Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

Kweli hawa watu ni wabishi

Anaeamini kwamba chadema itashinda hata serikali za mitaa achilia mbali uchaguzi mkuu kwa aina ya siasa zao wanazoendesha sasa hivi, basi akajipime akili mwenyew kabla ya kuvua nguo na kuanza kuingia barabarani kuokota makopo. Fikiria pamoja na Lisu kukaa ulaya zaidi ya miaka mitatu, Mbowe kwenda kuweka kambi Dubai kwa zaidi ya miezi mitatu ili atakapofika aweze kuwa na mvuto, ukijumlisha na uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara wakati wa uchaguzi mkuu lkn haya ndio yalikuwa mahudhurio ya wanachama na wapiga kura wao katika uchaguzi mkuu

Mbona mnawaogopa wanapotaka kufanya Kongomano la katiba,

Mnawavamia wakifanya mikutano ya ndani
Imnawazuia kufanya .mikutano ya hadhara
 
Hahahaha
 
Chadema ilishajifiaga
Ewa mama d,njia wanayotumia viongozi kujaribu kuishtua chadema ili iamke siyo kabisa aina hiyo ya kiki ya kuinyanyulia iamke haikubaliki kabisa wapange strategy mpya tena za kiakili bila kutumia nguvu za zitakazoweza leta athari kwa taifa letu
 
Wamebaki mitandaoni na leo walikua wanasubiri wapige picha wamtumie Tundu awadanganye mabwana zake kwamba chama bado kina watu

Wamefeli tena vibaya
 
Proper use of words is of utmost importance:

"People need money not words...."

Couldn't "people" be substituted for "those favored."

Ili kujitendea haki tu mkuu.
 
Wamebaki mitandaoni na leo walikua wanasubiri wapige picha wamtumie Tundu awadanganye mabwana zake kwamba chama bado kina watu

Wamefeli tena vibaya

wishful thinking 😂😂 .... Hiiiiii bagosha!
 
Hiyo ilikuwa ni kesi na sio sensa ya wanacdm. Tumia kichwa kufikiri na sio kama fuvu la kubebea meno.
 
Kamanda Siro si alizuia watu kwenda Mahakamani?. Sasa mnashangaa watu kuwa wachache?. Au mlitamani kufurahia kuona watanzania wenzenu wanavyopigwa virungu?.
 
Ongeza sauti kijogoo D,hujasikika wala kueleweka.
 
Chadema nakipenda ila dah kwa izi fujo wanazo taka kukuletea mm hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…