Elections 2015 Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

Tunasonga mbele. Uchaguzi umeisha. Haihitaji hata elimu ya darasa la saba kung'amua hilo.
 

Amina amina amina umesema kweli tupu. Kikulacho ki nguoni mwako.
 
Biblia inasema akuna mamlaka isiyo toka kwa mungu.... Ila hii niionayo inanipa wasiwasi au ni ile ya sauli kugoma kumpisha daudi wakati yeye alipishwa na Mungu. Eeeeegh Mungu embu tuonekanie maana tumekuwa kama mgonjwa alazimishwavyo dawa au sindano kwa tunavyo lazimishwa na kazi tuu akati sis siyo watumwa
 

Ni kweli mkuu, Jamani kura yangu INANIUMAA, lakini Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo atanilipia kama uchaguzi haukuwa wa haki.
 
Yaani adi natamani ningekuwa kwenye kitutuli nikiona unaweka tiki kwa rangi ya majani nakutia bonge la kofi kuanzia wew adi kitutuli mnaenda chini alafu nawaambia walio kwenye msitari mwingine aje afanye upumbavu aone .... Maana watu wengi wana kufa kisa hakuna huduma bora za afya alaf wew unayeweka tiki una ndugu na jamaa zako kibao wako mtaani hawana ajira na ata ada ni shiiida alafu ulikuwa mmoja wa watu uliye lalamika kuhusu Escro, Epa na mengi neyo then leo unafanya upumbavu na ulofa nakwambia ilo kofi lingekupa akili na ulofa na upumbavu wako ungekutoka... Embu ninyamaze nisije kulia bure
 
Sidhani kama ni sahihi kumshirikisha Mungu kwenye hili, tumepewa akili na utambuzi ili tutofautiane na wanyama, hebu tuzitumieni please na kumpunguzia Mungu mizigo isiyo ya lazima.
 
Nilijua tu huu upuuzi wa kuibiwa kura ndo utakaofuata labda kaibiwa kura za kilimanjaro na arusha
 
Yaani Lowassa pamoja na kuhonga kwa kutumia mabilioni ya pesa kununua urais bado mnamshirikisha Mungu malalamiko yenu.

Mtu aliwanunua hadi watumishi wa Mungu kwa tamaa zake za Urais, leo eti mnamshirikisha Mungu kwenye Anguko lake Mungu yupi huyo anaeruhusu watu watafute urais kwa njia haramu!
 
UKAWA hawana kura za kuibiwa.

wakubali matokeo waingie bungeni ,wajiandae kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
 


Kwa Maana Nyingine Pasco Anasema;

"Lowassa Kaa Kimya Unatutia Aibu Maana Ukweli Sasa Unajulikana."
 
Ndugu yangu duniani kuna maajabu yaani eti Mungu atuchagulie BEPARI CHAFU NA GENGE LAKE LA WAFANYABIASHARA KUWA RAIS.Unajua hata kumfikiria tu Edo anaweza kuwa rais wa nchi yeyote ni UWENDAWAZIMU TU.Huko makanisani na misikitini,bodaboda,mamantilie mmekula sana fedha za eddo.Rudisheni.MUNGU HAWEZI KUTUCHAGULIA FISADI PAPA,ROBOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…