, but it just happened alisemea Mwanza na lengo sio kuzuia bomoa bomoa Mwanza kwa sabubu ni kwa watu wa kabila lake la Wasukuma ndio maana akina sisi tukampongeza.

Kule Mwanza alisema kwasababu alipigiwa kura waacheni, lakini imetokea wengi ni wasukuma! Kule Ubungo na Kimara, waliovunjiwa wengi pia imetokea ni wachagga!

Kwasababu sasa inaonyesha kuwa ni jambo ambalo lingeweza kusubiri, na kwamba maendeleo ya vitu yalipewa kipaumbele kuliko ya watu, ndiyo nikambuka kauli ya Mkuu wa Mkoa kwamba wachagga siyo watu bora! Tena tunajuwa yeye ndiyo sikio la mkuu!
 
Kule Mwanza alisema kwasababu alipigiwa kura waacheni, lakini imetokea wengi ni wasukuma! Kule Ubungo na Kimara, waliovunjiwa wengi pia imetokea ni wachagga!
Mikoa inaweza kunashibishwa na kabila fulani, Moshi Wachagga, Bukoba Wahaya, Dodoma Wagogo etc, lakini kwa upande wa Dar, hata kama kweli wengi wa maeneo fulani ni kabila fulani, sio sawa kuinasibisha bomoa bomoa hiyo na kabila fulani, as if wangekuwa ni Wasukuma wasinge bomolewa.

Wewe utakuwa unadhani kulikuwepo na wachagga bora kule. Pole sana mkuu.
 
Back
Top Bottom