Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

Acha uzushi.....Dkt Slaa hana mpango wa kujiunga na chama chochote, yule ni Jeshi la mtu mmoja!
Wewe ni sawa sawa na samaki ambae hajui nini kinachoendelea nje ya maisha yake ya majini.

Mimi najua maana ya msemo "dunia kijiji". Niataarifa nyingi, hata za kwako nikizihitaji nitazipata tu mkuu.
 
Mm nilikua naamini dr yule Josephine ni mke wake wa kwanza? Kumbe alishatelekeza familia
Kitambo sana na kuna kipindi flani alikuwa anakanyemelea kabinti fulan ka bongo fleva.

Baada ya kabinti kula hela bila kumpa mzigo, babu wa watu akaamua kujitoa kimya kimya ili asije akaumbuka.
 
Mm nilikua naamini dr yule Josephine ni mke wake wa kwanza? Kumbe alishatelekeza familia
Ina maana hujui kama Josephine ni mke wa Mushumbushi tena wa ndoa mpaka leo?

Padre Slaa pale alipola mke wa mtu wa ndoa tena ya kanisani, hapo ndio mnatakiwa mjitafakari sana kwa Padre mzima tena bingwa wa canon law kuchukuwa mke wa mtu ambaye hana divorce decree.
 
Mbona Lipumba neno mgombea Urais ni ubini wake?
Lipumba meno yote yashaisha mdomoni, lkn bado anang'ang'ania kuwa raisi wa JMT 🤣🤣🤣

I think is planning kuvunja record ya Tinubu hapa Africa.
 
Back
Top Bottom