Kama hila ya Wazungu kupitia chanjo ni kutumaliza, basi tusitie kiburi leo, tumechelewa, tangu utotoni tumechanjwa sana na chanjo zao

Kwa hiyo hapo ndo umejibu hoja ya mleta mada?

Kuhoji usalama wa chanjo si jambo baya...ila uwe na reason na ingependeza serikali iandae chanjo yake ambayo haijatoka kwa mabeberu....

Otherwise, ni kuhadaa umma huku wewe ukiendelea kujificha porini.
Jamaa kakimbilia porini , na inawezekana tayar ashakula chanjo , huku akifanya reaction ya kukwepa Gharama .....
Na ni Kwa nn hyo chanjo iwe ni lazima na ni too cost not free, alaf mostly ipo tofaut na chanjo za nchi kadhaa za kibeberu
 
Hivi sisi waafrica mpaka lini tutaendelea kupata chanjo za wazungu?? Kwani hatuwezi kutengeneza chanjo zetu?
Kuna jambo la kumuuliza Mungu kwa nini ufahamu wetu umefungwa?
Swali lako nzuri sana chief, but walio turoga ni viongozi wetu waasisi
Mifumo yetu ya kielimu na kiutawala
Ndiyo imetulemesha kwa kiwangu hiki, kila kitu tuligemea kwa wazungu
 
Ukishakuwa maskini usijitie kujua mbele ya wenye nguvu. Kesho utarudi kupig magoyi kwao , watakuangalia kama hawakujui!!!
 
Kama hatuwaamini wazungu, si tuwageukie rafiki zetu wachina tuchukue chanjo kwao!! Au hata rafiki pia hatuwaamini? Basi hatujielewi!!!?
 
Jiwe anatuharibia nchi. Huwa anasema kabla ya kufikiri.

Au anataka tupigike kiafya kama alivyotufanya tupigike kifedha.
Ni kweli hujasikia wanachokiongea kutoka midomoni mwao? Hongera Zambia kumuelewa JPM na kujitambua pia kitaeleweka tu
 
Kwani hizi attempt za kuleta chanjo mbali mbali bongo zimeanza kipindi hichi 2 cha 50/50 em acheni hizo. Yani inachekesha tanzania eti mnajimwambafai hii vita ya covid imewalenge nyny hhhhhh
 
May be mngesema atleast wameitarget africa as whole labda eti tanzania kisa 50/50 wakati mikataba ya 80/20 walikuwa wanaitaka waafrica wenzetu wenyewe
 
Si una akili ya utegemezi.!
We unaetaka kujitegemea mbona nyenzo zipo ondoka jf kwa kuanza kuzima intaneti na kutotumia simu halafu kavae ngozi za wanyama kakae juu ya miti ukiumwa nenda kwa sangoma. Mambo hayadanganyi ya mabeberu ni mazuri yani watu tusiendeshe magari kisa viburi hhhhhh
 
Hivi tushavimiliki wacha tuendelee kutumiaa.!

Kama hatujaridhishwa kwa nini tusihoji. Tupokee tu kama mambumbu.
 
Angalia hii


Your browser is not able to display this video.
 
Shida wanaosema tujitegemee hawatoi lead ya mifano like wafanye wao kwanza mabadiliko it' s just kauli za mdomoni waafrica tubadilike. Wakati nao wanafanya vitu common vya daily routine atleast wangeanza kwa kubadilisha mifumo ya elimu tungeona wameanza hatua
 
Una mawazo mazuri ila tambua hofu ya baadhi ya nchi za kiafrika ni kwamba sisi ni nchi ambazo hatujaua wengi kama wao wenzetu na isitoshe kwann hawajaanza kwao ambapo wanaumwa wengi na ugonjwa huo upo kwa kasi! Watuonee huruma sisi kivip?
Lazima wakati mwingne unatakiwa ufikirie mbali hili jamboo kwasababu wazungu sio watu wazur kabisa kwetu uzur wao kwetu ni unyonyaji!
Kwaio mzungu siku zote atakaa na wewe kwaajili ya kitu fulani ila kama unaubongo wa kulala siku zote utajua madhara yake baada ya miaka 10 au 20 !
 
So huon correlation ya Corona na masuala ya kiuchumi Kama mikataba ya uwekezaji
 
Kwani hizi attempt za kuleta chanjo mbali mbali bongo zimeanza kipindi hichi 2 cha 50/50 em acheni hizo. Yani inachekesha tanzania eti mnajimwambafai hii vita ya covid imewalenge nyny hhhhhh
Coz bado umelala huon changes πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…