Elections 2015 Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

Humu humu JF Kwa miaka 10 tulikuwa tukilalamika kuhusu kodi, Uzembe, Wizi wa Mali za umaa. Leo rumempata MTU wa kuthibiti ujinga huo. Tunalalamika zaidi ya tulivyokuwa tunalalamika. Wafanyabiashara awaingii ikulu ovyo ovyo. Shangazi Na wajomba Na kaka Na walevi wa pombe hakuna. Rais wa Zambia alilalamika akuna via wa mvinyo ikulu
 
Mkuu pasco ukichukua naneno ya mmasai ukilinganisha na alichofanya jecha znz wapata jibu gani kichwani kwako?
 
Mkuu tafadhali fafanua kidogo kuhusu dark government
 
Mkuu The Boss, as times go by naanza kukubaliana na numerology, kwa matukio yanayoendelea nchi hii, nadhani very soon tutakuja kuuona umuhimu wa hili jina Suluhu.

Halikutokea kwa bahati tuu au just a coincidence, but everything and every move ni premeditated.
Let's wait and see.
Paskali
 
Haya mambo yalitabiriwa 2015 yameanza kuonekana

Tunatawaliwa kwa mkono wa chuma 'iron hand'

Uchaguzi wa marudio kwa upinzani kushinda ni ndoto.

Wanataka chama kimoja ndio kitamalaki!

Mungu atusaidie
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Namshauri Mhe. Lowassa, kuwa baada ya kumtembelea rais Magufuli pale Ikulu, na kumsifu, asiishie kusifu tuu, bali pia aibatilishe hii kauli yake, kwenye bandiko hili.

Japo kuna wengi watamlaumu Lowassa kwenda ikulu na kumsifikia rais Magufuli, hadi wengine kudhania, hii ndio bisha hodi ya jinsi ya kurejea CCM, lakini kwa wale tunaojua mambo ya ndani ya kifamilia, tunaamini safari ya Lowassa kumuona Magufuli, has more to do with family matters than political maters, soon kuna issue fulani ya kifamilia itakuwa resolved kutokana na ziara hii, ikiishakuwa resolved, nitawaeleza na ndipo mtamuelewa Mhe. Lowassa, nawaombeni sana msimbeze, family comes first besides everything else!. Mimi namuunga mkono Lowassa na kuunga mkono kumtembelea rais Magufuli.

Paskali
 
Leo Hali ipoje
 
Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni ...

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…