Mwarabu mlokole
JF-Expert Member
- Jul 8, 2023
- 231
- 386
Siasa za nchi hizi ni pasua kichwa.Mkuu hapa ulipo comment nahisi umepotea, maana ulichoandika kipo nje ya hoja inayojadiliwa hapa.
Mada ni kuhusu jinsi Lisu alivyozuia Dr Slaa kurudi Chadema kutokana na kukisaliti chama chao, na pia kufurahia jinsi Lisu alivyopigwa risasi na baadae Mbowe kuwekwa ndani kwa uhaini.
Sasa hayo uliyoandika hapa hayaendani na kinachojadiliwa.
Ni bora ungeyaanzishia uzi wake watu wacomment.
Dr Slaa alikuwa na haki zote za kuondoka CHADEMA baada ya mbowe kutusaliti wapiga kura na kumleta waliyemuita fisadi ili agombee dakika za mwisho tena kwakuvunja katiba ya chama.
Hakuondoka peke yake tuliondoka wengi.
Lissu sijawahi kumuona km mzalendo wa kweli wa nchi hii hasa kufuatana na kauli zake.
Itoshe kusema Lissu na Zitto wanafanana hasa linapokuja suala la maslah