Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

Li kikundi la kijinga limejaa propaganda
Makuwadi ya warabu koko yanatetea mapumbavu menzao ya ccm kwa hongo za warabu sisi wazalendo wa nchi hii tunawambia kwamba mamayenu anapaswa kurudisha pesa za hongo kwa mabwana zenu Dubai kabla ya 2025 vinginevyo kila tundu la mwili wake atazitolea.
 
Yan wewe huyo mmojanma mwenzako aliekusimulia alikua kila mahala..
Kwa slaa anapoongea
Kwa mbowe anapojibu
Kwa mbowe akiongea na Lissu
Kwa Mbowe akiongea na member wengine kisha akamrudia Slaa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe ulikua mtu kati
 
Kwanini unaandika majungu na upuuzi. Achana na slaa plz! Slaa ni mshindi na atashinda tena
 
Funzo kubwa sana hapa.
 
Uongo mtupu....
 
Lakini dokta si atulie tu? Ashavuna pesa mingi sana mpaka sasa. Atulie alee watoto wake na wajukuu
 
Si aunde chama chake , anaogopa kitu gani ?? Itakuwa ni kudandia dandia vyama vya wengine siku zote ??
Jamaa maneno mengi na muda mungine kujiona ye special kuliko wenzake, lkn uwezo wa kuanzisha chama chake mwenyewe hana.

Anashindwa hata na yule kijana wa ujiji alieanzisha chama na kufanikiwa kumteka bingwa wa siasa za upinzani Zanzibar marehem Maalim Seif.
 
Dr Slaa ni project 101, CCM wanamtumia kuwasambaratisha wapinzani, walimtumia mwanzo na hawasiti kumtumia sasa. Mambo yote kuhusu Dr ni maigizo mpaka huko TEC yanaingia.
 
Slaa kampigia kwa Mbowe,
Mbowe kampigia Tundu Lissu. Tundu Lissu akavuta pumzi na kuongea aliyoyaongea na kutoa hadi mifano. Mwisho akamalizia kwa msimamo.

Mbowe akapigia wengine, akawauliza. Wakakataa na kuweka misimamo

Mbowe akamrudia Dkt. Slaa. Akamhakikishia kuwa amemsamehe, lakini swala la kurudi Chamani asahau.

Hapa unachojaribu kutuambia ni kwamba, Mbowe ndiye mtoa taarifa wako?

Chama kina namna kinafanya kazi zake, je ni nani aliyekua akikusanya maoni na misimamo ya hao ambao Mbowe alikia akiwasiliana nao? Maamuzi ya Chama hufanyika ndani ya vikao, mbona taarifa yako haionyeshi uwepo wa kikao chochote kile?
Je, ni lini Dkt. Slaa alijitoa au kuondolewa CHADEMA hata tuseme anaomba kurudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…