Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

UPADRE hakuvuliwa aliondoka.

CCM hakuvuliwa aliondoka.

CHADEMA hakuvuliwa aliondoka.

NDOA ni ishu binafsi km vp kaolewe wewe.

UBALOZI hakuomba ila aliombwa na alishawaambia uchukueni hana shida nao.

Huyu haendeshwi kwa tumbo km ulivyo wewe ni mtu anaeamini ktk yale anayosimamia.
 
Hii Nchi imekuwa ya hovyo sana.
Mwananchi kupata habari imekuwa ni kwa hisani ya Ccm.
Magazeti yote kwa sasa yanatoa habari kwa maelekezo ya Nape. Redio, Tv woote ni ushuzi mtupu
Jf nayo imejaa wanaojiita chawa wa mama ilimradi kuvuruga watu tu.
Ndio maana TEC walitumia njia mbadala kufikisha waraka wao na ukafika vyema.
Bora kuangalia katuni kuliko kuangalia taarifa za habari na vipindi vingine vya tv zetu
 
Alichokosea Slaa ni kutotanguliza dau mezani. Kabla ya maongezi angeweka hata milioni 500 mezani huyo Mbowe angemrudisha chamani na kumteua kuwa mjumbe wa kamati kuu. Sema Slaa naye ni kenge sana kuropoka ushuzi wakati washkaji zake waliokuwa nae chama kimoja walipopatwa na matatizo. Alizingua kinyama kwenye ishu ya Lissu na Mbowe.

Mimi ninashauri Dr Slaa ajiunge WCB wazunguke nae kwenye Wasafi Festival.
Walijua Mungu wao Jiwe ataishi milele 😂😂
 
CHADEMA acheni unafiki,Mbowe ndiyo Msaliti,bila Mbowe kwa kushirikiana na JK kumleta Lowasa CHADEMA ili agombee Urais,Dr Slaa asingeondoka.
Muwe na soni sometimes,Dr Slaa arudi bila Masharti,kama hamtaki basi na Mbowe akae pembeni maana alikaribisha fisadi kugombea Urais kinyume na ajenda ya kupinga ufisadi ya CHADEMA!
Mbowe ana cash hao wengine Wana empty words 😁😁

Mkono mtupu haulambwi 😂😂😂
 
UPADRE hakuvuliwa aliondoka.

CCM hakuvuliwa aliondoka.

CHADEMA hakuvuliwa aliondoka.

NDOA ni ishu binafsi km vp kaolewe wewe.

UBALOZI hakuomba ila aliombwa na alishawaambia uchukueni hana shida nao.

Huyu haendeshwi kwa tumbo km ulivyo wewe ni mtu anaeamini ktk yale anayosimamia.

Sasa aliondoka upadre anashindwa kitu gani kurudi?
Kama aliondoka Chadema si arudi akachukuwe nafasi yake alikuwa nayo
Yaani ubalozi aliombwa 😜😜😜
 
Nakubaliana na wewe kwamba dr Slaa kwa sasa hayupo sawa kichwani, haswa baada ya demu aliesababisha aitelekeze familia yake kugoma kuishi nae Tanzania.

Kwa sasa kaishapoteza mke na yule aliesababisha aache mke yupo zake Canada akila raha na vijana wenzake.

Karma.....
Hivi Josephine,ndiye aliyesababisha Slaa wachane na Rose!?
 
Hakuna siku Dk Slaa aliniumiza kama siku ile pale Serena alipokwenda kuwaga mboga... Matokeo yake akarudia yaleyale ya zamani! Siku nilijua anaenda kummaliza Lowasa ! na CHADEMA!
Ni kweli kwenye Siasa hakuna Urafiki au Uadui wa kudumu.
! Ila alipokejeli hata kuumizwa Kwa Lissu au kufungwa Kwa Mbowe ...mhhhh hapana!
 
Dr Slaa ni project 101, CCM wanamtumia kuwasambaratisha wapinzani, walimtumia mwanzo na hawasiti kumtumia sasa. Mambo yote kuhusu Dr ni maigizo mpaka huko TEC yanaingia.

This is a plan. They want to destroy CDM wisely like what they did before kwa kumtumia Lowassa. CDM must be careful with this game.
 
Mimi ni Tomaso, I seriously doubt the authenticity ya hoja hii, kwasababu Dr. Slaa is a person of impeccable integrity, can't be that cheap!. This news is too good to be true!.
P
Si tu ni uongo Mr p but hakuna kitu kama hicho kuwepo kwa senior kama Dr slaa, unaweza kuniokota mm kwa ignorance yangu ya uhaba wa elimu ya technology but kwa Dr? A big No. Aje na hoja mpya
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.

Ni hivi.. inasemekana baada ya Dkt. Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya ni kumpigia simu mwenyekiti wake wa chama wa zamani ili kumuomba wakutane nae haraka iwezekanavyo.

Mwenyekiti alipotaka kujua sababu ya yeye (dokta) kutaka kukutana nae ilhali wanaweza kuongea tu kwenye simu wakamaliza, Dr akamwambia kwamba anaomba wakutane nae ili amuombe msamaha kwa usaliti aliyoufanya mwaka 2015, na pia kumuomba msamaha kuhusu ile kauli aliyoitoa wakati ule Mbowe akiwa kafungwa kwa kesi ya uhaini.

Mwenyekiti alivyosikia hivyo akamuuliza kama lengo lake haswa ni kuomba msamaha au alikuwa na lingine la zaidi. Maana kama msamaha tayari atakuwa ameshaomba kupitia kauli yake ile aliyosema au anaweza kuomba tu hapo hapo simuni wakasameheana yakaisha.

Dokta akasema lengo sio msamaha peke yake, bali anataka pia arudi chamani kupitia kukutana kwao huko.

Ndo mwenyekiti akamwambia kama una lengo la kutaka kurudi chamani basi ngoja niongee na baadhi ya viongozi wenzangu ili nisikie na wao maoni yao kabla hatujakutana. Kisha mwenyekiti akampigia makamu kumueleza kile alichoambiwa na dokta.

Aisee baada ya makamu kusikia habari za dokta kwanza akapandisha pumzi na kushusha, after that kilichobakia ilikuwa ni kumshambulia dokta na kumwambia mwenyekiti kwamba huyo dokta sio mtu tena wa kumkaribisha chamani maana hana moyo wa kweli wa kupigania mabadiliko nchini, yeye ana moyo tu wa kupigania tumbo lake na familia yake.

Makamu akatahadharisha kwamba ikiwa mwenyekiti atashupaza shingo na kumruhusu kujiunga upya na chama, basi mwaka 2025 kama chama hakitatimiza lengo lake la kutaka achaguliwe kugombea uraisi basi mwenyekiti huyo na chama kwa ujumla wajiandae kukutana na yale waliyokutana nayo mwaka 2015.

Makamu alisema kwamba ni mara kumi ingekuwa ni Zito ambae hakuwahi kuonesha kufurahishwa na yale yaliowakuta wapinzani wenzake mbali mbali, kuliko huyu mzee ambae hakuonesha utu hata kidogo kipindi mwenzake alipopigwa risasi na kupambania uhai wake.

Mwenyekiti baada ya kusikia maoni ya makamu wake akawapigia wengine ambao nao hawakupendezewa na uamuzi wa dokta huyo kurudi chamani.

Baada ya hapo mwenyekiti akarudi kwa simu ya dokta na kumwambia kwamba mimi nimekusamehe, lkn swala la wewe kurudi chamani kwa sasa hivi sahau.

Mwenyekiti akakata simu huku akimuacha dokta akikosa la kufanya.

Ama kweli kifo cha nyani miti yote hutereza.
Kwa sasa kila anapojaribu kushikilia dokta anaanguka.

Jioni njema.
hivi slaa unamleta chadema kwa lipi?
 
Yani amkatae Dr Slaa amkubali Zito mmmhhh[emoji2957]
Hivi uliwahi kuyasikia maneno aliyoongea Dr Slaa wakati Lisu alipopigwa risasi?

Pia uliwahi kusikia aliyoongea wakati wa kesi ya uhaini ya Mbowe?

Kweli Zito anaweza kuwa sio mtu mzuri kwa viongozi wa Chadema including Mbowe na Lisu, lkn amekuwa makini sana pindi anapoongelea issue za viongozi hao.
 
Majinga ya kikundi cha matapeli na the wahuni hayana agenda kabisa ya kitaifa kila siku kudakia tu. Ni bora mara 💯 kuendelea na Dkt Samia siyo nyie wahuni na vibaraka wa ushoga maana viongozi wenu wote wameolewa na wana madume huko ulaya
😂😂😂
 
Back
Top Bottom