Kama hila ya Wazungu kupitia chanjo ni kutumaliza, basi tusitie kiburi leo, tumechelewa, tangu utotoni tumechanjwa sana na chanjo zao

Usipotengwa ni vigumu kuweza kuanza kujitegemea.

Watutenge.
 
Hilo suala la sisi kuamka kimkataba halina uhusiano wowote na corona. 50/50 sioni kama bi big changes bado sana.. maana kuna mikaba mingine wao wanapata 60 /40. Sizitaji hizo kampuni. Ila ni kubwa na zinajulikana

Issue ya kikataba ni nyingine , corona ni suala lingine.


Oh ukitaka kuharibu generation wakati ni sasa? Nani kasema?
They are too late. And wanajua hilo. Wangetakiwa watudhibiti toka zamani.. not now.
And who told you kuwa wanatulazimishia chanjo?

For the record mpaka sasa baadhi ya nchi za africa ndio zina request chanjo. Yaan zenyewe ndio zinataka.
Bila kulazimishwa.
 
Usipotengwa ni vigumu kuweza kuanza kujitegemea.

Watutenge.
Almost technologia yote tunayotumia nchini inatoka kwao.
Madawa almost 85% yanatoka kwao.
Even silaha tu and military appliance tunachukua kutoka kwao.
Wakitutenga hali itakuwa mbaya.. how ever ni idea nzuri itakayotufanya tuamke.
Ila at right time.. kwa sasabado sana
 
Kwa hiyo hapo ndo umejibu hoja ya mleta mada?

Kuhoji usalama wa chanjo si jambo baya...ila uwe na reason na ingependeza serikali iandae chanjo yake ambayo haijatoka kwa mabeberu....

Otherwise, ni kuhadaa umma huku wewe ukiendelea kujificha porini.
 
Hivi sisi waafrica mpaka lini tutaendelea kupata chanjo za wazungu?? Kwani hatuwezi kutengeneza chanjo zetu?
Kuna jambo la kumuuliza Mungu kwa nini ufahamu wetu umefungwa?
Mi nlidhani kwa kuwa hatutaki hiyo chanjo ya wazungu, saizi wanasayansi wetu wangekuwa bize huko maabara wakitengeneza chanjo ya covid...ili wazungu nao waitumie ..
 
Lakini ndio tutakomaa.
Tukiendelea kuogopa kutengwa sijui kama huo mda sahihi utafika.
 
Lakini ndio tutakomaa.
Tukiendelea kuogopa kutengwa sijui kama huo mda sahihi utafika.
Kukomaa bi concept. Maybe miaka ya hiyo ya uhuru ilikuwa possible.
In modern world ambapo nchi nyingi zinashirikiana ktk mambo mbali mbali.
Ni ngumu?
 
Kukomaa bi concept. Maybe miaka ya hiyo ya uhuru ilikuwa possible.
In modern world ambapo nchi nyingi zinashirikiana ktk mambo mbali mbali.
Ni ngumu?
Huh sawa.

Ila mimi ningependa iwe hivyo. Japo ni ngumu.
Walioimara wataishi.
 
Wanaiba nn hao wazungu tza ambacho wakikitaka wanakikosa.Dhahabu,almasi, madini ,kahawa,unauzia wapi?
 
Binafsi nasikitika jinsi watu wanavyokuja na tafsiri hasi kuhusu kauli yaJPM. Kimsingi JPM hajakataa chanjo ila amesema tuwe nazo makini, hii maana yake nini? Pale inapobidi tufikirie kujitegemea na hiyo ni process. Hivi wazungu wataendelea kutubeba hadi lini? Hivi sisi tutaendelea kutokuwa na akili hivi hivi kwamba kila kitu wazungu tu? Halafu mnakomalia chanjo tu kwani hakuna njia mbadala za kujikinga?
 

Bila shaka unafahamu kuwa haraka ya chanjo hii ni kwa ajili ya kukabiliana na athari kubwa za maambukizi huko US, Canada, Europe. Lengo si kwa ajili ya Afrika kama wengi wanavyodai hapa kujustify conspiracy ya kuangamiza waafrika.

Ni AU na WHO ndio wanahangaika kutafuta chanjo hizo kwa ajili ya Afrika na nchi nyingine za dunia ya 3. Hakuna anayelazimisha hizo chanjo ziletwe na kutumika Afrika. It’s a non-issue.

Kuhusu list za nchi zinazoonyeshwa kwenye packages za dawa ni utaratibu wa kawaida wa masoko ya dawa tangu zamani kutokana na mfumo wa leseni za uzalishaji. Kwa mfano AstraZeneca wanaweza kutengeneza dawa fulani kwenye viwanda vyao vilivyoko US na UK kwa soko la North America na Europe. Kisha wanatoa leseni kwa kampuni ya India kutengeneza dawa hiyohiyo na kuiuza kwa bei rahisi kwa nchi masikini za Afrika, Asia, nk. Wanazuia isiende kwenye soko la nchi tajiri ikaharibu mauzo. Ndio sababu tuna dawa nyingi za makampuni ya Ulaya/US manufactured in India.

Mashabiki wa conspiracies wanatafuta kila “ushahidi” fake kuchanganya wasiopenda kudadisi na kupambanua. Wasome Reuters hapa: Fact check: Remdesivir is not a COVID-19 vaccine, nor is it only distributed in Africa
 
Rudia kusoma ulicho andika halafu fikiria afya ya akili yako
 
Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani
Hii inategemea unamuamini Mungu kwa kiasi gani. Ila kwa imani yangu juu ya uwepo wa Mungu ni kuwa kipindi hicho Mungu alitukingia kifua kwa 100% sasa baada ya kuona tunajitambua kaanza mdogo mdogo kuturuhusu tujilinde wenyewe (TUJITEGEMEE).

Ni kwa msingi huu, tumeanza kujihami mpaka kwenye gego! Leta hoja nyingine.
 
Mawazo haya ni ya kijinga sana maana kwani hao wazungu,hawajui kuwa maisha ni kutegemeana,wataishi wao pekee yao?
 
Soma maelezo ya wataalamu kuhusu kuharikishwa kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…