imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ushahidi pleasekila siku kazi yake ni kumtukana Samia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi pleasekila siku kazi yake ni kumtukana Samia
Mtu ambae alikuwa anashindia mihogo, ela ya kuanzisha chama ataitoa wapi?Ukisikia kugaribikiwa uzeeni ndiyo huku!
Mbona alishasema hana chama cho chote?
Kama ni hivyo atafute hela aanzishe chama chake ingawa umri umeenda!
Moyo wa mtu msitu. Umfikiriavyo wewe, sivyo ndivyo alivyo yeye.Huu upumbavu ulioleta hapa jukwaani ni mafala wenzako ndio watakupongeza
Slaa ninaemjua mimi hawezi fanya huo ujinga,kawa balozi bila kadi ya CCM,haiitaji chadema tena,yeye ni mwanaharakati huru kabisa
Lissu alisema ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani na akatolea mfano marehemu mama Anna Mgwira wakati huo kachaguliwa na Magufuli kuwa mkuu wa mkoa, alisema alipewa nafasi hiyo kama malipo baada ya kuvuruga upinzani.sasa si aunganishe nguvu kwa bwana zito! Au lipumba?
Na wewe na Mmawia ni ndugu?Hivi wewe Mr Dudumizi na Lucas mwashambwa ni mtu mmoja au ndugu!!???
Kweli mkuu bora andazi litakufaa kwenye njaa kuliko huyo mzee muongo na msaliti.Ukiniwekea padre slaa na andazi, mapema mno nachukua zangu andazi!!
Majinga ya kikundi cha matapeli na the wahuni hayana agenda kabisa ya kitaifa kila siku kudakia tu. Ni bora mara 💯 kuendelea na Dkt Samia siyo nyie wahuni na vibaraka wa ushoga maana viongozi wenu wote wameolewa na wana madume huko ulayaMakuwadi ya warabu koko yanatetea mapumbavu menzao ya ccm kwa hongo za warabu sisi wazalendo wa nchi hii tunawambia kwamba mamayenu anapaswa kurudisha pesa za hongo kwa mabwana zenu Dubai kabla ya 2025 vinginevyo kila tundu la mwili wake atazitolea.
Huu ni ujinga, huwezi shindana na mfumo ukashinda and it will never happen, hapa wanaomdanganya Mama Rais Dkt Samia watakuja kujuta. Rais Dkt Samia anatakiwa atatue changamoto lakini siyo kutumia vikundi vya mamluki wa kukodi eti sijui ujinga gani
Kina Lucas Mbwa wa Shamba mmekuwa wengi siku hiziHabari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.
Ni hivi.. inasemekana baada ya Dkt. Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya ni kumpigia simu mwenyekiti wake wa chama wa zamani ili kumuomba wakutane nae haraka iwezekanavyo.
Mwenyekiti alipotaka kujua sababu ya yeye (dokta) kutaka kukutana nae ilhali wanaweza kuongea tu kwenye simu wakamaliza, Dr akamwambia kwamba anaomba wakutane nae ili amuombe msamaha kwa usaliti aliyoufanya mwaka 2015, na pia kumuomba msamaha kuhusu ile kauli aliyoitoa wakati ule Mbowe akiwa kafungwa kwa kesi ya uhaini.
Mwenyekiti alivyosikia hivyo akamuuliza kama lengo lake haswa ni kuomba msamaha au alikuwa na lingine la zaidi. Maana kama msamaha tayari atakuwa ameshaomba kupitia kauli yake ile aliyosema au anaweza kuomba tu hapo hapo simuni wakasameheana yakaisha.
Dokta akasema lengo sio msamaha peke yake, bali anataka pia arudi chamani kupitia kukutana kwao huko.
Ndo mwenyekiti akamwambia kama una lengo la kutaka kurudi chamani basi ngoja niongee na baadhi ya viongozi wenzangu ili nisikie na wao maoni yao kabla hatujakutana. Kisha mwenyekiti akampigia makamu kumueleza kile alichoambiwa na dokta.
Aisee baada ya makamu kusikia habari za dokta kwanza akapandisha pumzi na kushusha, after that kilichobakia ilikuwa ni kumshambulia dokta na kumwambia mwenyekiti kwamba huyo dokta sio mtu tena wa kumkaribisha chamani maana hana moyo wa kweli wa kupigania mabadiliko nchini, yeye ana moyo tu wa kupigania tumbo lake na familia yake.
Makamu akatahadharisha kwamba ikiwa mwenyekiti atashupaza shingo na kumruhusu kujiunga upya na chama, basi mwaka 2025 kama chama hakitatimiza lengo lake la kutaka achaguliwe kugombea uraisi basi mwenyekiti huyo na chama kwa ujumla wajiandae kukutana na yale waliyokutana nayo mwaka 2015.
Makamu alisema kwamba ni mara kumi ingekuwa ni Zito ambae hakuwahi kuonesha kufurahishwa na yale yaliowakuta wapinzani wenzake mbali mbali, kuliko huyu mzee ambae hakuonesha utu hata kidogo kipindi mwenzake alipopigwa risasi na kupambania uhai wake.
Mwenyekiti baada ya kusikia maoni ya makamu wake akawapigia wengine ambao nao hawakupendezewa na uamuzi wa dokta huyo kurudi chamani.
Baada ya hapo mwenyekiti akarudi kwa simu ya dokta na kumwambia kwamba mimi nimekusamehe, lkn swala la wewe kurudi chamani kwa sasa hivi sahau.
Mwenyekiti akakata simu huku akimuacha dokta akikosa la kufanya.
Ama kweli kifo cha nyani miti yote hutereza.
Kwa sasa kila anapojaribu kushikilia dokta anaanguka.
Jioni njema.
Wachache tu ndiyo huwa wanajiulza ivyo!!!!Hivi Chadema kunaleta Lowasa na kumtosa DR kugombea tena dakika za mwisho ilikuwa Sawa?
Mtu ambae alikuwa anashindia mihogo, ela ya kuanzisha chama ataitoa wapi?
Hata yale marupu rupu ya ubalozi sina hakika kama bado anayo.
Ole kwa Ccm km Dr Slaa atarudi kwenye siasa za majukwaani.
Dr Slaa ni hazina ya Taifa
Mumeanza kumlisha maneno Babu yenu nyie si ndio? Mtamuua mapema Sana.Habari zenu wanaJF wenzangu,