Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

Hujui kitu kimoja ktk siasa unaangalia mtaji wa watu siyo CV

Nani mwenye mtaji wa watu huyo hata alikuwa na Makando kando ndo anayefaa

Lowasaa ndo alifanya Cdm kuwa na viti vingi bungeni
Ndiyo maana hata Lowasa hakwenda ACT aliangalia mtaji wa watu
 
Tunaijua hiyo Slaa CCM wanataka kumtumia tena kuua upinzani, huko anatakiwa kustaafu tu
 
🤣🤣Wazeee wa mbamba hamridhiki mnapigania matumbo vijana tunaendelea kupigwa na jua
 
Hivi mbona chawa ni wengi sana wamemwagwa humu jamvini,
Mods hamuoni kinyaa kuvumilia huu uchafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…