Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] We unachekesha kweli WAKATI polisi wanatembeza virungu na matamko ya kutisha kibao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe umetembezewa kichapo?
 
Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe.

Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja John Pambalu mwenyekiti wa Bavicha Taifa naye akatishia nyau kuwa kuna maelfu ya wanachadema kutoka mikoa 5 watahudhuria kesi hiyo.

Leo wanachadema walioonekana wakiimba karibu na mahakama ya Kisutu hawajai hata kwenye kikanja!! Jirani yake wamachinga walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

View attachment 1880704
Mazombie ya Lumumba yamevamia yasiyowahusu.Sasa si ndio ufurahi kama hawajai kiganjan kwako?Jinga sn ww
 
Wanaelimisha nini kwa hizo purukushani zao na serikali? mimi sijataka wapoe au wawe wamoto bali watumie akili ili wajue wakati gani ufanye kitu gani na kwa vp ili upate unachokipigania na sio wakati wote kuingia kwenye purukushani na serikali ili usionekane umepoa et haki yako hujavunja.
Hebu eleza hapa,CDM imefanya kosa gani kisheria?
Kudai katiba?
 
Nakwambia hivi CDM hata wakijua kwamba ukinywa maji barabarani tu unawaudhi serikali basi CDM watafanya hivyo ili tu waingie kwenye purukushani na serikali na kusema kwamba hawajavunja sheria yeyote. Vitu vyengine ni vya kutumia akili sio kila jambo uingie kwenye purukushani na serikali hata kama una haki ya kufanya hilo jambo.
 
Aliyewabatiza nyumbu aliona mbali sana
 
Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe.

Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja John Pambalu mwenyekiti wa Bavicha Taifa naye akatishia nyau kuwa kuna maelfu ya wanachadema kutoka mikoa 5 watahudhuria kesi hiyo.

Leo wanachadema walioonekana wakiimba karibu na mahakama ya Kisutu hawajai hata kwenye kikanja!! Jirani yake wamachinga walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

View attachment 1880704
Kama kimepoteza mvuto waambie wa kijani kuundwe tume huru ya uchaguz na katiba mpya uone mwisho wao
 
Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe.

Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja John Pambalu mwenyekiti wa Bavicha Taifa naye akatishia nyau kuwa kuna maelfu ya wanachadema kutoka mikoa 5 watahudhuria kesi hiyo.

Leo wanachadema walioonekana wakiimba karibu na mahakama ya Kisutu hawajai hata kwenye kikanja!! Jirani yake wamachinga walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

View attachment 1880704
Unapaswa kujua kwamba Chadema iko mioyoni mwa watu sio midomoni wengi wanaogopa kuja hadharani sababu wanajua polisi watakachowafanya lakini usijidanganye kwamba Chadema haipendwi wewe ukitaka kujua ukweli subiri siku ccm wakiacha kutumia police na mabomu na risasi kuwazima Chadema ndio utaiona nguvu ya Umma
 
CHADEMA WANATAKIWA WAJITAFAKARI WAANZE UPYA UPINZANI HAUENDI WANAVYOTAKA WAO HUO NI MFANO TU KUWA WAMESHAPOTEZA MVUTO NA USHAWISHI KWA WATANZANIA YAANI HATA ASILIMIA MOJA YA WATANZANIA HAWASAPOTI WANAYOYAFANYA WATU WACHACHE HIVYO NDIYO WANAPONGEZANA ETI WAMEFIKA ? NI UTOTO WA HALI YA JUU SANA HUO
We bado mdogo sana kumbe.!
Unadhani hicho ni kipimo cha kujua kama Chadema haipendwi?
Hivi hujui kwamba Chadema inakubalika kwa wengi mpaka babako mwenyewe sema wanaogopa kujitokeza hadharani wanajua mtatumia police kuwapiga mabomu na risasi halafu mkawafungulie kesi za ugaidi na kuwafunga maisha waache familia zao ziteseke !
Watu wamekaa kimya ila wana mazito rohoni ipo siku mtaelewa tu.
 
Hawatokaa watoboe hawa

Wataishia mitandaoni tuu.... hapa naona idadi kubwa ya wafuasi 19 wa chadema kisutu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watanzania wengi hawapendi rabsha za kuvunjwa miguu na kupotezewa muda kuwekwa ndani Ila chuki yao kwa serikali ni kubwa mno isiyoelezeka. Time will tell
 
Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
 
Nakwambia hivi CDM hata wakijua kwamba ukinywa maji barabarani tu unawaudhi serikali basi CDM watafanya hivyo ili tu waingie kwenye purukushani na serikali na kusema kwamba hawajavunja sheria yeyote. Vitu vyengine ni vya kutumia akili sio kila jambo uingie kwenye purukushani na serikali hata kama una haki ya kufanya hilo jambo.
Ndio maana ukawepo utawala wa sheria na si kwamba fulani akitimiza haki yake aliyopewa na katiba na mkubwa akaudhika basi ndio kubambikiziana kesi!
Tumekubali mfumo wa sheria basi tuutii
 
We bado mdogo sana kumbe.!
Unadhani hicho ni kipimo cha kujua kama Chadema haipendwi?
Hivi hujui kwamba Chadema inakubalika kwa wengi mpaka babako mwenyewe sema wanaogopa kujitokeza hadharani wanajua mtatumia police kuwapiga mabomu na risasi halafu mkawafungulie kesi za ugaidi na kuwafunga maisha waache familia zao ziteseke !
Watu wamekaa kimya ila wana mazito rohoni ipo siku mtaelewa tu.
kama hamna heshima hata kwa kiongozi wenu anapowaambia mjitokeze mahakamani mtasemaje chadema inapendwa angalia watu waliokuwepo leo sasa ni aibu yaani mwisho watakuwa wanaenda mawakili tu hakuna mtu ataenda tena huko mahakamani
 
Ndio maana ukawepo utawala wa sheria na si kwamba fulani akitimiza haki yake aliyopewa na katiba na mkubwa akaudhika basi ndio kubambikiziana kesi!
Tumekubali mfumo wa sheria basi tuutii
Kwani we wewe mkuu umenielewa vp au hujanielewa kabisa?
 
Back
Top Bottom