Kama hili ni kweli, Basi Mo Ataliza Watu Muda Sio Mrefu

Mo ana hulka za Kiswahili.

Hivi mtu kama yeye anapata wapi muda wa kuangaika na watu wa chini ake hiviii....!!!?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Una uhakika!!huoni kuwa ni editing hiyo!!muda mwingine tuwe angalau na akili za ku lesson kabla ya kukimbilia kuhukumu!! Wabongo mnapenda sana umbea ndio maana mnashadadia habari za umbea bila kuhoji wala kujilidhisha
 
Watanzania kwa umbea na ujinga tunaongoza sana,tungekuwa na akili mpira usingekuwa unachezwa kwenye mashamba ya mpunga ya CCM tunayoita viwanja!!
MO hajaandika chochote kwenye insta live ya chama iyo ni editing tu ili kuivuruga Simba.
Mkuu ni viashiria gani vinakufanya useme ni editing?
Nisaidie kujua kama hutojali.
 
Mo anakosa hekima.Lakini pia inaonekana uwekezaji wa Haji kwenye kuihujumu timu,ni mkubwa sana.Ninaona Haji huenda hata alitumika na makampuni ya bet ili kupanga matokeo ya mechi kubwa.Huenda walitengeneza pesa nyingi kwa kushirikiana na wachezaji kama chama.

Leo nimekumbuka Hans Pope kipindi fulani aliwahi kumtuhumu chama amecheza chini ya kiwango maksudi.Ninaanza kuelewa yule Mzee hakuwa mwendawazimu.Haji anajua mchezo mzima.Haji sio mtu kabisa.Hafai kutetewa hata kidogo.
 
Mkuu ni viashiria gani vinakufanya useme ni editing?
Nisaidie kujua kama hutojali.
Ninamjua anae endesha account za mitandao ya MO Dewji,na pia ninaelewa anaendesha kwa utaratibu gani!! Maana haruhusiwi kuandika chochote kwenye account za wachezaji labda iwe ni kupongeza hasa matukio muhimu kama kushinda game, birthday za wachezaji,kuwapa moyo endapo wamepoteza game,na ku-like tu.
 
Huyo chama, even Jon boco nawa doubts sana aisee. Simba ni wapige kimya huu upepo mchafu upite
 
Huyo chama, even Jon boco nawa doubts sana aisee. Simba ni wapige kimya huu upepo mchafu upite
Hivi hawajiulizi kuwa Haji anatupa makombora akila kuku Dubai?
Hana cha kupoteza na anajua madudu mengi.
Akiamua kuivuruga timu itawagharimu
 
Usibishane naye huyo ana mtindio wa Ubongo.. [emoji23] [emoji23]
Mimi na wewe nani ana mtindio wa ubongo?! Ungekuwa uko vizuri usingekua kila mara ni kutuandika maneno ya kijinga wanaume lijali hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…