Kama hili ni kweli, Basi Mo Ataliza Watu Muda Sio Mrefu

Kama hili ni kweli, Basi Mo Ataliza Watu Muda Sio Mrefu

Hv hajui kwamba wachezaji wanatengenezwa kisaikolojia ndio mafanikio yanapatikana yeye anawaharibu
 
Msimu ukianza simba tukakosa ubingwa basi tutakuwa kwny hali mbaya
 
Hii post saivi haipo, haka kadogo ni kachawa ka GSM sasa kameumbuka.
IMG-20210806-WA0145.jpeg
 
Laymen bongo ni wengi ni watu wa matukio na washabiki wa vitu vya kijinga. Mo aweke mkataba wazi k wenye blog ya club ili tuusome na tuuchambue na watu wa sheria za biashara ili tujue mchanganuo mengineyo ni TAARABU. Huu uwekezaji wa Theory ni blah blah tu! What's matter here to know the investment na profits in each side. Wanaohoji kuhusu maslai yake kwa Simba wote ni maadui kwann iwe hivyo? Wapambe zake wote wanaopata % na wenyewe wana matusi utafikiri wamesomea vyuo vya matusi. Laymen wao wanasubiri matukio tu ni bendera fuata upepo.
 
Inaonekana chama amemu unfollow Mo huko insta.Hii inanipa picha mbaya sana.Sidhani kama Chama ana nia njema tena na Simba.

Ninaanza kuona wazi kuwa huenda hawa (chama na Haji)walikuwa na siri nzito sana kwenye mipango yao ya kuuza timu.

Huu upepo hautaiacha salama Simba.Haji amejipanga kuibomoa Simba,na atafanikiwa kwani vichwa vya Mo na CEO viko tupu sana.
Haji ni zaidi ya shetani aisee, nadhani simba imuache tu huyo chama, hata manara tuhuma za hujuma ni za mda mrefu ifike mahali simba ifute uswahili wa kijinga wa kimanara manara, maana manara naye alianza chokochoko kabla ya ile mechi kubwa ili tufungwe bahati akashindwa. Tena juzi Ali mupost john bosco na kumtag ila boco ka kaptain aka umute. Ni mda sasa wa simba kutokumjibu huyo manara, na yeye Mo hebu atulie kimya huu upepo mchafu upite, ikiwezekana wachezaji wote walio kuwa mashosti na Manara waachwe msimu huu wamfate huyo Manara, kuwachekea watai cost timu huko mbeleni.
 
Hshaaaaa kuna jamaa yangu mmoja alipomaliza form six alifanya kazi kiwanda cha wahindi aliwahi nisimulia hayo. Muhindi alimwambia "veve iko vaa vizuri sana veve" na "veve iko penda kula vizuri veve"
Wahindi acha kabisa niliwahi simamia ujenzi wa ghorofa 12 na muhindi maana ilibidi nikimbie maana kila floor kuna kazi inaendelea ilikuwa unazingua kuanzia juu mpaka chini kuangalia mafundi kama wamesimama hawafanyi kazi sasa kila sehemu anayonikuta ni kosa veve iko simamia hapa tu veve nenda kule chni kazi fundi lala tu, ukikutana naye kwenye ngazi unashuka "veve zurura tu hamna kazi enda uko"
Ikabidi niwe namvizia nikisikia sauti nakula kona mpaka jioni tunapishana hatuonani ikifika muda wa malipo "veve leo lala tu hamna kazi fanya"

Mwisho wa siku nikapotea mazimaaa. Wahindi wajinga sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kilugha chetu tunasema nyama usiichemshe, usiichome, usiikaange wala kuioka lakini iive
 
Wahindi acha kabisa niliwahi simamia ujenzi wa ghorofa 12 na muhindi maana ilibidi nikimbie maana kila floor kuna kazi inaendelea ilikuwa unazingua kuanzia juu mpaka chini kuangalia mafundi kama wamesimama hawafanyi kazi sasa kila sehemu anayonikuta ni kosa veve iko simamia hapa tu veve nenda kule chni kazi fundi lala tu, ukikutana naye kwenye ngazi unashuka "veve zurura tu hamna kazi enda uko"
Ikabidi niwe namvizia nikisikia sauti nakula kona mpaka jioni tunapishana hatuonani ikifika muda wa malipo "veve leo lala tu hamna kazi fanya"

Mwisho wa siku nikapotea mazimaaa. Wahindi wajinga sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]ungempiga aache gubu lake
 
Ilinibidi kukimbia tu maana niliona dalili za kuua kwa kumsukuma juu ya ghorofa aanguke afe kabisa.
Wanakera kunyanyasa wafanyakazi wao sio huku bongo tu hata huko India
 
Wanakera kunyanyasa wafanyakazi wao sio huku bongo tu hata huko India
Na hapohapo hana elimu wala nini ameletwa bongo kujifunza kazi na analala kwenye makontena ila anavyokusumbua lengo lake uondoke.
 
Back
Top Bottom