Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Hii biashara ya ya ndege mmekurupuka lazima itabuma.Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii biashara ya ya ndege mmekurupuka lazima itabuma.Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
Hizi ni changamoto za biashara japokuwa ni ngumu kutoa maamuzi kwa kutumia flight moja.Je ni kila siku hakuna wateja au ni siku hiyo tuu?Na jee ilivyokua inarudi Entebe Kilimanjaro, hali ilikua hivyo hivyo?
Niliwahi kushuhudia Egypt Air Airbus 320 from Cairo to DSM ikiwa na abiria 20.
So hizi ni changamoto na ninaamini wahusika wakiona route hailipi wataifuta kama KQ walivyositisha NBO to New York.
Hii biashara ya ndege mmekurupuka itabuma tu subiri kidogo
Watu hawafanyi biashara za kubahatisha siku hizi haya mambo ya kusema biashara kuna kupata na kukosa mmebaki nayo nyie waswahili tu.Hata basi za Modern kutoka Mwanza kwenda Nairobi mara nyingine huwa zinabeba hadi watu 15 kwenda Nairobi. Biashara kuna kupata na kukosa.
Kenya Airways Cancels New York Flights As Demand Dips
KQ cuts New York flights as demand dips
Two weeks after the launch, flights scheduled for New York between November 2018 and March 2019 have been canceled due to “low demand during the winter season.” Already 10 flights have been canceled, casting a dark shadow on what had been described as a “mark of history.”
Mimi siti ya nyumaSiti ya mbele
Hiyo ni ndani ya ndege ipi? Bombardier hapana, dreamliner nina mashaka, hii ndege kwa dreamliner ni ndogo!
Kama alikosekana kwenye kutumbuliwa sababu ya utendaji mbovu wa kazi, upigaji dili basi hawezi kukosekana katika kumwaga unga kwa vyeti feki au ni ndugu yake ndiye atayekuwa amehusika katika hayo, so anaamua kupinga kila atendalo Raisi ili apunguze maumivu aliyonayo rohoni.Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
WAZO ZURI SANA LISILO NA UKAKASI WA UPENDELEO UPANDE WOWOTE ZAIDI YA KUBEBA HOJA YA KIMANTIKI PEKEE.Hizi ni changamoto za biashara japokuwa ni ngumu kutoa maamuzi kwa kutumia flight moja.Je ni kila siku hakuna wateja au ni siku hiyo tuu?Na jee ilivyokua inarudi Entebe Kilimanjaro, hali ilikua hivyo hivyo?
Niliwahi kushuhudia Egypt Air Airbus 320 from Cairo to DSM ikiwa na abiria 20.
So hizi ni changamoto na ninaamini wahusika wakiona route hailipi wataifuta au kupunguza idadi ya safari kama KQ walivyofanya route ya NBO to New York.
Huo ndio uungwana.
Haha hahaaa...Bavicha mtakuja kuokota hadi mavi mle kwa sababu tu yanamkosoa Magu hakyamungu
Haha hahaaa...ama kweli JF ni zaidi ya burudiko la rohoUkiona hivyo huyo hana Magonjwa mtambuka
SAFI SAAAAAAAANA....NAKAZIA KUWA HATA INDIA NI WATAALAMU SANA KATIKA FANI YA UTABIBU LAKINI IMETOKANA NA KUKUMBWA NA AINA YA MAGONJWA MENGI SANA YA AJABU AJABU, NDIPO WALIPOWEZA KUUMIZWA VICHWA ZAIDI KATIKA KUTAFITI TIBA NA DAWA ZA KUKAVILIANA NA HAYO MAGONJWA.Minitu kama nyie ndio sawa na wale wana wa israel wametoka utumwani wanafika jangwani wanatamani tena kurudi utumwani kwa sababu kule wameaacha masufuria ya nyama na pilau!
Hivi hao walioweza waliaanzaje? Unafikiri waliibuka tu?
Kweli kabisa umenena vyema MkuuUnajua ubishani huja mtu asipojua fikra za mwenzake.
Mimi najua biashara kwa shirika lililofufuliwa is next to national identity.
Sasa mtu asipojua hilo ni kila siku kuleta habar hasi.
What a sadist generation!
Utangaziwe li iweje na unufaike na kipi hasa?Hiyo mbona walitangaza officially kuistisha hadi mwakani?tatizo letu sisi hatutaki kuutangazia umma juu ya matatizo tunayo kutana nayo
Wewe hilo somo la plani za biashara ulipata ngapi vile?If you don't plan you are planning to fail.
Kuna failures zingine ni za kujitakia, shirika linaanzaje biashara sensitive kama hii bila kufanya research na kuwa na business plan, matokeo yake ni kurupuka kupeleka ndege Entebe bila kujua flow ya abiria kwa kutafuta kiki za kisiasa.