Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Nimesoma. Na pia nimenote kuna different brands. Anayochomwa Biden sio utakayochomwa wewe huko KisijuSoma maelezo ya wataalamu kuhusu kuharikishwa kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma. Na pia nimenote kuna different brands. Anayochomwa Biden sio utakayochomwa wewe huko KisijuSoma maelezo ya wataalamu kuhusu kuharikishwa kwake
Jamaa kakimbilia porini , na inawezekana tayar ashakula chanjo , huku akifanya reaction ya kukwepa Gharama .....Kwa hiyo hapo ndo umejibu hoja ya mleta mada?
Kuhoji usalama wa chanjo si jambo baya...ila uwe na reason na ingependeza serikali iandae chanjo yake ambayo haijatoka kwa mabeberu....
Otherwise, ni kuhadaa umma huku wewe ukiendelea kujificha porini.
Swali lako nzuri sana chief, but walio turoga ni viongozi wetu waasisiHivi sisi waafrica mpaka lini tutaendelea kupata chanjo za wazungu?? Kwani hatuwezi kutengeneza chanjo zetu?
Kuna jambo la kumuuliza Mungu kwa nini ufahamu wetu umefungwa?
Hunaufahamu juu ya kile unachokisema, au huna sema kile ufahamu wako inavyo kutuma kusema???Nimesoma. Na pia nimenote kuna different brands. Anayochomwa Biden sio utakayochomwa wewe huko Kisiju
Ukishakuwa maskini usijitie kujua mbele ya wenye nguvu. Kesho utarudi kupig magoyi kwao , watakuangalia kama hawakujui!!!Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani.
Halikadhalika ukienda kwa upande wa Mifugo,kuna chanjo nyingi mifugo yetu huchanjwa kukinga magonjwa mbalimbali. Hivyo chanjo ni kitu muhimu kwa binadamu na wanyama hasa kwa magojwa yale yasiyotibika kwa tiba za kawaida.
Kwa uelewa wangu,zaidi ya 99% ya chanjo hizo za binadamu zimetengenezwa nje ya nchi( hasa ulaya) kupitia uangalizi wa Unicef na WHO. Ni nani aliwahi kuhoji kuhusu usalama wake? Na kama alihoji,ni hatua ,zipi za Serikali zilichukuliwa kupata mbadala wake? Na je, viongozi wa awamu zilizopita wangeamua kusitisha kuziingiza nchini, nini kingetokea?
Tumesikia kwenye vyombo vya habari kuhusu ligi inayoendelea kuhusu chanjo ya Covid- 19 hasa kwa nchi zetu changa kupanga kuikataa. Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa, kwa nchi changa, hofu siyo aina ya chanjo bali ni gharama kubwa za chanjo hiyo. Na yawezekana, ingetolewa kama msaada kama zile za Unicef kwa chanjo za watoto tusingesikia haya yote.
Kama ndiyo hivyo yaani kuogopa gharama,viongozi wetu wanapaswa kufahamu kuwa kipaumbele cha serikali yeyote ile kwa watu wake ni kulinda maisha yao! Kenya na baadhi ya nchi zinazotuzunguka wameshashaagiza au kuweka mipango ya kupata chanjo hiyo. Ni rai yangu kuwa,,nasi tuwe kwenye mstari wa pamoja na jirani zetu.
Na kama ipo agenda inayolenga kufafanua madhara yake,tucampaign kwa pamoja kuikataa. Mwl. Nyerere alipogundua IMF inayumbisha nchi maskini, alihamasisha na kuungana na nchi nyingi kuyakataa masharti ya IMF wakiwemo Nigeria ya kina Sani Abacha w, Zambia ya Mzee Kaunda
nk.
Hiyo approach ilifanya Wenye IMF kutikisika na kuanza kufuta baadhi ya misaada. Naamini hata viongozi wetu wa nchi hizi changa wanapaswa kutumia technique hiyo ya umoja pale wanapogundua kuna genuine reason ya kukataa jambo,na hapohapo wawe na mbadala. Covid-19 au 21 ni janga zito na siyo la kuisha leo wala kesho.
Siyo jambo la afya sana viongozi wa nchi zetu changa kuanza matamko ya kukinzana na juhudi yeyote ya awali ya kukabili tatizo la covid kama chanjo kwa staili ya majukwaa mepesimepesi.
Ni kweli hujasikia wanachokiongea kutoka midomoni mwao? Hongera Zambia kumuelewa JPM na kujitambua pia kitaeleweka tuJiwe anatuharibia nchi. Huwa anasema kabla ya kufikiri.
Au anataka tupigike kiafya kama alivyotufanya tupigike kifedha.
Lkn Zambia hajaongea rais kama hapa kwetuHongera Zambia kumuelewa JPM na kujitambua pia kitaeleweka tu
Kwani hizi attempt za kuleta chanjo mbali mbali bongo zimeanza kipindi hichi 2 cha 50/50 em acheni hizo. Yani inachekesha tanzania eti mnajimwambafai hii vita ya covid imewalenge nyny hhhhhhYes tunawapatia ss wenyew kwa kusain mikataba huku tumesinzia, unahis mtu kutoka kusain mkataba wa 85%/15 had 50/50 anajisikiaje, anaona tumeamka, halafu chanjo hi ndo itaweza chukua almost Watz wotee, so ukitaka kuharbu generation it is a right time, halafu garama n kubwa, wanahitaj tukope kwao ili watuwekee mishert kibaoo, coz Tz n more than Tsh 100+ trion
May be mngesema atleast wameitarget africa as whole labda eti tanzania kisa 50/50 wakati mikataba ya 80/20 walikuwa wanaitaka waafrica wenzetu wenyeweYes tunawapatia ss wenyew kwa kusain mikataba huku tumesinzia, unahis mtu kutoka kusain mkataba wa 85%/15 had 50/50 anajisikiaje, anaona tumeamka, halafu chanjo hi ndo itaweza chukua almost Watz wotee, so ukitaka kuharbu generation it is a right time, halafu garama n kubwa, wanahitaj tukope kwao ili watuwekee mishert kibaoo, coz Tz n more than Tsh 100+ trion
We unaetaka kujitegemea mbona nyenzo zipo ondoka jf kwa kuanza kuzima intaneti na kutotumia simu halafu kavae ngozi za wanyama kakae juu ya miti ukiumwa nenda kwa sangoma. Mambo hayadanganyi ya mabeberu ni mazuri yani watu tusiendeshe magari kisa viburi hhhhhhSi una akili ya utegemezi.!
Hivi tushavimiliki wacha tuendelee kutumiaa.!We unaetaka kujitegemea mbona nyenzo zipo ondoka jf kwa kuanza kuzima intaneti na kutotumia simu halafu kavae ngozi za wanyama kakae juu ya miti ukiumwa nenda kwa sangoma. Mambo hayadanganyi ya mabeberu ni mazuri yani watu tusiendeshe magari kisa viburi hhhhhh
Angalia hiiWe unaetaka kujitegemea mbona nyenzo zipo ondoka jf kwa kuanza kuzima intaneti na kutotumia simu halafu kavae ngozi za wanyama kakae juu ya miti ukiumwa nenda kwa sangoma. Mambo hayadanganyi ya mabeberu ni mazuri yani watu tusiendeshe magari kisa viburi hhhhhh
Shida wanaosema tujitegemee hawatoi lead ya mifano like wafanye wao kwanza mabadiliko it' s just kauli za mdomoni waafrica tubadilike. Wakati nao wanafanya vitu common vya daily routine atleast wangeanza kwa kubadilisha mifumo ya elimu tungeona wameanza hatuaBinafsi nasikitika jinsi watu wanavyokuja na tafsiri hasi kuhusu kauli yaJPM. Kimsingi JPM hajakataa chanjo ila amesema tuwe nazo makini, hii maana yake nini? Pale inapobidi tufikirie kujitegemea na hiyo ni process. Hivi wazungu wataendelea kutubeba hadi lini? Hivi sisi tutaendelea kutokuwa na akili hivi hivi kwamba kila kitu wazungu tu? Halafu mnakomalia chanjo tu kwani hakuna njia mbadala za kujikinga?
Una mawazo mazuri ila tambua hofu ya baadhi ya nchi za kiafrika ni kwamba sisi ni nchi ambazo hatujaua wengi kama wao wenzetu na isitoshe kwann hawajaanza kwao ambapo wanaumwa wengi na ugonjwa huo upo kwa kasi! Watuonee huruma sisi kivip?Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani.
Halikadhalika ukienda kwa upande wa Mifugo,kuna chanjo nyingi mifugo yetu huchanjwa kukinga magonjwa mbalimbali. Hivyo chanjo ni kitu muhimu kwa binadamu na wanyama hasa kwa magojwa yale yasiyotibika kwa tiba za kawaida.
Kwa uelewa wangu,zaidi ya 99% ya chanjo hizo za binadamu zimetengenezwa nje ya nchi( hasa ulaya) kupitia uangalizi wa Unicef na WHO. Ni nani aliwahi kuhoji kuhusu usalama wake? Na kama alihoji,ni hatua ,zipi za Serikali zilichukuliwa kupata mbadala wake? Na je, viongozi wa awamu zilizopita wangeamua kusitisha kuziingiza nchini, nini kingetokea?
Tumesikia kwenye vyombo vya habari kuhusu ligi inayoendelea kuhusu chanjo ya Covid- 19 hasa kwa nchi zetu changa kupanga kuikataa. Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa, kwa nchi changa, hofu siyo aina ya chanjo bali ni gharama kubwa za chanjo hiyo. Na yawezekana, ingetolewa kama msaada kama zile za Unicef kwa chanjo za watoto tusingesikia haya yote.
Kama ndiyo hivyo yaani kuogopa gharama,viongozi wetu wanapaswa kufahamu kuwa kipaumbele cha serikali yeyote ile kwa watu wake ni kulinda maisha yao! Kenya na baadhi ya nchi zinazotuzunguka wameshashaagiza au kuweka mipango ya kupata chanjo hiyo. Ni rai yangu kuwa,,nasi tuwe kwenye mstari wa pamoja na jirani zetu.
Na kama ipo agenda inayolenga kufafanua madhara yake,tucampaign kwa pamoja kuikataa. Mwl. Nyerere alipogundua IMF inayumbisha nchi maskini, alihamasisha na kuungana na nchi nyingi kuyakataa masharti ya IMF wakiwemo Nigeria ya kina Sani Abacha w, Zambia ya Mzee Kaunda
nk.
Hiyo approach ilifanya Wenye IMF kutikisika na kuanza kufuta baadhi ya misaada. Naamini hata viongozi wetu wa nchi hizi changa wanapaswa kutumia technique hiyo ya umoja pale wanapogundua kuna genuine reason ya kukataa jambo,na hapohapo wawe na mbadala. Covid-19 au 21 ni janga zito na siyo la kuisha leo wala kesho.
Siyo jambo la afya sana viongozi wa nchi zetu changa kuanza matamko ya kukinzana na juhudi yeyote ya awali ya kukabili tatizo la covid kama chanjo kwa staili ya majukwaa mepesimepesi.
So huon correlation ya Corona na masuala ya kiuchumi Kama mikataba ya uwekezajiHilo suala la sisi kuamka kimkataba halina uhusiano wowote na corona. 50/50 sioni kama bi big changes bado sana.. maana kuna mikaba mingine wao wanapata 60 /40. Sizitaji hizo kampuni. Ila ni kubwa na zinajulikana
Issue ya kikataba ni nyingine , corona ni suala lingine.
Oh ukitaka kuharibu generation wakati ni sasa? Nani kasema?
They are too late. And wanajua hilo. Wangetakiwa watudhibiti toka zamani.. not now.
And who told you kuwa wanatulazimishia chanjo?
For the record mpaka sasa baadhi ya nchi za africa ndio zina request chanjo. Yaan zenyewe ndio zinataka.
Bila kulazimishwa.
Coz bado umelala huon changes 😂😂😂Kwani hizi attempt za kuleta chanjo mbali mbali bongo zimeanza kipindi hichi 2 cha 50/50 em acheni hizo. Yani inachekesha tanzania eti mnajimwambafai hii vita ya covid imewalenge nyny hhhhhh
There nothing there. Corona is something else.. mikataba ni something else. Two very different things.So huon correlation ya Corona na masuala ya kiuchumi Kama mikataba ya uwekezaji
Kwa upeo wako ndo hvoo, 4 those who see beyond Kuna correlationThere nothing there. Corona is something else.. mikataba ni something else. Two very different things.