Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

Habari zenu wanaJF wenzangu,

Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.

Ni hivi.. inasemekana baada ya Dkt. Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya ni kumpigia simu mwenyekiti wake wa chama wa zamani ili kumuomba wakutane nae haraka iwezekanavyo.

Mwenyekiti alipotaka kujua sababu ya yeye (dokta) kutaka kukutana nae ilhali wanaweza kuongea tu kwenye simu wakamaliza, Dr akamwambia kwamba anaomba wakutane nae ili amuombe msamaha kwa usaliti aliyoufanya mwaka 2015, na pia kumuomba msamaha kuhusu ile kauli aliyoitoa wakati ule Mbowe akiwa kafungwa kwa kesi ya uhaini.

Mwenyekiti alivyosikia hivyo akamuuliza kama lengo lake haswa ni kuomba msamaha au alikuwa na lingine la zaidi. Maana kama msamaha tayari atakuwa ameshaomba kupitia kauli yake ile aliyosema au anaweza kuomba tu hapo hapo simuni wakasameheana yakaisha.

Dokta akasema lengo sio msamaha peke yake, bali anataka pia arudi chamani kupitia kukutana kwao huko.

Ndo mwenyekiti akamwambia kama una lengo la kutaka kurudi chamani basi ngoja niongee na baadhi ya viongozi wenzangu ili nisikie na wao maoni yao kabla hatujakutana. Kisha mwenyekiti akampigia makamu kumueleza kile alichoambiwa na dokta.

Aisee baada ya makamu kusikia habari za dokta kwanza akapandisha pumzi na kushusha, after that kilichobakia ilikuwa ni kumshambulia dokta na kumwambia mwenyekiti kwamba huyo dokta sio mtu tena wa kumkaribisha chamani maana hana moyo wa kweli wa kupigania mabadiliko nchini, yeye ana moyo tu wa kupigania tumbo lake na familia yake.

Makamu akatahadharisha kwamba ikiwa mwenyekiti atashupaza shingo na kumruhusu kujiunga upya na chama, basi mwaka 2025 kama chama hakitatimiza lengo lake la kutaka achaguliwe kugombea uraisi basi mwenyekiti huyo na chama kwa ujumla wajiandae kukutana na yale waliyokutana nayo mwaka 2015.

Makamu alisema kwamba ni mara kumi ingekuwa ni Zito ambae hakuwahi kuonesha kufurahishwa na yale yaliowakuta wapinzani wenzake mbali mbali, kuliko huyu mzee ambae hakuonesha utu hata kidogo kipindi mwenzake alipopigwa risasi na kupambania uhai wake.

Mwenyekiti baada ya kusikia maoni ya makamu wake akawapigia wengine ambao nao hawakupendezewa na uamuzi wa dokta huyo kurudi chamani.

Baada ya hapo mwenyekiti akarudi kwa simu ya dokta na kumwambia kwamba mimi nimekusamehe, lkn swala la wewe kurudi chamani kwa sasa hivi sahau.

Mwenyekiti akakata simu huku akimuacha dokta akikosa la kufanya.

Ama kweli kifo cha nyani miti yote hutereza.
Kwa sasa kila anapojaribu kushikilia dokta anaanguka.

Jioni njema.
Pure gossip aka umbeya. Huna ushahidi wowote. Mwanaume gani anayejitambua anaweza kukaa chini na kuanza kuandika ujnga kama huu? Una tabia za kike wewe.
 
Hata Lipumba hakufikia level za Slaa aisee, Kauli kama vile Lissu kupigwa risasi ni jambo la kawaida, mikutano ya hadhara kufungiwa ni sawa, na Mbowe ni gaidi

Labda yule Selasini aliyehamia NCCR na baadaye kumpindua Mbatia
Mkuu kiukweli tukikumbuka tulikopita (2016 -2021),huyu Slaa ni mtu mbaya mno ana undumilakuwili flani,roho mbaya na mpenda fursa pia. Please Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA keep the guy in ignore list.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.

Ni hivi.. inasemekana baada ya Dkt. Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya ni kumpigia simu mwenyekiti wake wa chama wa zamani ili kumuomba wakutane nae haraka iwezekanavyo.

Mwenyekiti alipotaka kujua sababu ya yeye (dokta) kutaka kukutana nae ilhali wanaweza kuongea tu kwenye simu wakamaliza, Dr akamwambia kwamba anaomba wakutane nae ili amuombe msamaha kwa usaliti aliyoufanya mwaka 2015, na pia kumuomba msamaha kuhusu ile kauli aliyoitoa wakati ule Mbowe akiwa kafungwa kwa kesi ya uhaini.

Mwenyekiti alivyosikia hivyo akamuuliza kama lengo lake haswa ni kuomba msamaha au alikuwa na lingine la zaidi. Maana kama msamaha tayari atakuwa ameshaomba kupitia kauli yake ile aliyosema au anaweza kuomba tu hapo hapo simuni wakasameheana yakaisha.

Dokta akasema lengo sio msamaha peke yake, bali anataka pia arudi chamani kupitia kukutana kwao huko.

Ndo mwenyekiti akamwambia kama una lengo la kutaka kurudi chamani basi ngoja niongee na baadhi ya viongozi wenzangu ili nisikie na wao maoni yao kabla hatujakutana. Kisha mwenyekiti akampigia makamu kumueleza kile alichoambiwa na dokta.

Aisee baada ya makamu kusikia habari za dokta kwanza akapandisha pumzi na kushusha, after that kilichobakia ilikuwa ni kumshambulia dokta na kumwambia mwenyekiti kwamba huyo dokta sio mtu tena wa kumkaribisha chamani maana hana moyo wa kweli wa kupigania mabadiliko nchini, yeye ana moyo tu wa kupigania tumbo lake na familia yake.

Makamu akatahadharisha kwamba ikiwa mwenyekiti atashupaza shingo na kumruhusu kujiunga upya na chama, basi mwaka 2025 kama chama hakitatimiza lengo lake la kutaka achaguliwe kugombea uraisi basi mwenyekiti huyo na chama kwa ujumla wajiandae kukutana na yale waliyokutana nayo mwaka 2015.

Makamu alisema kwamba ni mara kumi ingekuwa ni Zito ambae hakuwahi kuonesha kufurahishwa na yale yaliowakuta wapinzani wenzake mbali mbali, kuliko huyu mzee ambae hakuonesha utu hata kidogo kipindi mwenzake alipopigwa risasi na kupambania uhai wake.

Mwenyekiti baada ya kusikia maoni ya makamu wake akawapigia wengine ambao nao hawakupendezewa na uamuzi wa dokta huyo kurudi chamani.

Baada ya hapo mwenyekiti akarudi kwa simu ya dokta na kumwambia kwamba mimi nimekusamehe, lkn swala la wewe kurudi chamani kwa sasa hivi sahau.

Mwenyekiti akakata simu huku akimuacha dokta akikosa la kufanya.

Ama kweli kifo cha nyani miti yote hutereza.
Kwa sasa kila anapojaribu kushikilia dokta anaanguka.

Jioni njema.
Acha uzushi.....Dkt Slaa hana mpango wa kujiunga na chama chochote, yule ni Jeshi la mtu mmoja!
 
Lissu alisema ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani na akatolea mfano marehemu mama Anna Mgwira wakati huo kachaguliwa na Magufuli kuwa mkuu wa mkoa, alisema alipewa nafasi hiyo kama malipo baada ya kuvuruga upinzani.
Lissu aliungana na ACT uchaguzi wa 2020
 
Ungejikita kwenye riwaya zako. Maneno meengi. Haya ni maudhui ya kutunga tu. Mimi binafsi sisomagi takataka zako, never! Mmelipwa na DP World huko misikitini kwenu hilo tunajua.
Pole sana dr Slaa.. kumbe na hii pia ni ID yako!!
 
Acha uzushi.....Dkt Slaa hana mpango wa kujiunga na chama chochote, yule ni Jeshi la mtu mmoja!
Wewe ni sawa sawa na samaki ambae hajui nini kinachoendelea nje ya maisha yake ya majini.

Mimi najua maana ya msemo "dunia kijiji". Ninataarifa nyingi, hata za kwako nikizihitaji nitazipata tu mkuu.
 
Ninamuonea huruma Slaa,alivyo mzee sasa hivi.Josephine nae yupo Canada na watoto .Dr Slaa itakuwa anamkumbuka sana mkewe Rose Kamili na anajuta why alimuacha na kuchukua dogodogo Josephine.Kwa haya yanayomkuta Dr alitakiwa awe karibu sana na familia yake.
Hivi Rose Kamili ni yule aliekua mbunge wa karatu viti maalum cdm?
 
Huu ni mtego wa kisiasa huwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu ila kuna maslahi ya kudumu inabidi wazichange vizuri karata zao wakimkubali shida wakimuacha akienda kwingine kama bado anainfluence kubwa bado nayo itawaletea shida chadema isichotaka kwa sasa ni kuibuka kwa chama kingine chenye nguvu cha upinzani wakati ccm kwa sasa likitokea hilo ni furaha kubwa sana kwake maana itawagawa wapiga kura wapenda upinzani na wao kujihakikishia uchaguzi mzuri na rahisi kwake. Siasa ni game kazi kwao wanasiasa .
Kwahiyo Dr atakapoenda utamfuata huangalii sera za chama?
 
Nakubaliana na wewe kwamba dr Slaa kwa sasa hayupo sawa kichwani, haswa baada ya demu aliesababisha aitelekeze familia yake kugoma kuishi nae Tanzania.

Kwa sasa kaishapoteza mke na yule aliesababisha aache mke yupo zake Canada akila raha na vijana wenzake.

Karma.....
Mm nilikua naamini dr yule Josephine ni mke wake wa kwanza? Kumbe alishatelekeza familia
 
Slaa kampigia kwa Mbowe,
Mbowe kampigia Tundu Lissu. Tundu Lissu akavuta pumzi na kuongea aliyoyaongea na kutoa hadi mifano. Mwisho akamalizia kwa msimamo.

Mbowe akapigia wengine, akawauliza. Wakakataa na kuweka misimamo

Mbowe akamrudia Dkt. Slaa. Akamhakikishia kuwa amemsamehe, lakini swala la kurudi Chamani asahau.

Hapa unachojaribu kutuambia ni kwamba, Mbowe ndiye mtoa taarifa wako?

Chama kina namna kinafanya kazi zake, je ni mani aliyekua akikusanya maoni na misimamo ya hao ambao Mbowe alikia akiwasiliana nao? Maamuzi ya Chama hufanyika ndani ya vikao, mbina taarifa yako haionyeshi uwepo wa kikao chochote kile?
Je, ni lini Dkt. Slaa alijitoa ao kuondolewa CHADEMA hata tuseme anaomba kurudi?
Dr naona umekuja kujitetea na falsafa zako[emoji2]
 
Back
Top Bottom