Kama hila ya Wazungu kupitia chanjo ni kutumaliza, basi tusitie kiburi leo, tumechelewa, tangu utotoni tumechanjwa sana na chanjo zao

Kama hila ya Wazungu kupitia chanjo ni kutumaliza, basi tusitie kiburi leo, tumechelewa, tangu utotoni tumechanjwa sana na chanjo zao

"Wazungu watachukuaje v2"
Hii kauli ni hopless. Why?
Sababu kwanza sisi wenyewe ndio tunawapa, tunawabatiza majina "wawekezaji" tena private sector ambayo inaongoza kwa kuingizia serikali mapato makubwa ni wao wameishikilia kwa asilimia kubwa.

"Kisa ulikuwa unalishwa kinyesi ukagundua"
Yes ni kweli but bado baadhi ya chajo tunaendelea kuzipokea.
Hii dhana wazungu hivi wazungu vile.. wangeamua tungeshaenda siku nyingi sana.
And still asilimia kubwa ya madawa bado tunachukua kwao.
Vifaa vya mahospitalini tunachukua kwao..
Technologia za mawasiliano.. ulinzi kwao..
Technologia za ujenzi na usafiri kwao..

No offence naipenda nchi yangu. Lakin hizi fikra za kitoto za kusema sijui wazungu hivi.. wakat sisi wenyewe hatuna technologia ambazo zitatufanya tuachike na utegemezi wa technologia zao.
Usipotengwa ni vigumu kuweza kuanza kujitegemea.

Watutenge.
 
Yes tunawapatia ss wenyew kwa kusain mikataba huku tumesinzia, unahis mtu kutoka kusain mkataba wa 85%/15 had 50/50 anajisikiaje, anaona tumeamka, halafu chanjo hi ndo itaweza chukua almost Watz wotee, so ukitaka kuharbu generation it is a right time, halafu garama n kubwa, wanahitaj tukope kwao ili watuwekee mishert kibaoo, coz Tz n more than Tsh 100+ trion
Hilo suala la sisi kuamka kimkataba halina uhusiano wowote na corona. 50/50 sioni kama bi big changes bado sana.. maana kuna mikaba mingine wao wanapata 60 /40. Sizitaji hizo kampuni. Ila ni kubwa na zinajulikana

Issue ya kikataba ni nyingine , corona ni suala lingine.

Oh ukitaka kuharibu generation wakati ni sasa? Nani kasema?
They are too late. And wanajua hilo. Wangetakiwa watudhibiti toka zamani.. not now.
And who told you kuwa wanatulazimishia chanjo?

For the record mpaka sasa baadhi ya nchi za africa ndio zina request chanjo. Yaan zenyewe ndio zinataka.
Bila kulazimishwa.
 
Usipotengwa ni vigumu kuweza kuanza kujitegemea.

Watutenge.
Almost technologia yote tunayotumia nchini inatoka kwao.
Madawa almost 85% yanatoka kwao.
Even silaha tu and military appliance tunachukua kutoka kwao.
Wakitutenga hali itakuwa mbaya.. how ever ni idea nzuri itakayotufanya tuamke.
Ila at right time.. kwa sasabado sana
 
Kwanza unahis n msaada, huna uhakika kuwa n msaada
Pili siyo kisa ulikuw unalishwa kinyes ukigundua au kuhis unatakiwa kuendelea kula kisa tuu unakulaga na babu zako walikulaga Sanaa.
Tatu .. Tz saiz imeamka, ukiwa umelala huwez kuwa na adui maana anajua anakuja anachukua anachohitaj maana unakoroma tuu kwenye blanket zitoo na umelewa, ila saiz wapo Watz wapo macho hawatak kulala ili waibiwe, unahis wazungu watachukuaje v2, bila kuwafanya wasinzie, think twice usilete mihemuko ya kisiasa, weka Utanzania mbele
Kwa hiyo hapo ndo umejibu hoja ya mleta mada?

Kuhoji usalama wa chanjo si jambo baya...ila uwe na reason na ingependeza serikali iandae chanjo yake ambayo haijatoka kwa mabeberu....

Otherwise, ni kuhadaa umma huku wewe ukiendelea kujificha porini.
 
Hivi sisi waafrica mpaka lini tutaendelea kupata chanjo za wazungu?? Kwani hatuwezi kutengeneza chanjo zetu?
Kuna jambo la kumuuliza Mungu kwa nini ufahamu wetu umefungwa?
Mi nlidhani kwa kuwa hatutaki hiyo chanjo ya wazungu, saizi wanasayansi wetu wangekuwa bize huko maabara wakitengeneza chanjo ya covid...ili wazungu nao waitumie ..
 
Almost technologia yote tunayotumia nchini inatoka kwao.
Madawa almost 85% yanatoka kwao.
Even silaha tu and military appliance tunachukua kutoka kwao.
Wakitutenga hali itakuwa mbaya.. how ever ni idea nzuri itakayotufanya tuamke.
Ila at right time.. kwa sasabado sana
Lakini ndio tutakomaa.
Tukiendelea kuogopa kutengwa sijui kama huo mda sahihi utafika.
 
Lakini ndio tutakomaa.
Tukiendelea kuogopa kutengwa sijui kama huo mda sahihi utafika.
Kukomaa bi concept. Maybe miaka ya hiyo ya uhuru ilikuwa possible.
In modern world ambapo nchi nyingi zinashirikiana ktk mambo mbali mbali.
Ni ngumu?
 
Kukomaa bi concept. Maybe miaka ya hiyo ya uhuru ilikuwa possible.
In modern world ambapo nchi nyingi zinashirikiana ktk mambo mbali mbali.
Ni ngumu?
Huh sawa.

Ila mimi ningependa iwe hivyo. Japo ni ngumu.
Walioimara wataishi.
 
Kwanza unahis n msaada, huna uhakika kuwa n msaada
Pili siyo kisa ulikuw unalishwa kinyes ukigundua au kuhis unatakiwa kuendelea kula kisa tuu unakulaga na babu zako walikulaga Sanaa.
Tatu .. Tz saiz imeamka, ukiwa umelala huwez kuwa na adui maana anajua anakuja anachukua anachohitaj maana unakoroma tuu kwenye blanket zitoo na umelewa, ila saiz wapo Watz wapo macho hawatak kulala ili waibiwe, unahis wazungu watachukuaje v2, bila kuwafanya wasinzie, think twice usilete mihemuko ya kisiasa, weka Utanzania mbele
Wanaiba nn hao wazungu tza ambacho wakikitaka wanakikosa.Dhahabu,almasi, madini ,kahawa,unauzia wapi?
 
Binafsi nasikitika jinsi watu wanavyokuja na tafsiri hasi kuhusu kauli yaJPM. Kimsingi JPM hajakataa chanjo ila amesema tuwe nazo makini, hii maana yake nini? Pale inapobidi tufikirie kujitegemea na hiyo ni process. Hivi wazungu wataendelea kutubeba hadi lini? Hivi sisi tutaendelea kutokuwa na akili hivi hivi kwamba kila kitu wazungu tu? Halafu mnakomalia chanjo tu kwani hakuna njia mbadala za kujikinga?
 
Cerelac (food stuff) , yellow fever, measles, ARVs, condoms etc

Lakini wanaoipinga hii chanjo ya COVID sio kwamba hawaitaki kabisa ila wanahoji uharaka wake. Testing & approval processes zimekuwa fasttracked kwa speed ya ajabu na hakuna mwenye uhakika kama hakuna potential long term effects. Harafu zile note kama “not to be used in USA & Canada” zimetisha sana.

Hao wazungu hawasemi kama ukishachanjwa tu then huna haja ya kuvaa barakoa tena na kwamba hutopata tena COVID19

View attachment 1689641

Bila shaka unafahamu kuwa haraka ya chanjo hii ni kwa ajili ya kukabiliana na athari kubwa za maambukizi huko US, Canada, Europe. Lengo si kwa ajili ya Afrika kama wengi wanavyodai hapa kujustify conspiracy ya kuangamiza waafrika.

Ni AU na WHO ndio wanahangaika kutafuta chanjo hizo kwa ajili ya Afrika na nchi nyingine za dunia ya 3. Hakuna anayelazimisha hizo chanjo ziletwe na kutumika Afrika. It’s a non-issue.

Kuhusu list za nchi zinazoonyeshwa kwenye packages za dawa ni utaratibu wa kawaida wa masoko ya dawa tangu zamani kutokana na mfumo wa leseni za uzalishaji. Kwa mfano AstraZeneca wanaweza kutengeneza dawa fulani kwenye viwanda vyao vilivyoko US na UK kwa soko la North America na Europe. Kisha wanatoa leseni kwa kampuni ya India kutengeneza dawa hiyohiyo na kuiuza kwa bei rahisi kwa nchi masikini za Afrika, Asia, nk. Wanazuia isiende kwenye soko la nchi tajiri ikaharibu mauzo. Ndio sababu tuna dawa nyingi za makampuni ya Ulaya/US manufactured in India.

Mashabiki wa conspiracies wanatafuta kila “ushahidi” fake kuchanganya wasiopenda kudadisi na kupambanua. Wasome Reuters hapa: Fact check: Remdesivir is not a COVID-19 vaccine, nor is it only distributed in Africa
 
Kwanza unahis n msaada, huna uhakika kuwa n msaada
Pili siyo kisa ulikuw unalishwa kinyes ukigundua au kuhis unatakiwa kuendelea kula kisa tuu unakulaga na babu zako walikulaga Sanaa.
Tatu .. Tz saiz imeamka, ukiwa umelala huwez kuwa na adui maana anajua anakuja anachukua anachohitaj maana unakoroma tuu kwenye blanket zitoo na umelewa, ila saiz wapo Watz wapo macho hawatak kulala ili waibiwe, unahis wazungu watachukuaje v2, bila kuwafanya wasinzie, think twice usilete mihemuko ya kisiasa, weka Utanzania mbele
Rudia kusoma ulicho andika halafu fikiria afya ya akili yako
 
Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani
Hii inategemea unamuamini Mungu kwa kiasi gani. Ila kwa imani yangu juu ya uwepo wa Mungu ni kuwa kipindi hicho Mungu alitukingia kifua kwa 100% sasa baada ya kuona tunajitambua kaanza mdogo mdogo kuturuhusu tujilinde wenyewe (TUJITEGEMEE).

Ni kwa msingi huu, tumeanza kujihami mpaka kwenye gego! Leta hoja nyingine.
 
Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani.

Halikadhalika ukienda kwa upande wa Mifugo,kuna chanjo nyingi mifugo yetu huchanjwa kukinga magonjwa mbalimbali. Hivyo chanjo ni kitu muhimu kwa binadamu na wanyama hasa kwa magojwa yale yasiyotibika kwa tiba za kawaida.

Kwa uelewa wangu,zaidi ya 99% ya chanjo hizo za binadamu zimetengenezwa nje ya nchi( hasa ulaya) kupitia uangalizi wa Unicef na WHO. Ni nani aliwahi kuhoji kuhusu usalama wake? Na kama alihoji,ni hatua ,zipi za Serikali zilichukuliwa kupata mbadala wake? Na je, viongozi wa awamu zilizopita wangeamua kusitisha kuziingiza nchini, nini kingetokea?

Tumesikia kwenye vyombo vya habari kuhusu ligi inayoendelea kuhusu chanjo ya Covid- 19 hasa kwa nchi zetu changa kupanga kuikataa. Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa, kwa nchi changa, hofu siyo aina ya chanjo bali ni gharama kubwa za chanjo hiyo. Na yawezekana, ingetolewa kama msaada kama zile za Unicef kwa chanjo za watoto tusingesikia haya yote.

Kama ndiyo hivyo yaani kuogopa gharama,viongozi wetu wanapaswa kufahamu kuwa kipaumbele cha serikali yeyote ile kwa watu wake ni kulinda maisha yao! Kenya na baadhi ya nchi zinazotuzunguka wameshashaagiza au kuweka mipango ya kupata chanjo hiyo. Ni rai yangu kuwa,,nasi tuwe kwenye mstari wa pamoja na jirani zetu.

Na kama ipo agenda inayolenga kufafanua madhara yake,tucampaign kwa pamoja kuikataa. Mwl. Nyerere alipogundua IMF inayumbisha nchi maskini, alihamasisha na kuungana na nchi nyingi kuyakataa masharti ya IMF wakiwemo Nigeria ya kina Sani Abacha w, Zambia ya Mzee Kaunda
nk.

Hiyo approach ilifanya Wenye IMF kutikisika na kuanza kufuta baadhi ya misaada. Naamini hata viongozi wetu wa nchi hizi changa wanapaswa kutumia technique hiyo ya umoja pale wanapogundua kuna genuine reason ya kukataa jambo,na hapohapo wawe na mbadala. Covid-19 au 21 ni janga zito na siyo la kuisha leo wala kesho.

Siyo jambo la afya sana viongozi wa nchi zetu changa kuanza matamko ya kukinzana na juhudi yeyote ya awali ya kukabili tatizo la covid kama chanjo kwa staili ya majukwaa mepesimepesi.
Mawazo haya ni ya kijinga sana maana kwani hao wazungu,hawajui kuwa maisha ni kutegemeana,wataishi wao pekee yao?
 
Cerelac (food stuff) , yellow fever, measles, ARVs, condoms etc

Lakini wanaoipinga hii chanjo ya COVID sio kwamba hawaitaki kabisa ila wanahoji uharaka wake. Testing & approval processes zimekuwa fasttracked kwa speed ya ajabu na hakuna mwenye uhakika kama hakuna potential long term effects. Harafu zile note kama “not to be used in USA & Canada” zimetisha sana.

Hao wazungu hawasemi kama ukishachanjwa tu then huna haja ya kuvaa barakoa tena na kwamba hutopata tena COVID19

View attachment 1689641
Soma maelezo ya wataalamu kuhusu kuharikishwa kwake
 
Back
Top Bottom