Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazombie ya Lumumba yamevamia yasiyowahusu.Sasa si ndio ufurahi kama hawajai kiganjan kwako?Jinga sn wwKwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe.
Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja John Pambalu mwenyekiti wa Bavicha Taifa naye akatishia nyau kuwa kuna maelfu ya wanachadema kutoka mikoa 5 watahudhuria kesi hiyo.
Leo wanachadema walioonekana wakiimba karibu na mahakama ya Kisutu hawajai hata kwenye kikanja!! Jirani yake wamachinga walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.
View attachment 1880704
Msamheni hajielewi,nadhani hata dini hanaHana akili huyo jamaa yeye ni matusi tu
Hebu eleza hapa,CDM imefanya kosa gani kisheria?Wanaelimisha nini kwa hizo purukushani zao na serikali? mimi sijataka wapoe au wawe wamoto bali watumie akili ili wajue wakati gani ufanye kitu gani na kwa vp ili upate unachokipigania na sio wakati wote kuingia kwenye purukushani na serikali ili usionekane umepoa et haki yako hujavunja.
You just wrote:
0 + a number = that number
Trivial!
Nakwambia hivi CDM hata wakijua kwamba ukinywa maji barabarani tu unawaudhi serikali basi CDM watafanya hivyo ili tu waingie kwenye purukushani na serikali na kusema kwamba hawajavunja sheria yeyote. Vitu vyengine ni vya kutumia akili sio kila jambo uingie kwenye purukushani na serikali hata kama una haki ya kufanya hilo jambo.Hebu eleza hapa,CDM imefanya kosa gani kisheria?
Kudai katiba?
Aliyewabatiza nyumbu aliona mbali sanaNakwambia hivi CDM hata wakijua kwamba ukinywa maji barabarani tu unawaudhi serikali basi CDM watafanya hivyo ili tu waingie kwenye purukushani na serikali na kusema kwamba hawajavunja sheria yeyote. Vitu vyengine ni vya kutumia akili sio kila jambo uingie kwenye purukushani na serikali hata kama una haki ya kufanya hilo jambo.
Unajishushia hadhi.K.uma yako lazima ni mbovu
Kama kimepoteza mvuto waambie wa kijani kuundwe tume huru ya uchaguz na katiba mpya uone mwisho waoKwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe.
Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja John Pambalu mwenyekiti wa Bavicha Taifa naye akatishia nyau kuwa kuna maelfu ya wanachadema kutoka mikoa 5 watahudhuria kesi hiyo.
Leo wanachadema walioonekana wakiimba karibu na mahakama ya Kisutu hawajai hata kwenye kikanja!! Jirani yake wamachinga walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.
View attachment 1880704
Unapaswa kujua kwamba Chadema iko mioyoni mwa watu sio midomoni wengi wanaogopa kuja hadharani sababu wanajua polisi watakachowafanya lakini usijidanganye kwamba Chadema haipendwi wewe ukitaka kujua ukweli subiri siku ccm wakiacha kutumia police na mabomu na risasi kuwazima Chadema ndio utaiona nguvu ya UmmaKwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe.
Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja John Pambalu mwenyekiti wa Bavicha Taifa naye akatishia nyau kuwa kuna maelfu ya wanachadema kutoka mikoa 5 watahudhuria kesi hiyo.
Leo wanachadema walioonekana wakiimba karibu na mahakama ya Kisutu hawajai hata kwenye kikanja!! Jirani yake wamachinga walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.
View attachment 1880704
We bado mdogo sana kumbe.!CHADEMA WANATAKIWA WAJITAFAKARI WAANZE UPYA UPINZANI HAUENDI WANAVYOTAKA WAO HUO NI MFANO TU KUWA WAMESHAPOTEZA MVUTO NA USHAWISHI KWA WATANZANIA YAANI HATA ASILIMIA MOJA YA WATANZANIA HAWASAPOTI WANAYOYAFANYA WATU WACHACHE HIVYO NDIYO WANAPONGEZANA ETI WAMEFIKA ? NI UTOTO WA HALI YA JUU SANA HUO
Mkuu una akili sana na una uelewa mkubwa barikiwa sana.Watanzania wengi hawapendi rabsha za kuvunjwa miguu na kupotezewa muda kuwekwa ndani Ila chuki yao kwa serikali ni kubwa mno isiyoelezeka.
Watanzania wengi hawapendi rabsha za kuvunjwa miguu na kupotezewa muda kuwekwa ndani Ila chuki yao kwa serikali ni kubwa mno isiyoelezeka. Time will tellHawatokaa watoboe hawa
Wataishia mitandaoni tuu.... hapa naona idadi kubwa ya wafuasi 19 wa chadema kisutu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana ukawepo utawala wa sheria na si kwamba fulani akitimiza haki yake aliyopewa na katiba na mkubwa akaudhika basi ndio kubambikiziana kesi!Nakwambia hivi CDM hata wakijua kwamba ukinywa maji barabarani tu unawaudhi serikali basi CDM watafanya hivyo ili tu waingie kwenye purukushani na serikali na kusema kwamba hawajavunja sheria yeyote. Vitu vyengine ni vya kutumia akili sio kila jambo uingie kwenye purukushani na serikali hata kama una haki ya kufanya hilo jambo.
kama hamna heshima hata kwa kiongozi wenu anapowaambia mjitokeze mahakamani mtasemaje chadema inapendwa angalia watu waliokuwepo leo sasa ni aibu yaani mwisho watakuwa wanaenda mawakili tu hakuna mtu ataenda tena huko mahakamaniWe bado mdogo sana kumbe.!
Unadhani hicho ni kipimo cha kujua kama Chadema haipendwi?
Hivi hujui kwamba Chadema inakubalika kwa wengi mpaka babako mwenyewe sema wanaogopa kujitokeza hadharani wanajua mtatumia police kuwapiga mabomu na risasi halafu mkawafungulie kesi za ugaidi na kuwafunga maisha waache familia zao ziteseke !
Watu wamekaa kimya ila wana mazito rohoni ipo siku mtaelewa tu.
Kwani we wewe mkuu umenielewa vp au hujanielewa kabisa?Ndio maana ukawepo utawala wa sheria na si kwamba fulani akitimiza haki yake aliyopewa na katiba na mkubwa akaudhika basi ndio kubambikiziana kesi!
Tumekubali mfumo wa sheria basi tuutii
Aah wapi. Yako ni karai bovu. SwainKama ya mmako mkeo na dadazako tuu hamna tofauti kabisaaa
Aah wapi. Yako ni karai bovu. Swain