popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Chezea kanjibai weweMo ameanza kuonekana fara pamoja na utajiri wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chezea kanjibai weweMo ameanza kuonekana fara pamoja na utajiri wake
Hakika hakika!Mm nawaambia Mo angesoma st DULLAH zetu hizi huyu mwamba angekuwa MCHAWI KABISAA
ashukuru pesa za urithi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Una uhakika!!huoni kuwa ni editing hiyo!!muda mwingine tuwe angalau na akili za ku lesson kabla ya kukimbilia kuhukumu!! Wabongo mnapenda sana umbea ndio maana mnashadadia habari za umbea bila kuhoji wala kujilidhishaMo ana hulka za Kiswahili.
Hivi mtu kama yeye anapata wapi muda wa kuangaika na watu wa chini ake hiviii....!!!?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Oneni shabiki msomi huyu... 😂 😂 😂Una uhakika!!huoni kuwa ni editing hiyo!!muda mwingine tuwe angalau na akili za ku lesson kabla ya kukimbilia kuhukumu!! Wabongo mnapenda sana umbea ndio maana mnashadadia habari za umbea bila kuhoji wala kujilidhisha
Mkuu ni viashiria gani vinakufanya useme ni editing?Watanzania kwa umbea na ujinga tunaongoza sana,tungekuwa na akili mpira usingekuwa unachezwa kwenye mashamba ya mpunga ya CCM tunayoita viwanja!!
MO hajaandika chochote kwenye insta live ya chama iyo ni editing tu ili kuivuruga Simba.
HahaaaOneni shabiki msomi huyu... 😂 😂 😂
Kuna watu huwa hawaguswi kizembe, mtu kama Manara alitakiwa kutemwa kwa akili na si kizembe, Manara hana cha kupoteza hata iweje lkn mtu kama Mo aweza kuishusha hadhi yake kwa ku deal na Haji
Ukifuatilia vizuri Haji kapitishwa sana na Barbra, hili lilipigiwa kelele na watu lkn Manara aliwekwa chini na aliweza kuongea kwenye mkutano flani kuhusu hiyo minong'ono na akakanusha kuwa hawezi kugombana na mrembo kama huyo kwani yeye sio zuzu.
Ukweli ni kwamba alifunika kombe lkn kwa watu kumshauri.
Katika vita hii ya Haji na Mo, Haji ni mshindi kwani hana cha kupoteza kama ilivyo kwa maskini usivyoweza kumfilisi.
Mo namna ya kumshinda Haji ni kunyamaza kama hakuna kinachoendelea lkn naona anahaha.
Ninamjua anae endesha account za mitandao ya MO Dewji,na pia ninaelewa anaendesha kwa utaratibu gani!! Maana haruhusiwi kuandika chochote kwenye account za wachezaji labda iwe ni kupongeza hasa matukio muhimu kama kushinda game, birthday za wachezaji,kuwapa moyo endapo wamepoteza game,na ku-like tu.Mkuu ni viashiria gani vinakufanya useme ni editing?
Nisaidie kujua kama hutojali.
Ni kumkaza mama koya.Ku lesson ndio nin?
Nimeuliza halafu wewe unanitukana?Asante ndugu!Ni kumkaza mama koya.
Huyo chama, even Jon boco nawa doubts sana aisee. Simba ni wapige kimya huu upepo mchafu upiteMo anakosa hekima.Lakini pia inaonekana uwekezaji wa Haji kwenye kuihujumu timu,ni mkubwa sana.Ninaona Haji huenda hata alitumika na makampuni ya bet ili kupanga matokeo ya mechi kubwa.Huenda walitengeneza pesa nyingi kwa kushirikiana na wachezaji kama chama.
Leo nimekumbuka Hans Pope kipindi fulani aliwahi kumtuhumu chama amecheza chini ya kiwango maksudi.Ninaanza kuelewa yule Mzee hakuwa mwendawazimu.Haji anajua mchezo mzima.Haji sio mtu kabisa.Hafai kutetewa hata kidogo.
Hivi hawajiulizi kuwa Haji anatupa makombora akila kuku Dubai?Huyo chama, even Jon boco nawa doubts sana aisee. Simba ni wapige kimya huu upepo mchafu upite
Mimi na wewe nani ana mtindio wa ubongo?! Ungekuwa uko vizuri usingekua kila mara ni kutuandika maneno ya kijinga wanaume lijali hapa JF.Usibishane naye huyo ana mtindio wa Ubongo.. [emoji23] [emoji23]