Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Acha nae huyo ni mpuuziNimeuliza halafu wewe unanitukana?Asante ndugu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha nae huyo ni mpuuziNimeuliza halafu wewe unanitukana?Asante ndugu!
Huyo chama, even Jon boco nawa doubts sana aisee. Simba ni wapige kimya huu upepo mchafu upite
😆 😆 😆 kama vipi moo atususie chama tu maana kwa kususa hajamboLeo wakati Chama akiwa Live insta alimsifia Haji kitendo kile kikamkera Bilionea Moo Dewji. Dewji akamtolea uvivu Chama na kumuulza "Haji ndiye aliyekulipia ada ya uhamisho?" Kisha Dewji akamwambia anatoka kwenye mkutano huo wa Insta.
View attachment 1883135
View attachment 1883136
View attachment 1883137
Leo wakati Chama akiwa Live insta alimsifia Haji kitendo kile kikamkera Bilionea Moo Dewji. Dewji akamtolea uvivu Chama na kumuulza "Haji ndiye aliyekulipia ada ya uhamisho?" Kisha Dewji akamwambia anatoka kwenye mkutano huo wa Insta.
View attachment 1883138
Ona huu msukuleMo anakosa hekima.Lakini pia inaonekana uwekezaji wa Haji kwenye kuihujumu timu,ni mkubwa sana.Ninaona Haji huenda hata alitumika na makampuni ya bet ili kupanga matokeo ya mechi kubwa.Huenda walitengeneza pesa nyingi kwa kushirikiana na wachezaji kama chama.
Leo nimekumbuka Hans Pope kipindi fulani aliwahi kumtuhumu chama amecheza chini ya kiwango maksudi.Ninaanza kuelewa yule Mzee hakuwa mwendawazimu.Haji anajua mchezo mzima.Haji sio mtu kabisa.Hafai kutetewa hata kidogo.
Aaah wapi...yule bosi bwana[emoji23] [emoji23]
Sipati picha Gharib Bilal anamfuata Yacouba Sogne kwa Insta Video ili akabishane naye.
Nguvu ya KToka Barabara aingie kumekukuwa ni singeli mwazo mbisho
Acha ushamba, lazima ujue anguko la Yanga Tatizo ilikuwa ni uongozi kusambaratika. Hili linaloendelea simba ni anguko. Ila kwa kuwa huna akili huwezi kujua Hilo. Omba lirekebishwe mapemaMwisho wa ligi ndugu zangu wa utopolo mnalaumu marefa na tff kumbe mko bize na simba
Tumekuelewa mke wa MoIla wabongo tusio na hela ni matatizo sana...
Mara Oooh, MO ni mswahili sana na hana hekima.
Mara Oooh, MO ni mjanja mjanja,fala na hana hela,ashukuru mali za urithi.
Haya ni maneno ya watu ambao ni penniless ☝ ila wanavunga wana hekima. Na ni kawaida ya mtu masikini mbwa kachoka kumnanga tajiri kwa petty issues kama hii.
Tunachopaswa kuelewa ni...
1.Mo ni binadamu kama wewe na mimi.Ana hisia za furaha,huzuni hasira,n.k. Hapa kaonyesha hisia zake kama binadamu (ndiyo,yeye kama kiongozi anapaswa kujidhibiti na kuonyesha uvumilivu, ila kuna nyakati 'ubinadamu' hujidhihirisha bila kujali fedha,madaraka na hadhi uliyonayo). Tukubali,ubinadamu kama ulionao wewe umemuelemea.
Kama bilionea Mo mnamwandama hivi kwa jambo dogo, mnajua hulka za bilionea Donald Trump na hata yule Warren Buffet pale wanapokereka huwa wanakuwaje?
2.Pamoja na utajiri wake bado tukubali kuwa MO bado ni kijana (he's just a young adult), na ujana ni ujana tu japo hauwezi kulingana na ule wa kijana anayebalehe. Hivi huwa mnaona reactions za Mo pale Simba inapokuwa na mechi ngumu au inapopoteza pointi? Zile reactions si za aina ya mtu mzima. Hebu tumwelewe na baada ya hapo behavior yake haitatupa taabu maana ni typical ya vijana wengi.
3.Halafu mambo ya "hela zenyewe za urithi yanaingiaje hapa"? Na hata kama ni za urithi, mi nampa kongole kwa hapo alipofikia maana kuendeleza mali za urithi si jambo jepesi,wengi tu walishashindwa. Na hata humu kuna watu waliachiwa mali na wazazi wao ila hadi tunavyozungumza leo hii ni weupe kama sanda, nothing kwakweli. Njoo utuambie wewe mali za urithi umeziendelezaje na siyo kupanua domo kama mfuko wa mbolea dhidi ya ule aliyekuza kile alichoachiwa.
Una uhakika!!huoni kuwa ni editing hiyo!!muda mwingine tuwe angalau na akili za ku lesson kabla ya kukimbilia kuhukumu!! Wabongo mnapenda sana umbea ndio maana mnashadadia habari za umbea bila kuhoji wala kujilidhisha
Ila wabongo tusio na hela ni matatizo sana...
Mara Oooh, MO ni mswahili sana na hana hekima.
Mara Oooh, MO ni mjanja mjanja,fala na hana hela,ashukuru mali za urithi.
Haya ni maneno ya watu ambao ni penniless [emoji121] ila wanavunga wana hekima. Na ni kawaida ya mtu masikini mbwa kachoka kumnanga tajiri kwa petty issues kama hii.
Tunachopaswa kuelewa ni...
1.Mo ni binadamu kama wewe na mimi.Ana hisia za furaha,huzuni hasira,n.k. Hapa kaonyesha hisia zake kama binadamu (ndiyo,yeye kama kiongozi anapaswa kujidhibiti na kuonyesha uvumilivu, ila kuna nyakati 'ubinadamu' hujidhihirisha bila kujali fedha,madaraka na hadhi uliyonayo). Tukubali,ubinadamu kama ulionao wewe umemuelemea.
Kama bilionea Mo mnamwandama hivi kwa jambo dogo, mnajua hulka za bilionea Donald Trump na hata yule Warren Buffet pale wanapokereka huwa wanakuwaje?
2.Pamoja na utajiri wake bado tukubali kuwa MO bado ni kijana (he's just a young adult), na ujana ni ujana tu japo hauwezi kulingana na ule wa kijana anayebalehe. Hivi huwa mnaona reactions za Mo pale Simba inapokuwa na mechi ngumu au inapopoteza pointi? Zile reactions si za aina ya mtu mzima. Hebu tumwelewe na baada ya hapo behavior yake haitatupa taabu maana ni typical ya vijana wengi.
3.Halafu mambo ya "hela zenyewe za urithi yanaingiaje hapa"? Na hata kama ni za urithi, mi nampa kongole kwa hapo alipofikia maana kuendeleza mali za urithi si jambo jepesi,wengi tu walishashindwa. Na hata humu kuna watu waliachiwa mali na wazazi wao ila hadi tunavyozungumza leo hii ni weupe kama sanda, nothing kwakweli. Njoo utuambie wewe mali za urithi umeziendelezaje na siyo kupanua domo kama mfuko wa mbolea dhidi ya ule aliyekuza kile alichoachiwa.
SawaKuna watu huwa hawaguswi kizembe, mtu kama Manara alitakiwa kutemwa kwa akili na si kizembe, Manara hana cha kupoteza hata iweje lkn mtu kama Mo aweza kuishusha hadhi yake kwa ku deal na Haji
Ukifuatilia vizuri Haji kapitishwa sana na Barbra, hili lilipigiwa kelele na watu lkn Manara aliwekwa chini na aliweza kuongea kwenye mkutano flani kuhusu hiyo minong'ono na akakanusha kuwa hawezi kugombana na mrembo kama huyo kwani yeye sio zuzu.
Ukweli ni kwamba alifunika kombe lkn kwa watu kumshauri.
Katika vita hii ya Haji na Mo, Haji ni mshindi kwani hana cha kupoteza kama ilivyo kwa maskini usivyoweza kumfilisi.
Mo namna ya kumshinda Haji ni kunyamaza kama hakuna kinachoendelea lkn naona anahaha.
Hshaaaaa kuna jamaa yangu mmoja alipomaliza form six alifanya kazi kiwanda cha wahindi aliwahi nisimulia hayo. Muhindi alimwambia "veve iko vaa vizuri sana veve" na "veve iko penda kula vizuri veve"Hizo ndio tabia za wahindi, yaani ukinunua nguo mpya ukaja ofisini unaweza kufukuzwa kazi. Ukipolish kiatu kikang'aa unaweza lazimishwa kuomba msamaha. Unaweza usiamini maneno yangu ila wale waliofanya kazi kwa muhindi watakubaliana nami.