KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
May ni low season.
Hata daladala wakati wa mchana zinakuwa hazina abiria kabisa. Au asubuhi wakati zinatoka city center.
Kama hujui biashara ya daladala ukiona daladala inatoka Kariakoo na abiria 2 inaelekea Tandika unaweza kusema Dar watu wamehama au wanatumia magari binafsi.
Ila yote yawezekana, shirika hili nasikia linajiendesha kwa hasara
Not ready to swallow everything from twitter. Kweli, ni kazi ngumu.
Btw., KQ siwasikii tena na safari yao ya Nairobi New York! Done? Collapsed, failure? Hahaaa!
Kiherehere tu cha Jiwe kutaka sifa eti na yeye anamiliki ndege, pumbavu zake!
Minitu kama nyie ndio sawa na wale wana wa israel wametoka utumwani wanafika jangwani wanatamani tena kurudi utumwani kwa sababu kule wameaacha masufuria ya nyama na pilau!
Hivi hao walioweza waliaanzaje? Unafikiri waliibuka tu?
Onyesha taarifa uliyonayo inayosema KQ 'wamesitisha safari za Nairobi to New York'!wataifuta kama KQ walivyositisha NBO to New York.
Ndege 7 tumenunua cash kwa pesa yetu wenyewe, 2 A220 sisi ni wa kwanza Africa kuwa nazo! kwani shida iko wapi? Nani anatudai, tutapanda wenyewe hata bure,! Uzalendo kwanza.
Ndo tatizo kuamua kitu bila kufanya study. Mihemuko na kupenda misifa ndo malipo
Kenya Airways Cancels New York Flights As Demand DipsOnyesha taarifa uliyonayo inayosema KQ 'wamesitisha safari za Nairobi to New York'!
Itakua habari mbaya kwenu" Serikali haipati hasara "
Ndege 7 tumenunua cash kwa pesa yetu wenyewe, 2 A220 sisi ni wa kwanza Africa kuwa nazo! kwani shida iko wapi? Nani anatudai, tutapanda wenyewe hata bure,! Uzalendo kwanza.
Wakija huwa hawarudi kwao.Waganda wengi wanakuja Kilimanjaro kutalii. Hiyo ndege ilikwenda kuwachukua
Kama unafikiri Air Tanzania wafanya biashara basi utakuwa uko kwenye usingizi wa pono ........ endelea kulala maana ndoto za asubuhi ni tamu sana ...............!!
Maiden flight ndio imekwenda kuwachukua nidhani itawarudishaWakija huwa hawarudi kwao.
Naona Dream liner yetu inapiga kazi sawa sawa mpaka Entebe?? We are light truck.
Unafananisha Senene na kondoo wewe! Tizama investment ya coach vs ndege. Kww akili za aina yako tusitegemee maendeleo nchi hii. Hujui hata ROI, return of investment au Investment/Sales ratio ni nini halafu unathubutu ku comment kwenye mambo yaliyo juu ya upeo wako. Wakati mwengine kunyamaza kimya ni busara sanaHata basi za Modern kutoka Mwanza kwenda Nairobi mara nyingine huwa zinabeba hadi watu 15 kwenda Nairobi. Biashara kuna kupata na kukosa.
Wewe unafikiri biashara ni mteremka wa kupata kila siku? Haya kwenye biashara ni ya kawaida sana.