Kama hili ni kweli, Basi Mo Ataliza Watu Muda Sio Mrefu

Kama hili ni kweli, Basi Mo Ataliza Watu Muda Sio Mrefu

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Leo wakati Chama akiwa Live insta alimsifia Haji kitendo kile kikamkera Bilionea Moo Dewji. Dewji akamtolea uvivu Chama na kumuulza "Haji ndiye aliyekulipia ada ya uhamisho?" Kisha Dewji akamwambia anatoka kwenye mkutano huo wa Insta.

1.jpg

2.jpg

3.jpg

4.jpg
 
Kuna watu huwa hawaguswi kizembe, mtu kama Manara alitakiwa kutemwa kwa akili na si kizembe, Manara hana cha kupoteza hata iweje lkn mtu kama Mo aweza kuishusha hadhi yake kwa ku deal na Haji

Ukifuatilia vizuri Haji kapitishwa sana na Barbra, hili lilipigiwa kelele na watu lkn Manara aliwekwa chini na aliweza kuongea kwenye mkutano flani kuhusu hiyo minong'ono na akakanusha kuwa hawezi kugombana na mrembo kama huyo kwani yeye sio zuzu.

Ukweli ni kwamba alifunika kombe lkn kwa watu kumshauri.
Katika vita hii ya Haji na Mo, Haji ni mshindi kwani hana cha kupoteza kama ilivyo kwa maskini usivyoweza kumfilisi.

Mo namna ya kumshinda Haji ni kunyamaza kama hakuna kinachoendelea lakini naona anahaha.
 
Leo wakati Chama akiwa Live insta alimsifia Haji kitendo kile kikamkera Bilionea Moo Dewji. Dewji akamtolea uvivu Chama na kumuulza "Haji ndiye aliyekulipia ada ya uhamisho?" Kisha Dewji akamwambia anatoka kwenye mkutano huo wa Insta.

View attachment 1883135

View attachment 1883136
View attachment 1883137

Leo wakati Chama akiwa Live insta alimsifia Haji kitendo kile kikamkera Bilionea Moo Dewji. Dewji akamtolea uvivu Chama na kumuulza "Haji ndiye aliyekulipia ada ya uhamisho?" Kisha Dewji akamwambia anatoka kwenye mkutano huo wa Insta.
View attachment 1883138
Kwa hiyo, tuseme Mo anataka timu nzima na wapenzi wote wa Simba wamchukie Manara? Kwamba hakuna hata mmoja mwenye urafiki naye despite kwamba ana ugomvi na uongozi wa Simba? Huu ni uswahili. Huwezi rithisha ugomvi watu..
 
Mo ana hulka za Kiswahili.

Hivi mtu kama yeye anapata wapi muda wa kuangaika na watu wa chini ake hiviii....!!!?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hizo ndio tabia za wahindi, yaani ukinunua nguo mpya ukaja ofisini unaweza kufukuzwa kazi. Ukipolish kiatu kikang'aa unaweza lazimishwa kuomba msamaha. Unaweza usiamini maneno yangu ila wale waliofanya kazi kwa muhindi watakubaliana nami.
 
Back
Top Bottom